JF imenitia hasara na kuhatarisha ndoa yangu

Akuache hivi utathubutu kuacha jf? La msingi balance mda wako. Maana ukitoka jf utakuwa mpweke uende bar ukichelewa kurudi eti umechepuka so.....?
 
Mwambie mkeo nae ajiunge,mtapishana Kwenye majukwaa tu,wewe ukiingia siasa yeye yuko MMU,mki missiana mnakutana PM.
 
Pole sana dawa ya muweke insta ndiyo kaz ya wadada sana hapo mtaenda sawa yeye anabofya insta ww ubofya jf mambo yatakuwa swadata
 
Alivyo vunja simu ukanunua ingine sio?
ukwamwambia babe sorry ...sirudii tena?

Waswahili siku hizi mna mapenzi ya kuvunja vitu?
bado kuna siku atavunja tv akiona unatazama video ya shilole
au kuvunja vioo vya gari sababu unatazama wadada wanao pita nje

Nilinunua nyingine mkuu sikuwa na jinsi..
 
Alivyo vunja simu ukanunua ingine sio?
ukwamwambia babe sorry ...sirudii tena?

Waswahili siku hizi mna mapenzi ya kuvunja vitu?
bado kuna siku atavunja tv akiona unatazama video ya shilole
au kuvunja vioo vya gari sababu unatazama wadada wanao pita nje

Umesahau na maneno....I hate you.
Au unamuuliza hobby yake anakujibu "ooh baby I like swimming, shopping and reading novels", wakati hata maji ya Bahari/pool hajawahi kukanyaga, na hata kusoma huwa anaishia magazeti ya udaku!!

Huwa napenda sana sinema za masista duu wa Kibongo, wanaishi Dunia yao
 
Back
Top Bottom