JF Hip-hop frestyle battle

JF Hip-hop frestyle battle

bring your mouth maisha yako ni bul shit

click your button verse zako niblow digit

mi ni chafu homie u need training ili uweze kuwa fit

i told bout my side you so local in industry never u cantvmake it

am your winner we ni mtumia mikorogo ya kichina na hauwezi kucheza za bit

punguza ushamba homie kwa hizi chati we boga nishakutoa out
It's true am so local man that's coz am hood,

Been doin th shit for so long man and I wasn't understood,

Till I hit em with punch after punch and started supplying the goods,

Now every nicca know who the real deal,

I show up in a battle you pussies falling ill
 
mambo mingi vitu vingi kwa kichwa nipo big thinker

way to day one mapema tu ninja nishapewa ujazo wananiita master drinker

ni peace kwa love naishi kila area zangu hot wengine washakuwa linker

kidogo hili ni somo liko differ kwa settlement

naama upande wa pili failier kaja empty kakosa managment

hii ni big bang mixer slang humu kuna andaground soon nitamuajili awe my client
Unatega niwe bize na goma langu ili uje kutamba,

Utakoma kuniiga freestyle utachanika msamba,

Suma aliomba mkasi awakate kamba to kamba,

Mi naiomba koni nakuletea mtoto lamba,

Hii mistarri haikauki kichwani nina bonge la shamba,

Nachuma nnachotaka halafu nakuletea famba,

Uisome na uifeel nnavyokuchoma shenzi castr ndiyo mwamba
 
Nicca so early shit na umeliamsha dude,

Kwa freestyle mi mtamu ndo umeniganda ka kupe,

Kichwani kwako patupu kama mwanafunzi wa upe,

Hata hujui nikifreestyle nagewa leseni ya kuchafua lugha,

Ila naipamba kwa vina unatoka utamu wa asali na shuga,

Ingia gheto nikufunde haujui kitu unazuga,

Nna mbuzi kama wewe nimeamua kuwafuga,

Una hamu ya maneno safi? Ingia jukwaa la lugha
naona umeamua kuleta ngonjera kilaza usiyejua kusaka tonge

hivi sasa ni asubuh nenda ukatafute kazi usivunge

najua wew ni homeless usiye na mishe town cheki ulivyo na wenge

kama vipi njoo kwa ofisi nikupe mtaji angalau ufungue genge

uuze nyanya na bamia nakuhurumia leo nakuvesha vitenge

njaa zina kuponza boy kwa huu msafara wa mamba najua haukosi we ni kenge
 
Unatega niwe bize na goma langu ili uje kutamba,

Utakoma kuniiga freestyle utachanika msamba,

Suma aliomba mkasi awakate kamba to kamba,

Mi naiomba koni nakuletea mtoto lamba,

Hii mistarri haikauki kichwani nina bonge la shamba,

Nachuma nnachotaka halafu nakuletea famba,

Uisome na uifeel nnavyokuchoma shenzi castr ndiyo mwamba
misele kihelehele unashoboka kunifollow sinyorita

kwa leo we upo doro kimaisha wewe ni mama sita

usicheze na hii brain kubwa nasikia matonya alikuimbiaga nyimbo wew si yule anita

naona moyo unakudunda king mr. nakubamiza mpaka usiku unaniota

joto la stress limekutawala ushapotea kwa mtawala ona afya yako yadhorota

kunifikia mimi ni ngumu daima utaishia kusota
 
naona umeamua kuleta ngonjera kilaza usiyejua kusaka tonge

hivi sasa ni asubuh nenda ukatafute kazi usivunge

najua wew ni homeless usiye na mishe town cheki ulivyo na wenge

kama vipi njoo kwa ofisi nikupe mtaji angalau ufungue genge

uuze nyanya na bamia nakuhurumia leo nakuvesha vitenge

njaa zina kuponza boy kwa huu msafara wa mamba najua haukosi we ni kenge
Mshamba acha kukariri kazi siyo lazima ofisini,

