Mzee unanipandisha mzuka hebu kwanza kula like,Nimeshiba mistari soon nitatapika
Nawacheki fake rappers jinsi wanavyotaabika
Ukali wa mistari bro haijali rika
Hatua moja nikisonga inakua ngumu kunishika
Mimi najiamini ni mwiko kukimbia
Kwa hilo changa la mtoto sijui nini ulifikiria
Haya usicheke sana hebu nipe hiyo maik,
Mistari yako famba kama uhuru na show za halaiki,
Ukali mkali wa korea na yule mwana kipanki,
Nakutoa damu nasepa ushahidi humu ndani sitaki,
Madude yakikuzidia usisite kwenda kushtaki,
Swaga zako ziko flopi mi mkali haunikamati,
Hii mitindo yako ya kukopi hapa ndo umefika tamati