JF Hip-hop frestyle battle

JF Hip-hop frestyle battle

Wozaup all Jf stand up
Nathink bigger zaidi ya ben Carlson
Hizi freestyle tunazijua zaidi ya ngumu za mike Tyson



Yeeeeeah
Let's go bro
On this some more/

Drop pins joo
Wapige nduru kama kwenye show/

QUOTE niku QUOTE
Sikuti tusikuti/

Mtoto laini kama biscuit
Bisha nikupige nusu kaput/
 
Bob umejichanganya na mistari komedi ya Chipukizi,

Nimezaliwa kufanya natema bars we umesizi,

Ukitaka kupona kamuombe mshana jr hirizi,

Au muite CHIKIRA MTABARI aje kunipleas,

Nikuonee huruma nisikutoe injuries leo nna hasira ka mkizi,
Get be on my hand
Bro Nakupa fair play/

Ukitaka uje kwa my bed
Mi Fundi wa kitanda kama aslay/

Hii ni vita ya korea
Missile zinalipuka kaa volcano/

Nakaba strikers mnapotea
Nawaminya, dizain mmeiva kama avocado/

Niwakumbushe kuna Gonorea
Mjihadhari na katikati ya mabano/
 
Yes, they call me Daby
Kwa Rap nipo simple/

Valentina ananiita hubby
Unataka battle hunahata wimbo?/

Ubingwa ni wangu
Wahi chimbo ukauze na machangu/

Japo narap kwa hamu
still nawaona floppy kaa Ram/
Valentina ni wa Mondray umeamua kulivunja pendo,

Kufreestyle huwezi umeamua kuiba wachumba,

Penzi lao lilishamiri siyo bure ulitumia ndumba,

Mondray yuko hoi anasikiza ngoma ya Mwanayumba.
 
NASHIKA MICROPHONE NINAIVUNJA KAMA MUA KWAAAAH!
ILIKIMYA KIMYA SISI TUWEZE KUKAMUA PAAH!
RISAS INALIA MWENYE UKUMBI KASHAGUNDUA DAAAH!
VP MC PONYA MAISHA MBIO TIMUA ..SHAAA!!!

Hahaha
 
Nawaona mmeanza mbio, bila kujua mwisho, wengi walioanza sio, unque anakuwa kitisho, ukinigomea ndo ndio, nipo mpaka hitimisho, mlifyatuka bila mlio, sasa nawaona wapaka picco
 
Valentina ni wa Mondray umeamua kulivunja pendo,

Kufreestyle huwezi umeamua kuiba wachumba,

Penzi lao lilishamiri siyo bure ulitumia ndumba,

Mondray yuko hoi anasikiza ngoma ya Mwanayumba.

Sio kuvunja pendo tu
Nawavua hadi vipedo/

Mwendo wa mateka mikono juu
Mkatoliki nasambaza upendo/

Wee haumwoni faiza wa Mr 2
Ukiachwa unapoteza hadi nyendo/
 
Get be on my hand
Bro Nakupa fair play/

Ukitaka uje kwa my bed
Mi Fundi wa kitanda kama aslay/

Hii ni vita ya korea
Missile zinalipuka kaa volcano/

Nakaba strikers mnapotea
Nawaminya, dizain mmeiva kama avocado/

Niwakumbushe kuna Gonorea
Mjihadhari na katikati ya mabano/
Uanaume umehama siyo wa kujisifia kitanda (cc: miss chagga)

Spitting shit and blunder, jipange umiliki hata kibanda,

Hili balaa ndo limeanza hebu kaza mkanda,

Nikupigishe mchaka mchaka mpaka uuhame uzi,

Waite wengine washuhudie ninavyotema ujuzi.
 
Nawaona mmeanza mbio, bila kujua mwisho, wengi walioanza sio, unque anakuwa kitisho, ukinigomea ndo ndio, nipo mpaka hitimisho, mlifyatuka bila mlio, sasa nawaona wapaka picco
Nawaonja nawachovya
Wananiita unju bin unuq/

Nawananga in a jovial
Mnafake hamstuki/

Hitimisho la Vitisho
Nakuvalisha pete dada zako Wapige vivijo/
 
Sio kuvunja pendo tu
Nawavua hadi vipedo/

Mwendo wa mateka mikono juu
Mkatoliki nasambaza upendo/

Wee haumwoni faiza wa Mr 2
Ukiachwa unapoteza hadi nyendo/
Unakula mke wa mtu anza kulinda marinda,

Jifunze na mauno umfikie Aisha Madinda,

Ray waniache njoo utuazime ky, kuna jamaa hajajua kua mke wa mtu hafai.
 
Nawaonja nawachovya
Wananiita unju bin unuq/

Nawananga in a jovial
Mnafake hamstuki/

Hitimisho la Vitisho
Nakuvalisha pete dada zako Wapige vivijo/
Chunga maneno yasije kukugeukia,

Shika adabu yako usijesema sikukwambia,

We ni mkongwe ila vumbi naweza kutimulia,

Kama ni battle kwako iko fresh kwangu fresh pia,

Maana nna hamu jichunge mwendokasi kudandia
 
Uanaume umehama siyo wa kujisifia kitanda (cc: miss chagga)

Spitting shit and blunder, jipange umiliki hata kibanda,

Hili balaa ndo limeanza hebu kaza mkanda,

Nikupigishe mchaka mchaka mpaka uuhame uzi,

Waite wengine washuhudie ninavyotema ujuzi.

Uanaume umehama?
Unatafuta backup ya miss chagga/

Hata uwe pedeshee mtoto wa ndama
Kidume, mtoto umkune ndani ya chagga/

Tuulize sisi
Wakongwe wa kambi ya fisi/

Kabla ya kuingia u-cc
Town tuliishi kwa fix/

Ujuzi wangu hauelezeki
Dadeki juu ya mlima sitetereki/

Ndeleko chana sibebeki
Nakuingza uvinza ukapigwe deki/

Cheki, weka steki minyama legelege nailenga kati sifanyi misteki/

Castr baki na mimi,
Au unataka nikutumie jini/

Majani natupia, ndai kali rodini
Nachange gia, bei gali nauza madini/


Hahaha weww jamaa baadae bwana
 
Uanaume umehama?
Unatafuta backup ya miss chagga/

Hata uwe pedeshee mtoto wa ndama
Kidume, mtoto umkune ndani ya chagga/

Tuulize sisi
Wakongwe wa kambi ya fisi/

Kabla ya kuingia u-cc
Town tuliishi kwa fix/

Ujuzi wangu hauelezeki
Dadeki juu ya mlima sitetereki/

Ndeleko chana sibebeki
Nakuingza uvinza ukapigwe deki/

Cheki, weka steki minyama legelege nailenga kati sifanyi misteki/

Castr baki na mimi,
Au unataka nikutumie jini/

Majani natupia, ndai kali rodini
Nachange gia, bei gali nauza madini/


Hahaha weww jamaa baadae bwana
Balaa linakuzidi kimo unageukia ulozi,

Mc deal huna unatuletea mapozi,

Nakaza mistari migumu lazima nikutoe machozi,

Uzi ulipotea sasa nimekuja mwokozi,

Miss chagga nimemuita huyu demu ni balozi,

Wa mademu wapenda hela na wanaopenda matozi,

Hiyo badaye ukifika ntakua nmesambaratisha kikosi,

Mkuu wao umechimba nakuruhusu nenda kajikoki.
 
Kudunda midundo shit na kazi hailipiki,

Mbuzi kaza mwendo kimbia hivi vitasa havipimiki,

Nishapokea bando la freestyle ngoja nikamatie maiki,

We ni mchumba kam wale ngoja nikugeuze maiti.
 
Ujana ulikua jana uzee umeshapiga hodi,

Haujatengeneza njia kutwa kutengeneza bodi,

Sugua gaga mzee baba unakosa hadi kodi,

Na zuga ya falsafa tata kama za Walter Rodney
 
Back
Top Bottom