JF inanifanya nichukie Kazi aisee

JF inanifanya nichukie Kazi aisee

stress free lakini ukienda kule siasa ...........du utazipata ,kuna watu wanatoa mitusi we acha tu

Kule siasani nahisi kuna mijitu ikiandika comment lazma kwanza sura wakunje maana hzo comments ngumu kushinda hip hop .
 
Yaani raha inayopatikana humu haina mfano naweza nkaitegorize ktk 2nd place baada ya raha ya mgegedano....

Kuna watu humu ndani wakianzisha thread basi ivo vituko na hoja za humo ndani me mbavu sina..yaani najikuta napanda kitandani na ki blackberry changu naanza ku browse JF...hata kwenda kufanya shughuli nyingine najisahau kbs mfano leo hii nipo kitandani hapa sijatoka mpaka sasa.

Sasa kuna huyu jamaa anaitwa #SUPU YA MAWE yeye hamna muda mrefu JF ila kashapost zaid ya senior member eti mara kapigwa na wanajeshi,,oooh mara kwanini anachambia mkono sasa sijui Gunzi lingemfaa!!!!Mara familia aliyooa wanaume wanafukuzwa kazi na yeye tayari kashafukuzwa kazi huku amesahau kuwa kuna sababu iliyomfukuzisha wala si mwanamke hapo anakutana na #EVELYN SALT atamshushua weeeeee!!!!dooooh

Kule Chini kuna Mzee mzizi mkavu yeye kwenye Hadithi yumo,dawa za nguvu za kiume yumoo...kwenye mambo ya tiba zoote yumooo.....

Kuna Jamaa angu mmoja nimesahau jina lake akawa anaomba ushauri wa kwenda kwa TB joshua kwa bus kupitia Congo huku mfukoni ana laki 5..basi kila mtu atakae mshauri kama yeye hajapenda basi atakuambia una minyoo wewe...mwishowe huyu kaka alipigwa BAN ila mods mtoeni bhana jamaa alivunja watu mbavuu aiseee!!!

Basi Nikiamkaga tuu Lazima Niingie JF niangalie yapi mapya..Naipenda sana JF

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

kuna jamaa alikuwa anajiita nani sijui ila anadai ana PhD with no job,mara anaomba msaada wa ajira,mara wanawake wa dar wanavitambi,mara mke wake hapendi kunyoa vuzi naona kala ban ya kufa mtu ila kama vile haka ka id kengine
 
JF is the stress free zone... lakini inabidi ufanye kazi kwa bidii ili usikose hata hela ya kifurushi au kuna mtu anakuwezesha???
 
Hii jf mwisho bana ila kunamda inaweza kukufanya ukaoneka taila maana upo unapga story na watu hukawii alaf wote wakashangaa unacheka tu mara kunamtu alikuwa na demu wake akakutana na vibaka wakataka kumgegeda akakimbia
 
Yaan mecheka mpaka machozi aisee... JF noma!! Nikiwa kwwnye public najizuia kuingia hapa make naweza achia kicheko mpaka wakanishangaa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom