JF home sweet home

Kumbe with a million I can do all of that,
Issue ni kwenye kuvitoa hivyo vitu 20! Inategemea na demand, uchangamfu na mengineyo..

Mkuu mashangazi vipi yamekuacha solemba?
 
Biashara ya kitoto hiyo. Mzee wa mishangazi uuze kiduka cha 780k, kweli?

Watu tunawaza kwenda kushika viwanja huko sayari za mbele: mars, jupiter, sartun etc we unafikiria kuanzisha kiduka cha vilaki 7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…