JF ingekuwa gazeti la udaku.

JF ingekuwa gazeti la udaku.

Wale mapacha wawili wa JF dada na dada yake watupiana maneno hadharani. Hii ni baada ya kugombania bwana.

Halafu inawekwa picha kubwa ya Shunie na Sakayo
Nimeishia apa [emoji134][emoji134][emoji134] nitarudi tena kumalizia post zilizobaki

Hahhaha tunagombania bwana mtu na dada yake [emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom