DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 268
NAHUTUBIA JAMII KWENYE FORUMTutakuua
FAKE MC'S NAWAPANGA KAMA COLUM
MI NI MC MBAYA NAKUUA NIKITABASAM
KILICHOKUKUTA WENZIO WAPE SALAM
HUU NI MWANZO WENYE MWISHO MTAM
NAHUTUBIA JAMII KWENYE FORUMTutakuua
Humu kulikua na wana kibao wote wamesepa,MI MBAYAAAA
Ukielewa utakubali nini tunafanyaMngekuwa mnaweka mada mbali mbali watu wanajadili kwa bars. Wengi usanii mwingi humu, na hakuna wanachosema.
Dah mbona mnatoa Mada zenye MajangaAnayetaka aanze kuongelea mada.
Isiwe mada ya ban, sijawahi kupigwa ban sina knowledge nayo
Serikali siyo ishu imempigisha magoti Seth,Dah mbona mnatoa Mada zenye Majanga
Au mnataka niongee nitolewe Muhanga
Serikali hii sio poa inabidi Kujichunga
Namsalimia Rais huku Najivunga
Dk ni Kigwangala wengine ni Wakunga
Kweli bongo michosho macho Tulifungwa
Dhahabu imepanda ndege na lundo la mchanga
kwa hyo maada iwe ban....?amaAnayetaka aanze kuongelea mada.
Isiwe mada ya ban, sijawahi kupigwa ban sina knowledge nayo
hizi tuhuma za ACACIA hivi ni movie ama kweliSerikali siyo ishu imempigisha magoti Seth,
Hapa tunamngoja Chenge mzee wa vijisent,
Rugemalila ndani ya kisutu kumbe ni mkwepa kodi,
Magufuli bulldozer kila sehemu linabisha hodi,
Ngoja tucheki hii deal kama song la Oliver la Todi
Kumtaja Magu haimaanishi ninamkubali,hizi tuhuma za ACACIA hivi ni movie ama kweli
mara tunamuona barrick wakazungumza privacy tena kwa kiingereza na si kwa kiswahili
mtaani story zikavuma mara atalipa ila si hivi hivi mpaka ikigundulika kama alikwepa muhimili
sasa tupo mguu sawa twataka kuona kitakacho endelea kwa hili dili
ila kikishanuka inabidi hadi walengwa waliopita nao wahusishwe kwani sign walizinakili
hapo ndipo kwenye mtihani ndiyo maana TZ imeitwa bongo ikiwa na maana kitafsili
na nahisi hii itapita kama upepo hizi pambio tushazizoea waswahili
Ni kama mafuta sheli,njoo mistari uikombe/Njuka unazingua na vesi za kuokoteza,
Pumzi huna tutakuua kimistari tutakupoteza,
Wanaume tunashughulika mvulana upo bize unacheza,
Jiangalie kwa makini ntakupa vitu vya kuteleza
Kwa Tanzania Dar ndiyo kila kitu,
Wa mikoani mna wivu ushamba na mabifu,
Vijiweni tunakaa tunapata michongo ya kila kitu,
Puli hatupigi huku kuna mademu visu,
Unga tunaokula we ni lofa hauugusi,
Mi ndo baba yenu nakuadabisha mpuuzi
chaajabu hata vichwa vya habar ni marufuku kuvisomaKumtaja Magu haimaanishi ninamkubali,
Tangu aingie ikulu kupata ajira imekua zali,
Unga umepanda bei ni mwendo wa chai kavu bila sukari,
Kibiti hapakaliki kupita na nguo ya kijani imekua hatari,
Imekua ngumu kuidhibiti hata malaria,
Utata unakuja tumeanzisha tifu na acacia,
Tundu anasema tumebugi wengine wanasema shikilia,
Wana hatuna habari tunangoja noah za makinikia,
Hamna kumtaja ben na mwenzie mawio limefungiwa,
Uhuru wa habari umekua shit saini alipiga Nnauye,
Leo anatolewa pistol kaonja utamu wa uonevu wa bure...
Huu uongozi mtamu kwa wasiokua na vyeti,chaajabu hata vichwa vya habar ni marufuku kuvisoma
na hii ni kwa zote media kiukweli ishakuwa noma
maana huyu mwakye mwenye mbe analeta hizi sogoma
kabla ya hii ishu tulimsikia hakuna kuoa bila cheti cha kuzaliwa ila ikabuma
kufuli ikamuingilia kati ndipo kwenye shimo akadema
na tukija kwa mitaa kama kawa raia kwa maneno tulimchoma
kwani itikadi alizotaka kuzileta zilikuwa ni za kibiliti ngoma
nashangaa kuhusu kibiti leo nimesikia mkwala akijitambiaHuu uongozi mtamu kwa wasiokua na vyeti,
Ishobokee ccm tu michongo yako itajiseti,
Bashite anakula maisha kama Chenge wa vijisenti,
Ajira zimesitishwa moto ni mkali kwa graduate,
Njaa ikatokea wakakatazwa kuuza na kununua tisheti,
Ushauri wa jiajiri siku hizi umekua fashen,
Miundombinu ni shit tunayoimbiwa deile hiyo ni boshen,
Nimecha sana,umetoa kaliYooooo yoooooo,piga keleleeeeeeee
Tusiandikie mate,bora tule mkate,
Tuamue tumkamate,anaitwa Bashite,
Yoooo DJ namba 2