Wengine tunasonga na madili ndiyo yanatuweka hapa mjini,

Ultimatum ya Magufuli tumeidindia na tunaendelea kuwini,

Nna watoto wawili na michepuko sita,

Wote nahudumia mimi dili zangu zinatisha,

We mshamba wa Kibiti umefungishwa ndoa ya mkeka,

Kuhudumia kwako mziki demu wako anateseka,

Ngoja wajanja tumkamate na tuanze kumuweka,

Utatoa macho zaidi ya Rayvanny wa Zezeta, au yule mwana Sheta
 
It's true am so local man that's coz am hood,

Been doin th shit for so long man and I wasn't understood,

Till I hit em with punch after punch and started supplying the goods,

Now every nicca know who the real deal,

I show up in a battle you pussies falling ill
unajikongoja mpiga debe kinamba nakuchafua kamavgoli la chizi

kiushamba umenyakua ila kwa flow nipo deep hauniwezi

kiwango chako ni juu ya ardhi kwenye maji utakufa hauniwezi kwenye mbizi

kama boti we ni dizain ya mtumbwi ni baba yako nyambizi

mi ni boy hit maker kwa wew utaishia kuchuna mabuzi

naona umekutana na wembe mkali na ushakuchana usijaribu kushonwa nyuzi

since day one we mlittle tu tena humu kwa jf nakuona makuzi
 
Mshamba acha kukariri kazi siyo lazima ofisini,

Wengine tunasonga na madili ndiyo yanatuweka hapa mjini,

Ultimatum ya Magufuli tumeidindia na tunaendelea kuwini,

Nna watoto wawili na michepuko sita,

Wote nahudumia mimi dili zangu zinatisha,

We mshamba wa Kibiti umefungishwa ndoa ya mkeka,

Kuhudumia kwako mziki demu wako anateseka,

Ngoja wajanja tumkamate na tuanze kumuweka,

Utatoa macho zaidi ya Rayvanny wa Zezeta, au yule mwana Sheta
ulivyo boya eti unaleta stor za michepuko sita huo si ushamba

unazianika privacy zako zisizo na faida kwangu hiyo ni akili yenye ukimba

naona haujui maana ya ofisi ndiyo maana umeongea mitumba

ofisi popote pale siyo kama ufikiriavyo nahisi ushazoea ndumba

kiama chako kichwa chako kwa mimi lazima utayumba

hili ni vumbi la mawe wew mchanga hauna madhara chek navyokutia mimba
 
Uje mmoja mje wengi, hamwezi nizidi POWER
Wote nawakalisha ka kijiwe cha KAHAWA

Hustle zile zile, kwenye pesa i NEVER REST
Leta mchongo niwe active kama JOSE EVEREST

Jipange na mistari, usije SPIDI NA KUNITUSI
Ntakuvujisha kwa cku saba, UTABLEED KAMA P**SY
 
misele kihelehele unashoboka kunifollow sinyorita

kwa leo we upo doro kimaisha wewe ni mama sita

usicheze na hii brain kubwa nasikia matonya alikuimbiaga nyimbo wew si yule anita

naona moyo unakudunda king mr. nakubamiza mpaka usiku unaniota

joto la stress limekutawala ushapotea kwa mtawala ona afya yako yadhorota

kunifikia mimi ni ngumu daima utaishia kusota
Beast mode on sasa naua mende kwa nyundo,

Sikuangalii tena usoni ni kipigo kwa mafumbo,

Mbuzi endelea kujileta tutalia ndizi huo utumbo,

Level zako za kunyeka upuuzi wa fundi mchundo,

Mashudu yamejaa nyuzi na pumba za mbwa Cujo,

Nimekataa makuzi na swaga shit za kuendekeza tumbo,

Dogo bado haujajua soon utaliwa utumbo
 
unajikongoja mpiga debe kinamba nakuchafua kamavgoli la chizi

kiushamba umenyakua ila kwa flow nipo deep hauniwezi

kiwango chako ni juu ya ardhi kwenye maji utakufa hauniwezi kwenye mbizi

kama boti we ni dizain ya mtumbwi ni baba yako nyambizi

mi ni boy hit maker kwa wew utaishia kuchuna mabuzi

naona umekutana na wembe mkali na ushakuchana usijaribu kushonwa nyuzi

since day one we mlittle tu tena humu kwa jf nakuona makuzi
Nimekubali niwe mshamba ujanja wa jiji ni uchangu,

