JF ingekuwa gazeti la udaku.

JF ingekuwa gazeti la udaku.

Udaku katika ubora wake!! Uzi umefungua leo, umeshafika pg.15?????
Bi Niah aachika sababu ya kukaa muda wote kwenye JF, amejaribu kunywa sumu wakampa mkojo!
Hahaha...basi kwa huo mkojo utasubiria ufe waapi hadi tutakuwahi tukuokoe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara paap... saint anne aslimu[emoji14]
Dunia yafika mwisho[emoji134].
Hiyo Ni ndoto ya Zurri[emoji23][emoji23]

Na ushungi juu,acha kabisa,na tunavyojua "Lulu huwa nzuri ikiwa katika jumba lake".

Halafu ukabe pale namba tatu,yaani beki wa kupanda na kushuka,halafu awe namba nne full mkoba,time iwe imekamilika.

Wewe subiri nikuvalie njuga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom