JF inanifanya nichukie Kazi aisee

JF inanifanya nichukie Kazi aisee

Being happily married is one thing, and mingling quite another,
Reading between the lines jamaa hajaenda kwenye mstari mnyoofu, Any room for that???
'Thamaani' lakini kwa kuvamia sherehe isiyo yangu.

Dalali naweza pata chumba cha kupanga maeneo ya masaki!??kimoja tuu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
humu ndani ni raha sana kwa wanaoitumia vizuri na kwa busara

linalokufaa unachukua mengine yaache tu yapite

Avatar yakoo tuu!daaah hebu ni pm kwanza

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Being happily married is one thing, and mingling quite another,
Reading between the lines jamaa hajaenda kwenye mstari mnyoofu, Any room for that???
'Thamaani' lakini kwa kuvamia sherehe isiyo yangu.

the room is OCCUPIED.........
hakuna haja ya thamaani raha ya sherehe mjumuiko
 
the room is OCCUPIED.........
hakuna haja ya thamaani raha ya sherehe mjumuiko
Ujumbe umesomwa, Atafute pakupumzika.
Lakini, Uswahilini kwetu ishakuwa mazoea, Ikibidi
Wengine wanaweza kujiachia hata 'kitanda kirefu'-Sakafuni aka chini ilimradi kudoea malazi asubuhi haooo Mihangaikoni
Au wenzetu wa uzunguni mnahitaji ventilesheni?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom