nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,815
- 4,792
Acha uswahili wewe! hapa kila mtu yuko huru kuelezea hisia zake..na ndio maana watu wanashauriana..acha akili za kushikiwa! kama huna cha kuchangia kaa kimya...
hapo wewe umechangia nini......
Acha uswahili wewe! hapa kila mtu yuko huru kuelezea hisia zake..na ndio maana watu wanashauriana..acha akili za kushikiwa! kama huna cha kuchangia kaa kimya...
Hii na mimi imenikuta, ki ukweli kwa siku almost 6 hrs lazima niwe JF,
Simu ikiisha chaji nanuna kabisa, ila nimeanza mkakati kwa kuweka muda wa kuwa nafamilia
Maana watoto wanataka cheza na dingi mi busy vibaya full kucheka na JF mara nimenuna,
JF tuwe tunapewa time limit na mods per day