JF ingekuwa gazeti la udaku.

JF ingekuwa gazeti la udaku.

Wakaka wa JF ndio chanzo cha wadada kufunga PM zao
Katibu wa CC aamuru wadada kufungua PM. Masaa matatu yatolewa la sivyo katibu atamwachia Mungu.
 
Haha,
Hivi mnajua mnanizushia tu bure kuna pahala nimemuambia pale kuwa nimemkataa.??
Msinifanyie hivyo bwaana.!!
Tehteh.... haya mimi ni mwandishi kutoka gazeti la udaku JF.

Nakupa kipaza sauti ebu ndugu mjumbe tuambie unauzungumziaje ule mtongozo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom