JF home sweet home

Kwann hiyo million moja aliyokupa secretarybird usifungue choma point ya kuku, vyapati au baba lishe simple au kuuza visungura mdg wangu

Ntumie business plan kwenye email yangu
 
Katika wote uliowaita amekosekanaje Ayatollah wa JF secretarybird?

Tafadhali mwombe radhi kabla hajaanza kukuchukulia hatua madhubuti
 
Watu tupo serious ni wewe tu ndo una vipengele, make hata Mungu wakati anataka kuwavusha wana wa Israel alimuuliza "Musa una nini mkononi"? Musa akajibu nina fimbo.....

Nakuuliza nikikupa milioni unanipa nini?
Mimi nakupa pesa yako baada ya miezi kadhaaa..
Ukisema ntakupa nini hapo sasa unataka watu tupigane humu ndani
 
Binafsi naendelea kujifunza kuhusu maisha, wakati mwingi huwa nafikiria kuwa umri unavyozidi kusonga mbele kuna idadi ya fedha huwa namini kuwa haipaswi kukusumbua hata kama itakusumbua si kwa muda mrefu. Msinielewe vibaya jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…