Ula la la, I will be there time please? ni kweli ni muda mrefu hatujakaa pamoja (kwa upande wangu) mambo mengi yalikuwa njiani, lets do it.
Weraaaa weraaaa.....la mgambo limelia.....asiye na mwana abebe jiwe......
mmmmmh.....ni ule wakati mwingine tena wa mwisho wa mwaka......JF HQ .a.k.a watalii...a.k.a wazee wa kula bata.....a.k.a wazee wa ma foreign currency........a.k.a watumiaji.....
Kama ilivyo kawaida yetu......niwakaribishe tena katika libeneke la kufunga mwaka.....tuweke mawazo yetu pamoja ili tuweze kudumisha umoja wetu.....
Mara ya mwisho ilikuwa 2010.......jamani jamani......siku nyingi hivyooooo.....
Haya sasa....anayejijua anahusika aitike hapa.......na pia majirani zetu.....na wale wa JF DAR Branch wote mnakaribishwa......
Kwa utambulisho wa kikao cha mwanzo.....ni siku ya Jmosi.....venue...Club 63.......(kwa maoni yangu)....je mnasemaje...?
Nawakilisha........
Hakuna Mataraa!
Ni muda muafaka kwaajili ya kuwa out of hustles and bustles za town!...lets join King lion down in the woods!
Mwenyeji wa kikao tafadhal weka muda!...
Kuna watu weshaanza kuulizia hiyo lokesheni! Hebu baelezeye!
Weraaaa weraaaa.....la mgambo limelia.....asiye na mwana abebe jiwe......
mmmmmh.....ni ule wakati mwingine tena wa mwisho wa mwaka......JF HQ .a.k.a watalii...a.k.a wazee wa kula bata.....a.k.a wazee wa ma foreign currency........a.k.a watumiaji.....
Kama ilivyo kawaida yetu......niwakaribishe tena katika libeneke la kufunga mwaka.....tuweke mawazo yetu pamoja ili tuweze kudumisha umoja wetu.....
Mara ya mwisho ilikuwa 2010.......jamani jamani......siku nyingi hivyooooo.....
Haya sasa....anayejijua anahusika aitike hapa.......na pia majirani zetu.....na wale wa JF DAR Branch wote mnakaribishwa......
Kwa utambulisho wa kikao cha mwanzo.....ni siku ya Jmosi.....venue...Club 63.......(kwa maoni yangu)....je mnasemaje...?
Nawakilisha........
cc:. PakaJimmy Blaki Womani Mungi Erickb52 Mr Rocky Kabakabana Philipo Arushaone marejesho Lily Flower Liverpool FC sweetlady Mzee wa Rula Crashwise Asprin Teamo The Finest Bigirita Mwanajamiione LD Maty Kimey Kaizer WiseLady Maxence Melo FirstLady Sahara Voice Freetown lara 1 cacico snowhite charminglady Madame B Nicas Mtei KARIA et all
Wewe Lily !
Hayo mambo yaliobaki njiani yepi ?
Si mseme tu, hamjakutana kulamba ulabu wa tugeza kwa muda mrefu basi .
Na hapo Ar vya "p" si ni mpo jaloo ?
nini tena mpenzi wangu wa zamani?
Usiniambie na Boflo kaalikwa!...this sounds like a `Never Miss Occasion!'
nini tena mpenzi wangu wa zamani?