JF imenitia hasara na kuhatarisha ndoa yangu

JF imenitia hasara na kuhatarisha ndoa yangu

Mmmh sio kweli buana hizi smartphone zimekuja kuondoa nyege za watu kwakweli
watu wapo bize ni kusmartphonika tu


Haha Hapana bana. Huwezi kuzubaishwa na 'teknolojia' ukampuuza mtu, achilia mbali mpenzi/mke. Ni ngumu sana, labda kama umelazimishwa kuwa nae.
 
Akuache hivi utathubutu kuacha jf? La msingi balance mda wako. Maana ukitoka jf utakuwa mpweke uende bar ukichelewa kurudi eti umechepuka so.....?
 
Mwambie mkeo nae ajiunge,mtapishana Kwenye majukwaa tu,wewe ukiingia siasa yeye yuko MMU,mki missiana mnakutana PM.
 
Pole Sana mkuu lakini kwanza wewe team gani..Lowassa Vs magufuri .nataka tuanzie hapo kwanza kabla ya kukupa ushauri


Hahaha..mkuu nipe ushauri kwanza..
 
Pole sana dawa ya muweke insta ndiyo kaz ya wadada sana hapo mtaenda sawa yeye anabofya insta ww ubofya jf mambo yatakuwa swadata
 
Alivyo vunja simu ukanunua ingine sio?
ukwamwambia babe sorry ...sirudii tena?

Waswahili siku hizi mna mapenzi ya kuvunja vitu?
bado kuna siku atavunja tv akiona unatazama video ya shilole
au kuvunja vioo vya gari sababu unatazama wadada wanao pita nje

Nilinunua nyingine mkuu sikuwa na jinsi..
 
Ahahahaa...mie beibe ananiita mama jamii forum!
 
Huyo ni wa type yako. Mie ukivunja hata chupa ya konyagi ndogo ambayo sio recycleble kisa una hasira mimi na wewe ni mafuta na maji?

Sijawa rahisi kiasi hicho mkuu...
 
Siyo Jamiiforums, hiyo itakuwa "Internet addiction".
 
Alivyo vunja simu ukanunua ingine sio?
ukwamwambia babe sorry ...sirudii tena?

Waswahili siku hizi mna mapenzi ya kuvunja vitu?
bado kuna siku atavunja tv akiona unatazama video ya shilole
au kuvunja vioo vya gari sababu unatazama wadada wanao pita nje

Umesahau na maneno....I hate you.
Au unamuuliza hobby yake anakujibu "ooh baby I like swimming, shopping and reading novels", wakati hata maji ya Bahari/pool hajawahi kukanyaga, na hata kusoma huwa anaishia magazeti ya udaku!!

Huwa napenda sana sinema za masista duu wa Kibongo, wanaishi Dunia yao
 
Back
Top Bottom