JF imesaidia sana kupata ushauri na mawazo

JF imesaidia sana kupata ushauri na mawazo

Thingis

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
3,889
Reaction score
5,985
Kwakweli wakuu niseme ukweli tu Jukwaa la Jamiiforum umenisaidia sana ni zaidi ya GT CHAT nimepata mawazo huku misaada huku kupitia nyie ndugu zangu lakini kuingilies kwake inatupa wakati mngumu sana hasa ata ukiwa unaomb shida na changamoto inakuwa tatizo.

Nyie ni ndugu na marafiki pamoja na ndugu,😢 Hali imetokea tunapata pia shida wengine pia tunaumia sio wote ni waharifu jamani wengine pia ndo tunapambana msaada humu na mawazo, Mimi maskimi nitawapa Nini😭
 
1757136928633.jpg
 
Back
Top Bottom