JF inanifanya nichukie Kazi aisee

JF inanifanya nichukie Kazi aisee

JF is "home sweet home" hata ukipigwa ban utapgana urudi na ID nyingine!
hapana chezeeya JF weweee!!!
 
Kwan ww na hiyo black berry yako unataka serikali mbili au tatu???
 
hahahah mkuu fuatilia nyuzi za mshana jr
utafumua mbavu zako kwa kicheko
 
Last edited by a moderator:
Yaani raha inayopatikana humu haina mfano naweza nkaitegorize ktk 2nd place baada ya raha ya jmgegedano....

Kuna watu humu ndani wakianzisha thread basi ivo vituko na hoja za humo ndani me mbavu sina..yaani najikuta napanda kitandani na ki blackberry changu naanza ku browse JF...hata kwenda kufanya shughuli nyingine najisahau kbs mfano leo hii nipo kitandani hapa sijatoka mpaka sasa.

Sasa kuna huyu jamaa anaitwa #SUPU YA MAWE yeye hamna muda mrefu JF ila kashapost zaid ya senior member eti mara kapigwa na wanajeshi,,oooh mara kwanini anachambia mkono sasa sijui Gunzi lingemfaa!!!!Mara familia aliyooa wanaume wanafukuzwa kazi na yeye tayari kashafukuzwa kazi huku amesahau kuwa kuna sababu iliyomfukuzisha wala si mwanamke hapo anakutana na #EVELYN SALT atamshushua weeeeee!!!!dooooh

Kule Chini kuna Mzee mzizi mkavu yeye kwenye Hadithi yumo,dawa za nguvu za kiume yumoo...kwenye mambo ya tiba zoote yumooo.....

Kuna Jamaa angu mmoja nimesahau jina lake akawa anaomba ushauri wa kwenda kwa TB joshua kwa bus kupitia Congo huku mfukoni ana laki 5..basi kila mtu atakae mshauri kama yeye hajapenda basi atakuambia una minyoo wewe...mwishowe huyu kaka alipigwa BAN ila mods mtoeni bhana jamaa alivunja watu mbavuu aiseee!!!

Basi Nikiamkaga tuu Lazima Niingie JF niangalie yapi mapya..Naipenda sana JF

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Jf ni shida najikuta nimeingia.jamaa ea bundlewananifaidi ile mbaya
 
humu ndani ni raha sana kwa wanaoitumia vizuri na kwa busara

linalokufaa unachukua mengine yaache tu yapite
 
#Heaven on Earth
Dada upo active kwelii!!!yaani mnanifanya naenjoy aiseeee

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hapa ndio aliniacha hoi......... Kuingia JF 21.3.2013
Can you imagine....... Total Posts 22,589
Posts Per Day 56.69

Mwenzetu anajishughulisha na nini? Is she responsible or accountable somewhere?
 
inabidi uwe makini maana hii inakua kama facebook wakati inaingia watu wengi walikua affected, hapa ni mahali pakuingia baada ya mambo yako yote uliopanga kuyafanya umeishamaliza then ndio unakuja especial kwa mwanmme kushinda huku ni uvivu bro, Europe na usa waliokua addicted walikua watoto wa shule secondary na kidogo vyuo na hii haina tofauti na FB, ONLY ukiwa free unaingia unapata habari zote muhim then kama muda unaruhusu inacheki MMUkidogo then unaendelea na michongo ya hela, kama unataka kua kama Mengi othrtwise middle class
 
mm nakumbuka mwaka juzi nilienda kupiga kazi pale ARUSHA kwenye kiwanda cha A to Z kipo kisongo.
nimetoka dar hali ya hewa ya kule ikawa inanizingua sana aisee maana nilienda msimu WA baridi basi mkifika 2 asubuhi kunafoleni ya magari yanayotakiwa kusafirisha mizigo asubuhi na kuna mengine yameingia usiku yanatakiwa kushusha mzigo na kutengenezwa basi ni kero tupu .

na hiyo asubuhi kipindi kile chadema ARUSHA inatikisa mbaya basi tokea natoka home ni JF tu mpaka nafika kiwandani basi kunasiku kulikuwa na baridi nikajifingia kwenye gari Moja ni mwendo WA JF daa utam ukazidi nikajisahau bana kumbe kuna KAZI natafutwa mbaya kuna mhindi Moja alikuwa anaitwa singa akanifuma hiyo ni no Maelezo nikafukuzwa KAZI ilikuwa ijumaa JUMA 3 nikafuata changu nikageuka dar.

hii ni true story nikikumbuka some times huwa nacheka sana
 
images
congra phlagiey
 
Happily married
Being happily married is one thing, and mingling quite another,
Reading between the lines jamaa hajaenda kwenye mstari mnyoofu, Any room for that???
'Thamaani' lakini kwa kuvamia sherehe isiyo yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom