Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Teh teh..Kawaida bro..Let them have funKaboom hawa vijana
hawana nidhamu yaani haogopi kukuchana
wewe legendary-old school
kipindi cha beat box
Teh teh..Kawaida bro..Let them have funKaboom hawa vijana
hawana nidhamu yaani haogopi kukuchana
wewe legendary-old school
kipindi cha beat box
Mkuu kumbe huvumi ila umo.Eyoo naficha uso ka frasha/
Nilivyo na doo nafanya shopping engarasha/
Kwa habari nawapasha/
Mshakuwa wawet kama mvua ya rasharasha/
Kwa jiwe moja naua pacha/
Naimpress mpaka west muulize hata kadarshan/

Hivi nani alishinda maana raia walikuja kuongezeka kinyama
ulikimbia na zawadi mkuu.I ain't that shitKazi ikawa kazi wana wakaioga shughuli,
Mistari ikamwaga radhi na lugha za kifedhuli,
Mc's nikawafunga shazi vichwani mwao sifuri,
Am so hood nlishapigwa mhuri.
Mtoa zawadi umejichomeka acha nikuangushie jumba,I ain't that shit
they call me super D /
Some said I couldn't this
wana shangaa naongeza Bi--Di/
Nipo mbali saana buda
Watai wakiniona wanaingiza njeve/
Pembeni nipo na huddah
Toto nyuma chura kwa mkebe/
Nawapop tu boi
Wanavyochok kaa chipsi funga/
Shingoni kiara na kikoi
Wanapata wivu mimba zimetunga /
we na daby wote ni kutu mmeshaoza mna speed ya kononoMtoa zawadi umejichomeka acha nikuangushie jumba,
Nna hasira umesepa nikayakosa mavumba,
Kwa hizo lyrics laini battle na mimi? Mzee baba utayumba,
Mistari isiyozaa vina ni shit umeivika ugumba,
Safari hii kama zawadi sipati basi nitaondoka na mchumba.
Mkuu kumbe huvumi ila umo.![]()
![]()
![]()
Castr stay intactMtoa zawadi umejichomeka acha nikuangushie jumba,
Nna hasira umesepa nikayakosa mavumba,
Kwa hizo lyrics laini battle na mimi? Mzee baba utayumba,
Mistari isiyozaa vina ni shit umeivika ugumba,
Safari hii kama zawadi sipati basi nitaondoka na mchumba.
Well doneYooo yooo yooo
Ndani ya jf kumejaa mathinkers, lakini wanamezwa na masinkers
Unaweza uliza swala na maana, lakin unaonekana una laana
Thread za pumba, ndio zinatambaa
Hivi wana jamvi mmejiuliza, kwann mnapenda kujadili mauzauza?
Bongo tuna rais wa ujenzi, hata nzi akiacha ujinga asali hatengenezi?
Viongozi nao wanataka miongozi, najiuliza hawajui uongozi?
Jf ndio nyumbani, ndio wangu wa wa ubani!
My kaka ndio vitu gani hivi!!!Castr stay intact
I'm ready to catch this mission/
Let eye be contact
Or You'll die, that's caution/
Naspit kwa speed
Pressure inapanda umepata BP/
Shoutout sisy espy
Get package usisingizie MB/
Hii kitu kitambo
Enzi tunacopy ng'ambo/
Leo mmejaa michambo
Battle wengi mnnanyea rambo/
Yes, they call me Dabywe na daby wote ni kutu mmeshaoza mna speed ya konono
boy unajipa ubingwa wakati we bado bikra mim ndiye nitakaye kufunua hiko kiuno
mi jasusi nimerudi kukurubuni na kukuchapa kipigo takatifu mixer kukuunguza kwa tope la volcano
nilishakuambia hauwezi kitu unajikaza wakati umeshakazwa ndani ya usingizi we pono
bado upo nyuma kimitindo mchafu kuoga kila siku na isitoshe we ni mgonjwa mwenye gono
Hizi lyrics na mistari shit ya vyeti vya bashite,we na daby wote ni kutu mmeshaoza mna speed ya konono
boy unajipa ubingwa wakati we bado bikra mim ndiye nitakaye kufunua hiko kiuno
mi jasusi nimerudi kukurubuni na kukuchapa kipigo takatifu mixer kukuunguza kwa tope la volcano
nilishakuambia hauwezi kitu unajikaza wakati umeshakazwa ndani ya usingizi we pono
bado upo nyuma kimitindo mchafu kuoga kila siku na isitoshe we ni mgonjwa mwenye gono
Bob umejichanganya na mistari komedi ya Chipukizi,Castr stay intact
I'm ready to catch this mission/
Let eye be contact
Or You'll die, that's caution/
Naspit kwa speed
Pressure inapanda umepata BP/
Shoutout sisy espy
Get package usisingizie MB/
Hii kitu kitambo
Enzi tunacopy ng'ambo/
Leo mmejaa michambo
Battle wengi mnnanyea rambo/