Nimekuachia huo ubaba wa kugawa tako mi nasaka sarafu,

Umezama kwenye tope la freestyle kutoka huwezi unaomba tafu,

Nakuchafua kwa mistari halafu mi ndo nna ufunguo wa bafu,

Nilishakushinda kifea sasa nakuchezea rafu,

Unaendekeza njaa kama profesa wa Cuf,

Umekutana na kidume ngoja nikufunze adabu,

Unaongea utumbo na kukopi shit umenipandisha ghadhabu,

Nakugalagaza na kukupelekesha kifreestyle mi sina sabu
 
Beast mode on sasa naua mende kwa nyundo,

Sikuangalii tena usoni ni kipigo kwa mafumbo,

Mbuzi endelea kujileta tutalia ndizi huo utumbo,

Level zako za kunyeka upuuzi wa fundi mchundo,

Mashudu yamejaa nyuzi na pumba za mbwa Cujo,

Nimekataa makuzi na swaga shit za kuendekeza tumbo,

Dogo bado haujajua soon utaliwa utumbo
Utumbo na ndizi za mafuta,
Long time mwana nakujua chaputa,
Kazana sana mbele ntakukta,
Usipojicheki chalii utaumbka,
 
Nakuona sasa unampaisha na sterio,

Nakupa tu habari mi moto usije toka mbio

Freestlye kwangu zipo interior,

So uje imejipanga kivina au sio?
Siongei lugha ya mtaani,kama nimetumwa na TUKI/
Me na we hatufanani,najua umenzidi chuki/
Hata usipoleta utani,lazima utatoka nduki/
Naandika mistari gun,ukiandika mistari mkuki/

form 1
 
ulivyo boya eti unaleta stor za michepuko sita huo si ushamba

unazianika privacy zako zisizo na faida kwangu hiyo ni akili yenye ukimba

naona haujui maana ya ofisi ndiyo maana umeongea mitumba

ofisi popote pale siyo kama ufikiriavyo nahisi ushazoea ndumba

kiama chako kichwa chako kwa mimi lazima utayumba

hili ni vumbi la mawe wew mchanga hauna madhara chek navyokutia mimba
Hiyi siyo privacy hiyo ni kukuonyesha ninavyowajibika,

We mtoto mdogo bado haujui kushughulika,

Bize kula kwa mama haujui hata kupika,

Cheki vidume tunavyolisongesha, na ndiyo nina michepuko sita,

Kama una hamu kuwa wa saba acha kusita,

Kuhusu privacy ningeongelea show zangu za kibabe,

We bado mtoto wa mama kula yako ya mazabe,

Usikatize street kwa urembo wako ntawaambia wana wakukabe
 
Uje mmoja mje wengi, hamwezi nizidi POWER
Wote nawakalisha ka kijiwe cha KAHAWA

Hustle zile zile, kwenye pesa i NEVER REST
Leta mchongo niwe active kama JOSE EVEREST

Jipange na mistari, usije SPIDI NA KUNITUSI
Ntakuvujisha kwa cku saba, UTABLEED KAMA P**SY
So nice I wanna taste a new pussy,
Nimemla mtoto white Lusematic sasa nakutaka mweusi,
 
Utumbo na ndizi za mafuta,
Long time mwana nakujua chaputa,
Kazana sana mbele ntakukta,
Usipojicheki chalii utaumbka,
Aaah wapi mi mkongwe siwezi kuwa chaputa,

Madem wapo kibao hata siyo wa kutafuta,

Wengine advanced mpaka tunawaruka ukuta,

Wakikamata wazungu wanajipaka kama mafuta
 
Siongei lugha ya mtaani,kama nimetumwa na TUKI/
Me na we hatufanani,najua umenzidi chuki/
Hata usipoleta utani,lazima utatoka nduki/
Naandika mistari gun,ukiandika mistari mkuki/

form 1
Njuka unazingua na vesi za kuokoteza,

Pumzi huna tutakuua kimistari tutakupoteza,

Wanaume tunashughulika mvulana upo bize unacheza,

Jiangalie kwa makini ntakupa vitu vya kuteleza
 
Back
Top Bottom