Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
ha ha haa kweli we kilaza hata vina hauvioniKimistari we Kayumba utabakia hapa hapa,
Hauna vina unayumba kama matusi ya Mkapa,
Mistari imejaa pumba haiwezi shindana na gangster rapa,
Mistari umeijaza shombo na shobo za choko kaoge,
Mistari yako midogo ni robo kutusua labda uloge,
Natishia amani kwa punch na pumzi mambo yako mchafu koge,
nahisi ushageuka mwali mwali na inabidi uingie unyagoni
upeo wako kandambili mi nakunyoosha hadharani
fedhui hauna jipya flow zako tongotongo hata hauoni machoni
nakulaza kifudifudi huu mchezo hauniwezi utakufa maskini
njaa zimeshakutawala we snitch sikupi gwala cha ajabu umevaa shanga kiunoni
ukiniona mimi jifiche haya makucha next level nakuchalaza vitani









