Mkuu mpaka nafikiria nisiwe na smartphone, ili hata nikiwa na laptop iwe ni mda mfupi tu.Binafsi hata mimi huwa inaniwia vigumu sana kushinda bila kuingia humu!
uaipoelimika humu basi utacheka tu uongeze siku
Mkuu hapana, hichi ni cha jfSky Ehicho post: 19985626 said:Mkuu mleta mada umechanganya kiroba na cha Arusha?
Uwepo wa JF muda mwingine unaona hata magazeti hayana maana tena kwa sababu humu JF tunapata breaking news zote kisha zina jadiliwa vya kutosha kwa hiyo hata kesho yake ukiiona hiyo habari kwenye gazeti hutokuwa na mzuka nayo wa kutosha kwa sababu mwandishi wa hiyo habari ataandika kulingana na anavyoelewa yeye na hatoichimba kwa undani zaidiWakuu nashauri jf ifungiwe, maana ni kama madawa ya kulevya.Nimekuwa mhanga wa haya madawa.Ila tuache utani kuna mda inanifurahisha, niliwaza, na pia kujifunza vitu mbalimbali.Dah nimekuwa mtumwa wa jf