JF Hip-hop frestyle battle

JF Hip-hop frestyle battle

Battle Kali tena tamu na imenoga
Ongeza sukari au jam kisha koroga
Kula na kiazi kitam au na boga
Ila kama we mgumu chips ni mboga

Namuona Castr pamoja na alwatan
Wako Ku battle serious sio utan
Navuta bottle ya bia nakaa pembeni
Nione kati yao
Mshindi atakuwa nani


Heavy Weight
 
Wewe wasema najitahidi, kwa ukaidi
Mimi gaidi zaidi inavyobidi
Kimbiza kama Diddy, msela kuliko Njaidi
Kwa mistari iliyoshinda ya Fidi
Ntakuelekeza kibra nikuchinje kama ISIS
Crisis, don't you ever try this
Wewe si duma, labda umedumaa
Hapa umebuma, shukuru Ijumaa
Jinsi vina ninapanga,sijui utapita wapi/
Nakuja kwa spidi ya mwanga,usiulize nimefika saa ngapi/

Me ni faida bro ukinikosa unapata loss/
Na hatakama una kitambi huwezi mringishia boss/

Sikuhizi kidigitali, yani haina konakona/
Mixer chenga kachumbari, utadhani mpishi cantona/
Watoto zima vibatali, maana hamruhusiwi kuona/
Ukizulumu masadali,cheki mshono watavoushona/
 
Kamikaze kamakazi waziwazi
Nivikaze kamba kazi wasiwasi
Ganzi kwa vichwapanzi wa takwimu
Banzi kwa jicho pasi na unajimu
Watoto na wazazi wakose radhi kwa kazi
Mashauzi mashuzi ya mbaazi kwa baadhi
Tukwite Suzi huna vuzi mpuuzi
Vifaranga vya juzi vinaudhi kubuzibuzi
Kazini, mpini mjini sikijijini
Toa vimini, kula yamini hamsini
Ubongo wako mdogo
Udongo kwako msongo
Uongo wako kibiongo
Longolongo kama bomba la Songosongo
Nakutoa tongotongo, kidogo kidogo
Natunga sheriaka kigogo wa Kigogo
Kila mstari unachana, shari kwa vijana
Kwa sana, usiku na mchana
Nawaka, hela kwangu nasaka
Wenye njaa sera zangu nafaka
Mistari ya kibepari, hatari ka jemedari
Hii ari kali zali ka habari ya serikali
 
Kamikaze kamakazi waziwazi
Nivikaze kamba kazi wasiwasi
Ganzi kwa vichwapanzi wa takwimu
Banzi kwa jicho pasi na unajimu
Watoto na wazazi wakose radhi kwa kazi
Mashauzi mashuzi ya mbaazi kwa baadhi
Tukwite Suzi huna vuzi mpuuzi
Vifaranga vya juzi vinaudhi kubuzibuzi
Kazini, mpini mjini sikijijini
Toa vimini, kula yamini hamsini
Ubongo wako mdogo
Udongo kwako msongo
Uongo wako kibiongo
Longolongo kama bomba la Songosongo
Nakutoa tongotongo, kidogo kidogo
Natunga sheriaka kigogo wa Kigogo
Kila mstari unachana, shari kwa vijana
Kwa sana, usiku na mchana
Nawaka, hela kwangu nasaka
Wenye njaa sera zangu nafaka
Mistari ya kibepari, hatari ka jemedari
Hii ari kali zali ka habari ya serikali
Bolo young a.k.a fc libolo,
madogo mko very low
Nawachezesha ndombolo,
viuno laini kama JLo
Mistari gani haiuziki hata kwa jero,ni kero...
Mywheather rap KO
Nawapeleka selo eiyooh!//

Hili chaka la simba,dimbani baba nimeshatimba
Poleni mamceez kimba,kaburi nimeshachimba
Kidume nimevimba,imekuwaje wanarap hawa viumbe wenye mimba//
 
