JF Hip-hop frestyle battle

JF Hip-hop frestyle battle

hapa hakuna cha gwajima ila nachojua wewe nivmama huruma

umekuja pupa ushafeli ushakalia visu kwa kirefu kima

unajikaza kurukaruka mtaa mzima kutwa nzima unandindima

mithiri ya khadija kopa hiyo mipas

hapa hakuna cha gwajima ila nachojua wewe nivmama huruma

umekuja pupa ushafeli ushakalia visu kwa kirefu kima

unajikaza kurukaruka mtaa mzima kutwa nzima unandindima

mithiri ya khadija kopa hiyo mipasho unayotema

walowezi wanakunusa we umelala huku wazawa wanajituma
Mi ndo mkora wa wakora unanichezea sharubu,

Mistari yako hovyo umetoa kwenye kibubu,

Kweli bongo nyoso mabrazamen mnanihusudu,

Nna flow na swaga tamu kama nyama ya kudu,

Endelea kunivagaa dogo unawashwa mdudu,

Naona unatapa tapa unasingizia lugha,

Mistari inavutia kama Mimi Mars na Shuga,

Hizi zangu ni vipaji hauji niweza buda
 
NAPAKE WESE MGONGO WA BEN PO
MVUA IMENYESHA NAFUNGULIA CHOO
NINAHITAJI MAJIKE 5 NA M1 JOGO0
JANA PORTUGAL WAMEDROO
WAO WALIANZA KUSCORE
BAKHRESA KILA SEHEMU LAKINI TAJIRI ZAIDI NI MOH
 
I think big mistari hit hakuna pimbi wa kuizima,

Mipasho mingi tako big kama RC wa Mzizima,

Mistari mizani shit pumzi kati pole boya umepima,

Mtoto unajisifu weupe na ngozi soft kama Sauda Mwilima,

Hii inawafaa binadamu hauiwezi we ni kima,

Mistari kama upupu inakuwasha mwili mzima,

Ukitaka kukunwa nambie bonge la bwana noma sina.
 
Mzee nikishika maiki hautambi,
Mistari ya utamu mtamu kama mayai na tambi,

Beat na kiki kali ka mzuka wa Jidenna kwa Bambi,

Humu ndo mistari tata imepiga kambi,

Kichwa kimejaa lyrics mwana breki hazikabi,

Madada kaeni pembeni nimeingia shababi
Waweza kushika maiki na ukaimba bolingo

Nakupiga kwa knockout ya mistari ndani ulingo

Verse zimejaa ni full album sio single

Sorry nimeanza bila salam whattapp yo
 
Mwendo wa kobe akili zao,me nna 4g ya duma/
Mbele wakae wao,mi fataki niwe nyuma/
Nachakaza mpaka kwao,kama kutu kwenye chuma/
Na waambie dada zao,me ndi yule fundi ku**/

form1
Karibu dogo, na mistari ya kucopy,

Usigeuze kisogo, ntakavyokupigisha magoti,

Ma mc tuna usongo, kama tunapewa noti,

Kama uko vizuri kwenye ubongo, okay ni ruksa kuquote
 
Dogo ushachokoza moto,faster piga simu faya/
Nashusha mistari joto,nyie baridi hua mnapwaya/
Ya mrisho muachie mpoto,we masudi sura mbaya/
Kama hujui me ni doto,kurwa wangu ni baba ubaya/

form1
 
I think big mistari hit hakuna pimbi wa kuizima,

Mipasho mingi tako big kama RC wa Mzizima,

Mistari mizani shit pumzi kati pole boya umepima,

Mtoto unajisifu weupe na ngozi soft kama Sauda Mwilima,

Hii inawafaa binadamu hauiwezi we ni kima,

Mistari kama upupu inakuwasha mwili mzima,

Ukitaka kukunwa nambie bonge la bwana noma sina.
hauna utashi wenye utundu na hauwezi kupanga maneno

