The gas jina ,uwezo mkubwa ka waves za katrina
Mtonyo sina,ila flows zangu znavua bikin wakina tina
....
Post sent using JamiiForums mobile app
Na huu utumbo siku hizi eti unaitwa mistari,
Vesi zimejaa shombo zinaenda kombo unaziundia mistari,
Na kelele mingi za uongo nna usongo nakuundia mistari,
Uko slow ka ushirombo kukaza hauwezi tena,
Mgumu nimekuja nakusanya roho za manyangema,
Maneno shombo diss nyingi ka Diamond na Wema,
Ulingo unatuhusu panda ndani nikuchape na antena
