Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ebu njo mbona hivi jaman anakuita au ubamdogo umeisha nijue mie nitafute bamdogo mwingineSijaona aseeh... msalimu saana.
Bado anakufukuziaga tu?
Ebu njo mbona hivi jaman anakuita au ubamdogo umeisha nijue mie nitafute bamdogo mwingineSijaona aseeh... msalimu saana.
Bado anakufukuziaga tu?
Sawa kibumbuMi mzima takutafuta kuleeee kwenye kijiwe chetu
Sijampata kwani we umeshanikataa me kuwa mwanao nijue ndio nimemkubaliaYupi tena umempata wa kuwa bamdogo wako?
Haujanijibu ujue, umemkubalia?
Kwani utoto kwa mzazi huwa unaisha?
Kubalianeni mahari iniletee nitoe zawadi hapa kwa mshindi









ila anakuita
Sawa bamdogoNitakuja mamy
Noma noma hapo nafanya editing kidgo tuDaby Daby
That's my name bro/
You'll shabies
I represent 1st color in rainbow/
Mnamake noise
Wakati nyie light weight/
Mnafail kuloud voice
Mnagombania kuwa size eight/
Nawachana jukwaani
Tena nawasha fire/
Mapepo ibadani
Dude nawasha kaya/
Ona, navyoutawala uzi
Kwa battle nawapodoa/
Onja, acha kupiga miluzi
Kidume ushaachwa unakodoa/
Hali sio poa
Namechange climate mpaka weather/
Napiga hadi naboa
Uzito mzito niite myweather/
U better continue mkuu/Nakaba kila kona, kwa mahaba bila noma
Si haba ninapona, naranda Dar -Kigoma
Makahaba watashona, Sodoma nishagoma
Koloni la wakoma watakoma
Nanona, ka shavu la mtoto wa geti kali
Nasonya, kwa ubavu wa moto wa cheti cha serikali
Hii habari matata, kama kupigwa mbata makata
Katika harusi ya kaka jiko aliyepata
Wapinzani, nawaacha gizani kama hawana LUKU
Wakidhani nawakacha mezani kwa mtaharuku
Hivi vitu ni fani, Nyangema usiijaribu
Hii kuntu mizani, mtagema mtaharibu
Nazoa mahela kama Bahati Nasibu
Naboa kwa trailer movie lake hutanijibu
Shall I continue ?
Kung-fu, kung-fu, kung-fuU better continue mkuu/
Tuko vilimanjaro wengi humu vichuguu/
Hua nastand man alone kucompete na macrew/
Wakileta mistari kinda mistari ya kidada duu/
Me natema mistari ninja inayopiga konfuu/
form1
Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
Whatsup al_watan naona unajitahidiKung-fu, kung-fu, kung-fu
Aliye chini mngoje juu
Chukua ngazi we Masakuu
Usichague kazi ka sista du
Mchagua vazi hupata tu
Muagua kizazi hufata ku
Mchagua nazi hupata koroma
Kama bazazi wadata Dodoma
Kama wazazi wataka Sodoma
Bunge bange karata za kibabe
Tufunge ugangwe parata za mazabe
Bongo si Congo michongo ya uongo
Dogo madongo fyongo mbogo sifongo
Divai ya Ndugai imekinai kwa wenye tai
Uhai wa nishai wana rai sio chai
Kama vazi la kuazima kwenda kwa Mchungaji Gwajima
Ujima hima kima tendea haji kipaji lazima
Aluta continua mapambano endelea
Karuka kautimua hata kama Segerea
Sent from my Kimulimuli
Whatsup al_watan naona unajitahidi
Ila uliona wapi kobe kumzidi duma spidi
Me ni mzee wa kimyakimya sionekani kila thread
Nawasha moto ukizingua hua sina vita baridi
Hii ni mistari beginner ina shombo kali la rookie,Wewe wasema najitahidi, kwa ukaidi
Mimi gaidi zaidi inavyobidi
Kimbiza kama Diddy, msela kuliko Njaidi
Kwa mistari iliyoshinda ya Fidi
Ntakuelekeza kibra nikuchinje kama ISIS
Crisis, don't you ever try this
Wewe si duma, labda umedumaa
Hapa umebuma, shukuru Ijumaa
Hii ni mistari beginner ina shombo kali la rookie,
Rudi jifunze kuongea ukashindane na Cookie,
Flow zimejaa kichwani haina haja kubusti,
Nyangema usishindane nami mistari yako midugi,
Ukizidiwa muite Daby ukija peke yako umebugi,
Hakuna one two one two nakuchana tena rudi
Biti isichange ibaki hapa hapa,Nilichosema unarudia, nilichotema unabugia
Nilichohema unarukia, chema hujasikia
Utungo uvundo, na upiga kwa nyundo
Lundo mdundo, pa kuiga mkumbo
Unafananisha injinia na fundi wako mchundo
Utaharisha sikia kumbikumbi wa Vunjo.....
Hahahah umeingia chimbo siyo jitahidi kaza matako,Nilichosema unarudia, nilichotema unabugia
Nilichohema unarukia, chema hujasikia
Utungo uvundo, na upiga kwa nyundo....