unajikuna unapowashwa we ni ndezi hauna uwiano

mi ni chapa chapa ilale haujiwezi kiupeo mi ni mwamba wacha nikuchape kibano

we nisheria mama hauniwezi mwenye sheria baba utapotea kwa msumeno

hii ni by pass border we mpaka shedo nakupa pini muumwa gono

naishi kiuhalisia na raia utabaki nyuma ishi kwa vitendo pia mifano
 
Mi ndo mkora wa wakora unanichezea sharubu,

Mistari yako hovyo umetoa kwenye kibubu,

Kweli bongo nyoso mabrazamen mnanihusudu,

Nna flow na swaga tamu kama nyama ya kudu,

Endelea kunivagaa dogo unawashwa mdudu,

Naona unatapa tapa unasingizia lugha,

Mistari inavutia kama Mimi Mars na Shuga,

Hizi zangu ni vipaji hauji niweza buda
we mkora unayejifunza upo kodo nakulaza kwa bakora

kichwa chako cha corrupt cha ajabu mtoto wa kiume unalingia sura

score zero umezipata aisee wewe naona unashape pana kama mwili wa snura
 
Dogo ushachokoza moto,faster piga simu faya/
Nashusha mistari joto,nyie baridi hua mnapwaya/
Ya mrisho muachie mpoto,we masudi sura mbaya/
Kama hujui me ni doto,kurwa wangu ni baba ubaya/

form1
Nakuona sasa unampaisha na sterio,

Nakupa tu habari mi moto usije toka mbio

Freestlye kwangu zipo interior,

So uje imejipanga kivina au sio?
 
Waweza kushika maiki na ukaimba bolingo

Nakupiga kwa knockout ya mistari ndani ulingo

Verse zimejaa ni full album sio single

Sorry nimeanza bila salam whattapp yo
Dogo kazi imekushinda na ushindi mshindo unatua kwangu,

Roho inatakata kwa lyrics kazi za tangu na tangu,

Mistari tata inasonga fasta kama samaki changu,

Na hizi ni levo chafu huzifikii ruksa kupiga majungu,

Mistari imejaa knowledge dogo iskize nikutoe ukungu
 
hauna utashi wenye utundu na hauwezi kupanga maneno

unajikuna unapowashwa we ni ndezi hauna uwiano

mi ni chapa chapa ilale haujiwezi kiupeo mi ni mwamba wacha nikuchape kibano

we nisheria mama hauniwezi mwenye sheria baba utapotea kwa msumeno

hii ni by pass border we mpaka shedo nakupa pini muumwa gono

naishi kiuhalisia na raia utabaki nyuma ishi kwa vitendo pia mifano
Mi natia mistari kazi yako ni mwendo wa sasambu,

Mistari yangu vina shazi kunikamata unapata tabu,

Nakukimbiza umeishiwa nakupa ruksa omba sabu,

Mistari yangu mizito kama mawazo ya babu,

Mistari yako shit kama umelewa ulabu
 
i have a poison nakunywesha bila kikombe wala chupa

sikia hii story andaground hapa ini mwendo wa kukuchapa

bila dhana ila akili yako mdebwedo lazima ijihofie kwa hii chopa

mi ndye nuksi adui yako naona ushasanda mpaka mistar unakopa

haupo gado kukaza hauwezi bora uimbe ngoma za makopa

unautoto mwingi homie hii si ligi ya wanywa chupa

ona ulivyolegea hiki ni kisiki hainaga shobo wala shanapa
 
we mkora unayejifunza upo kodo nakulaza kwa bakora

kichwa chako cha corrupt cha ajabu mtoto wa kiume unalingia sura

score zero umezipata aisee wewe naona unashape pana kama mwili wa snura
Hapa umeandika nini lugha ya mistari inaona utata,

Mi naandika madini kwako kama kapita bata,

Natambaa na biti ngumu kama kahawa na kashata,

Dogo kwa hizi punch nakuona unafyata
 
i have a poison nakunywesha bila kikombe wala chupa

sikia hii story andaground hapa ini mwendo wa kukuchapa

bila dhana ila akili yako mdebwedo lazima ijihofie kwa hii chopa

mi ndye nuksi adui yako naona ushasanda mpaka mistar unakopa

haupo gado kukaza hauwezi bora uimbe ngoma za makopa

unautoto mwingi homie hii si ligi ya wanywa chupa

ona ulivyolegea hiki ni kisiki hainaga shobo wala shanapa
Umeingia kwangu umejichanganya mimi ni ruti ndefu,

Ma mc nawatawanya na makombora ya masafa marefu,

Kwenye darasa la freestyle dogo ulitoka na F,

Ulitoka na Bashite, nakupa somo kuniquote usisite,

Kipigo hevi haya wenzako kawaite.
 
