The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Umesahau na maneno....I hate you.
Au unamuuliza hobby yake anakujibu "ooh baby I like swimming, shopping and reading novels", wakati hata maji ya Bahari/pool hajawahi kukanyaga, na hata kusoma huwa anaishia magazeti ya udaku!!
Huwa napenda sana sinema za masista duu wa Kibongo, wanaishi Dunia yao
Wanapenda maigizo sana wadada wa siku hizi
ukiwaendekeza anakutia hasara
sasa mtu avunje simu kisa kakasirika si ujinga kabisa..