JF imenifanya niporwe simu!

JF imenifanya niporwe simu!

Hahaha! Mburula kweli wewe.
Ulipaki gari barabarani na unasema ulikuwa kwenye daladala. Ama wewe profeshenale nindereva wa ma3?

Cc watu8

huyu katunga stori si.umeona alivyojichanganya
 
Last edited by a moderator:
Ukinunua nyingine upite kwa fundi atengeneze pawa windo na kiyoyozi kabisa!!!!!
 
Hahaha! Mburula kweli wewe.
Ulipaki gari barabarani na unasema ulikuwa kwenye daladala. Ama wewe profeshenale nindereva wa ma3?

Cc watu8

ha ha...
hii inaitwa 'first impression effect'..sidhani kama kuna sehemu jamaa ametaja kuwa alikuwa kwenye dala2..ila kwa sababu kasema kamchina,nå alikuwa anatokea kwenye maeneo ya 'wananchi', tayari uliamini itakuwa dala2 tu...

ni kama mwizi anavyoweza kukutapeli kirahisi akivaa suti..au totoz wa Där
wanavyoliwa kirahisi nå akina Yahya wenye Range za kukodi...first impression!
 
Last edited by a moderator:
Hakika nimekuwa mlevi mkubwa wa JF mpaka najisahau na kutoa kamchina kangu popote bila kuangalia mazingira, jana jioni nikiwa naelekea mjini nikitokea Temeke kufika Mivinjeni nikakuta foleni kubwa, foleni iliyotokana na ukarabati unaoendelea wa.....

Dah... Huyu mwizi mtaalamu sana! Yaan kapost uzi wako kabla hujaisha????? :doh: :doh:
 
Ujue ulikua unaenda Machi Machi Guest House......hahahaaaaa pole Mpwa I can feel the pain
...nimechanganyikiwa vibaya, hali hiyo ilinifanya nipoteze umakini barabarani. Nilipaki gari pembeni, hata safari yenyewe ilinitumbukia nyongo!. Hivyo natoa tahadhari kwa wengine, maeneo yale ya Mivinjeni zilipovunjwa nyumba ni hatari sana!
 
Dah pole nyanidume kumbe tupo wengi tulio lewa na JF nyie wamjini ndio hivyo vibaka sisi wa vijijini nandhani siku tuta gongwa na baiskari
 
Hahaha! Mburula kweli wewe.
Ulipaki gari barabarani na unasema ulikuwa kwenye daladala. Ama wewe profeshenale nindereva wa ma3?

Cc watu8

Matusi mengi hata habari yenyewe hujaisoma vizuri acheni kukariri!ukiskia mtu anatoka temeke kwenda town unajua ni daladala tu!dalili za dharau.tafakari chukua hatua!
 
Last edited by a moderator:
...simu, nami sikujivunga! nilifungua mlango na kumkimbiza huku nikipiga kelele za mwiziii! mwiziii! mwiziii! nilimkimbiza peke yangu bila kupata kampani yoyote. Na muda huo huo gari zikawa zimeruhusiwa nikajikuta nimeweka foleni nyingine huku....

pole bwana! ndio mjini kulivyo!
 
...nimechanganyikiwa vibaya, hali hiyo ilinifanya nipoteze umakini barabarani. Nilipaki gari pembeni, hata safari yenyewe ilinitumbukia nyongo!. Hivyo natoa tahadhari kwa wengine, maeneo yale ya Mivinjeni zilipovunjwa nyumba ni hatari sana!

Hili eneo la mivinjeni hili limekubuhu kwa wizi wa simu aisee

CC Teamo Asprin Fidel80 Bigirita RR
 
Last edited by a moderator:
:cell:hadithi hii inatundisha nini mkuu!!, unaweza kuwa mtunzi mzuri wa stori za udaku
 
Hahaha! Mburula kweli wewe.
Ulipaki gari barabarani na unasema ulikuwa kwenye daladala. Ama wewe profeshenale nindereva wa ma3?

Cc watu8

Mkuu ni wapi amesema alikua kwenye daladala?,tatizo lako umesikia jamaa anamiliki kamchina basi hapohapo ukaona huyu level zake ni daladala tuu so atakuwa kwenye daladala..
 
Last edited by a moderator:
Pole sana,nitajie jina la huyo kibaka,la mama yake na bibi yake nimvibishe ko ro da ni sasa hivi! Sitanii.
 
Hakika nimekuwa mlevi mkubwa wa JF mpaka najisahau na kutoa kamchina kangu popote bila kuangalia mazingira, jana jioni nikiwa naelekea mjini nikitokea Temeke kufika Mivinjeni nikakuta foleni kubwa, foleni iliyotokana na ukarabati unaoendelea wa.....[/QUOT

umeporwa nyingine nini ? mbona ujamalizia sentensi yako.
 
Back
Top Bottom