Kwa huu utajiri wa mistari ruksa niite shuga dadi,

Uzito na umahiri namzidi mpaka Chundabadi,

Mistari inatia shoti ka umeme mbele ya mchumba radi,

Mcs nawatoa damu ngoja niwanunulie pedi,

Utata ulishamalizwa mi ndo bingwa wa hii thread
 
Hapa umeandika nini lugha ya mistari inaona utata,

Mi naandika madini kwako kama kapita bata,

Natambaa na biti ngumu kama kahawa na kashata,

Dogo kwa hizi punch nakuona unafyata
kweli ni mistari iliyo na vina ila kiukweli mistar yako haina maana

eti unachana kwenye biti ngumu kama kahawa na kashata hii nini tena?

jifunze kupanga ukaeleweka ha haaa umenifurahisha sana

unabakia kusema dogo am your bro wacha nikufundishe kijana

mistar kwangu ni ukitambo nipo yakinifu kwa uandishi siyo leo wala jana

kwa jinsi ulivyo shuka dau unatia huruma ushapotea kila kona

hero nakupa vizingiti hauniwezi ushakabika kila shina

kiukweli hauwezi kitu we ushazoea sembe hii level nyingine kwa shibe unga wa dona
 
Umeingia kwangu umejichanganya mimi ni ruti ndefu,

Ma mc nawatawanya na makombora ya masafa marefu,

Kwenye darasa la freestyle dogo ulitoka na F,

Ulitoka na Bashite, nakupa somo kuniquote usisite,

Kipigo hevi haya wenzako kawaite.
bring your mouth maisha yako ni bul shit

click your button verse zako niblow digit

mi ni chafu homie u need training ili uweze kuwa fit

i told bout my side you so local in industry never u cantvmake it

am your winner we ni mtumia mikorogo ya kichina na hauwezi kucheza za bit

punguza ushamba homie kwa hizi chati we boga nishakutoa out
 
mambo mingi vitu vingi kwa kichwa nipo big thinker

way to day one mapema tu ninja nishapewa ujazo wananiita master drinker

ni peace kwa love naishi kila area zangu hot wengine washakuwa linker

kidogo hili ni somo liko differ kwa settlement

naama upande wa pili failier kaja empty kakosa managment

hii ni big bang mixer slang humu kuna andaground soon nitamuajili awe my client
 
kweli ni mistari iliyo na vina ila kiukweli mistar yako haina maana

eti unachana kwenye biti ngumu kama kahawa na kashata hii nini tena?

jifunze kupanga ukaeleweka ha haaa umenifurahisha sana

unabakia kusema dogo am your bro wacha nikufundishe kijana

mistar kwangu ni ukitambo nipo yakinifu kwa uandishi siyo leo wala jana

kwa jinsi ulivyo shuka dau unatia huruma ushapotea kila kona

hero nakupa vizingiti hauniwezi ushakabika kila shina

kiukweli hauwezi kitu we ushazoea sembe hii level nyingine kwa shibe unga wa dona
Nicca so early shit na umeliamsha dude,

Kwa freestyle mi mtamu ndo umeniganda ka kupe,

Kichwani kwako patupu kama mwanafunzi wa upe,

Hata hujui nikifreestyle nagewa leseni ya kuchafua lugha,

Ila naipamba kwa vina unatoka utamu wa asali na shuga,

Ingia gheto nikufunde haujui kitu unazuga,

Nna mbuzi kama wewe nimeamua kuwafuga,

Una hamu ya maneno safi? Ingia jukwaa la lugha
 
Back
Top Bottom