JF Hip-hop frestyle battle

JF Hip-hop frestyle battle

Vuta pop corn halafu nicheki ninavyokata mbuga,

Dogo umeishindwa kazi shindano la modo umekuja na buga,

Kwenye mfuko nimetia kodo hii spirit wine nazuga,

Hii kazi tata jifungieni ndani waluga luga
 
Mkazi kaza nati bati linalegea kutwa kucha,

Makazi yanaelea na maji wana tunaondoka na bucha,

Nyama mpaka jioni unga tela we bambucha,

Nataka hii show inoge mwana nyonga cha Arusha
 
Utata umezidia utata wa Ocean eleven na breaking bad,

Wana wanaleta uwanga tunacheka nao wanatung'ong'a night so sad,

Choko umezidisha shombo na mkorogo shit wa carol lite,

Kama upo gud sogea kati huku kando kuna tube light.
 
mshanishtua Nyege acha nipande hizi K///

Hiphop mpaka rege bongoflava za dokiii//

Mc mwenye dege popote utakapogekia nakuchinja round hii//
Swaga zimekugusa sokwe sasa unaukimbia msitu,

Dogo hizi kazi za Ngoswe achana na hizi vitu,

Kimbia kwenu ukaloge mistari yako haina ishu,

Mistari inasaka tonge iko bize inaona wivu,

Kimbia ukajifiche ebwana hauliwezi hili bifu
 
Battle imekua tight wana wanaikimbia shughuli,

Marapa mbebwe na Daby kama Chato na Magufuli,

Hivi vitasa ni kila siku mpaka siku utayoacha jeuri,

Umeingia kichaka siyo mi ndo rapa mwenye kiburi
 
Battle imekua tight wana wanaikimbia shughuli,

Marapa mbebwe na Daby kama Chato na Magufuli,

Hivi vitasa ni kila siku mpaka siku utayoacha jeuri,

Umeingia kichaka siyo mi ndo rapa mwenye kiburi
Naona wamekukimbia wote
 
Ni harakati zinazofanya tusionekane,

Naona wote manguli sa kwa nini tukwepane,

Freestyle zimejaa mpaka naziacha zibanane

Ukitaka battle na unque ingia tushindane
 
Jf thamani down nyuzi shit zinatrend daily,

Mbuzi anauliza goroli mwingine I luv u beibe,

Crazy ass niccas tumechanganywa na makinikia,

Bongo imeganda tema pumba unangoja Noah ya Acacia,

Na wale mbuzi wa show off kila zizi wanaingia,

Wakishamaliza utumbo wanakuja kutuhadithia..
 
Ni harakati zinazofanya tusionekane,

Naona wote manguli sa kwa nini tukwepane,

Freestyle zimejaa mpaka naziacha zibanane

Ukitaka battle na unque ingia tushindane
Mzee baba safi umeibuka rukia kwenye kitanda,

Na madini niteme teme na mitemo ya Farid Kubanda,

Nimetembeza sana kichapo wanyasa wote wakasanda,

Mzee umetaka battle fanya kufunga mkanda
 
Castr hizi sio workout bali ni mitindo huru,

Nafanya kidikteta mpaka utahisi mi kaburu,

Nafanya michano hadi nahisi nakufuru

Kwenye battle nipo fiti sina uoga wa kunguru
Workout tuliwork sasa imekua gudi,

Hustling daily tryna survive am so hood,

Brazamen umejichanganya kwa huu moto umebugi,

Mistari imepoa kama wimbo wa Nensubi,

Hii mistari mikali moto juu na thamani ya madini rubi,

We bado kinda kwenye fani umekuja bahati mbaya nakutoa makusudi
 
Bro mi sio young dady kuja bahati mbaya

Kwa ninavyo tiririka mashairi boya utavunjika taya

Na kujivunia ukongwe ni dalili za kugwaya

Nitakuponda kivina ka katuni za baba ubaya

Wageni wanakukosha mpaka unakubali sio mbaya
 
Najaribu kuingia mi ni new kwenye uzi

Salaam kwa wote heshima sio makuzi

MAUJUZI.... yamenileta kweny nyuzi

Sina mda na makinikia mi new john abbruzi...
Karibu bwana ndugu utuonyeshe maujuzi

Ila kuwa makini usijeandika upuuzi

Wakujifanya freestyler kwa kifanya udukuzi

Utatengwa na jamii baada ya kufanyiwa uchunguzi
 
Ngoja nijaribu kuchana, japo siyo mzoefu sana

Uzi umebamba sana, michano ya kila namna

Niseme asante sana, kwa daby na huyo mwana

Mnajua kuweka vina, vyenye ladha ya kila aina

Jf naipenda sana, japo nipo toka mwaka jana

Sina mengi ya kusema, kichwa kimechoka sana

Napenda kusema tena, daby shukran sana
 
Bro mi sio young dady kuja bahati mbaya

Kwa ninavyo tiririka mashairi boya utavunjika taya

Na kujivunia ukongwe ni dalili za kugwaya

Nitakuponda kivina ka katuni za baba ubaya

Wageni wanakukosha mpaka unakubali sio mbaya
Kwa Hii mistari nyanya na swaga tozi za kamwambie,

Ugumu wa hii mistari kazi kali lazima nikufanyizie,

Mzee na kutoa machozi Jay dee akasingiziwe,

Ngoja uoge nakozi kisingizio ukongwe braza fanya ukimbie,

Punch baada ya punch kaza angalia usilie
 
Najaribu kuingia mi ni new kwenye uzi

Salaam kwa wote heshima sio makuzi

MAUJUZI.... yamenileta kweny nyuzi

Sina mda na makinikia mi new john abbruzi...
Safi umeingia kaza ulete changamoto,

Ni bora makinikia huku umeufata moto,

Mistari mifupi kama kipisi cha msokoto,

Mistari yangu inauma kama konzi kwa kiparangoto
 
Ngoja nijaribu kuchana, japo siyo mzoefu sana

Uzi umebamba sana, michano ya kila namna

Niseme asante sana, kwa daby na huyo mwana

Mnajua kuweka vina, vyenye ladha ya kila aina

Jf naipenda sana, japo nipo toka mwaka jana

Sina mengi ya kusema, kichwa kimechoka sana

Napenda kusema tena, daby shukran sana
ni vyema nianze na karibu mtu mzima

Jf ni raha ila kuna muda mods wanabana

Darasa la mitindo huru kuna mengi ya kufanya

Ila huku ni no beef zaidi ya kauli kupishana
 
Kwa Hii mistari nyanya na swaga tozi za kamwambie,

Ugumu wa hii mistari kazi kali lazima nikufanyizie,

Mzee na kutoa machozi Jay dee akasingiziwe,

Ngoja uoge nakozi kisingizio ukongwe braza fanya ukimbie,

Punch baada ya punch kaza angalia usilie
Nimeshiba mistari soon nitatapika

Nawacheki fake rappers jinsi wanavyotaabika

Ukali wa mistari bro haijali rika

Hatua moja nikisonga inakua ngumu kunishika

Mimi najiamini ni mwiko kukimbia

Kwa hilo changa la mtoto sijui nini ulifikiria
 
Back
Top Bottom