Aah mziki shit dalili hizi ni kazi na uwazi wa wagosi,
Na mweusi mjinga aliyejisifu ana kichwa bila utosi,
Achana na mbuzi aliyejisifu akilenga hakosi,
Mwana wetu akasonga na mkasa mkali wa bosi,
Na yule mwana akaflow kwa hisia huku akimuiga Ross,
Leo kasanda anaruka ruka kama gemu la kwenye kochi,
Kaja huyu dogo anamuita Ney shosti, hana tofauti na mbuzi wa uzi wa vijana wa dar na makoti,
Freestyling stuttering kando mistari so soft, nafreestyle hard kwenye msitu wa vina nipo lost,
Kama unaiweza shughuli I dare you niquote