Me ndo mkali wao

Mkali wa enzi zao

Call me nduli roho ngumu ka farao

Game imenipa mtonyo sitegemei tena mafao

Nna andika kwa code ka leonard da vinci

Huwez nielewa hata kama we ni mbishi

Leta swaga za kibongo za congo muachie nyoshi


Pundamilia game mmevamia hamjiwez ki swaga hadi uandishi

Wacha mzugue gaga kama shaa dongo limfikie shishi

Nmeshajikita kwenye game ka mpemba na upishi

Jf hip hop freestyle the best place to be

Call me the gas the best mcee

Mwenye uwezo wa kuflow hata kwenye beat za dr dree

Majungu siofii

Hata lucifer utushitak kwa God ,so i know all lies on me




Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
kwenye rap kitambo, mionzi imerejea/

washamba mmejaa tambo, ila kwangu mtalegea/

rapers vibamia mmejaa humu, radiation muhogo wanaiita mandingo/

sihitaji kura ya Daby zuzu, kuchukua mkanda ndani ya ulingo/

fake hapa mtachizika, kwa flow za mionzi mtachomeka.
 
Nilipenda mademu
sikujua kua ni sumu
sasa najilaumu/sina wakumlaumu/ najihis marehemu/ ingawa siko kuzimu
 
Mazee itabidi tuite watu wapige kura hii battle ya Castr na Al-watan
Kitambo sijatia Miguu kilingine humu.

Ebana battle Yao ipo vizuri,waweke pambano.. wapo vyema!

"Nakupenda sana hip hop zaidi cha machizi wangu wa kitaa,acha tunaokesha nao baa"
 
nakuja kwakshindo na natembea na beat ndani yaulingo,nipo chimbo nasaka madini kmyakmya kama kingo,usije kwa pupa utakatwa shingo kama mamluki kunasa kwenye urimbo,ndoivyo huniwezi kwa ndindo hunifikii hata kwenye deal za bingo.........woooza

Post sent using JamiiForums mobile app
 
let me try these flows, though hatters are there/

Hope you ain't in the clutch because you a choker

You couldn't afford to be a smoker

You rap so bad you had to pawn it and I'm the pawn broker

Scared to go in my store

Come back for more

The clocks ticking and I'm running up the score

They wana give me three points, I go for four

My raps like a museum wanna take the tour?

let me burn you with these rays, you wana need extinguisher fire.

radiation
 
I am not impressed with chlorine gas

Votes gona finish the rest


we al know im the best

so why dont you take a rest

becouse i run this

and all the girls love dis

they think im so fresh

they think im so cool

come and learn in my rap school

so do what you do

but we know radiation is best
of this family
 
Since April 19 tunafanya michano,

Tumetoka mbali na mamluki wakiwemo,

Lyrics famba zikalambwa na mtambaa biti natamba,

Hii gem kitambo balls bigger ukiniiga unachana msamba,

Najiuza mwenyewe sitak promo kama za diamond karanga,

Na upaapa nguva, mkazi unakaza uzi naukata kwa Lyrics sugar,
 
The gas jina ,uwezo mkubwa ka waves za katrina

Mtonyo sina,ila flows zangu znavua bikin wakina tina

Wanao nijua wanajua am the best rapper

Kama jini anayatisha basi niite makata

Hakuna utata

Hawa kinda nawapakata

Daby usinifananishe mana sifanani nao

Mana wao wana copy swaga na viwalo vya dada zao

Habar wanayo

Wanavyo hate mi nakaza natoboa mpaka pande zao

Call me mfarisayo mwenye uchu na ushuru

Akya Mungu ningekua takukuru ningekua kigogo zaidi ya beno nduru

Ukitaka kua maarufu,basi mdis gas

Rapper mwenye kura turufu,hata nikiua sipati kesi


Post sent using JamiiForums mobile app
 
The gas jina ,uwezo mkubwa ka waves za katrina

Mtonyo sina,ila flows zangu znavua bikin wakina tina

Wanao nijua wanajua am the best rapper

Kama jini anayatisha basi niite makata

Hakuna utata

Hawa kinda nawapakata

Daby usinifananishe mana sifanani nao

Mana wao wana copy swaga na viwalo vya dada zao

Habar wanayo

Wanavyo hate mi nakaza natoboa mpaka pande zao

Call me mfarisayo mwenye uchu na ushuru

Akya Mungu ningekua takukuru ningekua kigogo zaidi ya beno nduru

Ukitaka kua maarufu,basi mdis gas

Rapper mwenye kura turufu,hata nikiua sipati kesi


Post sent using JamiiForums mobile app
Ulipotea sana chlorine gas!!!

Karbu tenaa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom