JF Hip-hop frestyle battle

Yap yap yap walezi/
Tunashindia viazi/
Sababu ya wazazi/
Tunayapenda malezi/
Yasio ya kipuuzi/
Geto letu la mianzi/
Tumeezeka kwa magunzi/
Hivi mnasikiliza au mnatoa ushuzi/???????
tif tif cha we ni mlezi unaye shindia viazi na hauna kazi

na usithubutu kuwa panya road maana nakujua we ni mpuuzi

sitokuchana sana nakuhuruhia utakija umwa kwa over dozi

mi humu ndiye elephant wao wengine wote ni kima cha mbuzi

ila nakushauri usibattle tena jifue kwanza upate maujuzi
 
Yeloo sabhai, mbona leo Utaneng'eneka.
Mzuka wa kimasai, naona umesha anza kutweta.

Humapati dad yangu, maana naskia unasweta.
Umesha ntia uchungu, aisee leo naku keketa.

Diazaini ya twanga, lazima utatapepeta
Demu ako ni moja kanga, hajakusimulia alicha pata.

Nakuwa Kendrick Lamar, nakwambia be humble.
Punguza zako njaa, unaiga kuny kwa tembo.
hakuna kuneng'eneka we kwangu ni mateka

ama mwali nishakuvesha mini na kanga na ndani nishakuweka

shujaa kama mim kapuku kama wewe kitambo nishakuzika

kuhusu drama na unazoleta kama mama huruma unatapika

leo live unajishobokesha kigoli kazi yako ni viuno kukatika

ama bora uwe msusi ili mashoga wenzako uweze kuwasuka

mi huwaga sinaga nukta nakuchana mpaka tako lako linatatuka
de032f5bc12ede842d51bd73a569e146.gif
 
nawachalaza nawalaza we huyo boya mwenzako...



iko wazi mi ndiyo mtemi na unatetemekeka ukiona nimeingia
..
Dah baada ya masaa mawili ndiyo unarudisha majibu,

Una moyo wa chuma mwana hata huoni aibu,

Nakuonea huruma nazidi kukuharibu, na akili zako ndogo kama nywele za Chibu,

Mzee kama huwezi battle kaa kushoto angalia wengine,

Hizi voko moto kali kaa mbali usipime,

Nimejivika usongo we deal na moyo mashine.
 
hakuna kuneng'eneka we kwangu ni mateka

ama mwali nishakuvesha mini na kanga na ndani nishakuweka

shujaa kama mim kapuku kama wewe kitambo nishakuzika

kuhusu drama na unazoleta kama mama huruma unatapika

leo live unajishobokesha kigoli kazi yako ni viuno kukatika

ama bora uwe msusi ili mashoga wenzako uweze kuwasuka

mi huwaga sinaga nukta nakuchana mpaka tako lako linatatuka
de032f5bc12ede842d51bd73a569e146.gif
Fresh mrembo, naona ushaanza mazarau.
Unajikuta chombo, kisa wahun wamepanda dau.

Kam unaenda we nenda, ila usisahau.
Shoo uliipenda, sema tatizo ni wadau.

Acha niwe timbulo, leo nilie kwa uchungu.
Nime baki solo, kimeondok kipenz changu.

untuwekea gift ya emcee, kwel jamaa una akili fupi.
Huwez hata kufikiri, akili zako ndio hizo kimo cha jotii.


Ivi unafikiri kwa kichwa, au makalio.
Kwanza we sio mwanaume, lazm unakasoro
 
Daby Vijana wako vizuri aisee..Najiona kama niko ligi ndogo
Usishoboke bwana mdogo kwa kujiona umefika mbali,
Utakuja kushikwa ndogo
ndio ujikute unaafadhali,

Freestyle inawajuzi nakushangaa jinsi unavojisifu,
bakia kusoma huu uzi
kabla sijakung'ata ka siafu,
 
Dabo!!!

Naona watu walishindwa kuelewana.
Mizuka iliwapanda sana,shindano limeshindikana.

Hip hop chakula cha Ubongo.
 
Ebwana sikuuona Uzi.. Japo ni wa Leo ila comment nyingi kama umeanza juzi.. Niko safi.. Kombati mithili ya Gaddafi.. Namiss viroba.. Niko high huwezi nikuta soba.. Mitindo ya kughani.. Daby piga beat dzain za majani.. Keyon nipe kipaza sitaki utani.. Nadunda kwenye beat mithili ya nyani kwenye miti.. Niko maskani deile nakula kijiti..

Mazee ngoja nikae sawa
Haha b5-click!!!

Niiite palamagamba na jigamba,
Kama huniwezi vua gamba,

Au kakodoe Filamu sultan Tamba,
Pia msalimu mika mwamba,

Jf bwana inamambo mengi,
Wacheshi wagonvi wapo wengi,

Demu ananiuliza mbona unamarafiki wengi,
Nabaki nacheka haha.. namjibu subiri utanicheki naTajiri mengi,

Kuna ma-mc wapenda Shari,
Nabaki najiuliza hivi washawahi hata kupanda gari,

Teleza maneno ban upigwe,
Pole imufikie ndugu yangu Igwe,
 
Hip hop battle jf ninja nakuja na beto

mazuzuu mchecheto mauno feni mmefundwa na mobeto?

Ukijiona true nigger quote this my ninja reply to mi Nigger

hip hop my life nigger,dondosha dharau nigger i'll pull da trigger nigger.......hahahahaaaa that z wat we do nigger!
 
Natembeza ka kichapo,
Walio zoea vya dezo
Wanakula msoto getto,
Kama unataka bero,
Njo nako 2 nako,
Weka mbali beto,
Wakali wa kamchezo,
Leta mashauzi uguswe jicho,
Hip hop c nguzo tano,
Ni zaidi ya michano,
Na mawaki hawanamsimamo.
 
Katikati ya jana na kesho hapo ndipo kuna muda,
kazi maden kuzidi malipo mwiko mmi ni professional

Kubanda
 
Yoyoyoyo kila nikishit magal mambo huwa hit! Mazee kitambo sio sana bado miaka Nakumbuka ,
Zilivuma za Osama biladen na Obama USA
Juzi kati zikavuma Mkoa wa Daresalama Aisee!
Mashoga na wa kina mama Wakapanga kusutana
Kuhusu Vyeti Mazee "
Konda kusikia Kabana nyingi chini ya kapeti
...hiyo sio Laana Ni mchezo wa kubet!!!
 
Nipo single kama ndonga,
Wanaojitahidi kuchana nawashona,
Wagonjwa wahip hop tayari washapona,
Nawaacha mababy boy wanapaka poda,
Wachawi kutwa hawachoki kuwanga,
Hawaeliwi kabla na tangu nimejipanga
*Jah Salu* wanabaki wakitamani jina,
Wengine eti sijui kupanga vina.
 
Dabo nomaa
umenikumbusha
mwaka jana tulikua na wakati mzuri sana kwenye uzi kama huu
naona watu wana vina mizani na vipaji balaa
 
Daby Vijana wako vizuri aisee..Najiona kama niko ligi ndogo
Kaboom hawa vijana
hawana nidhamu yaani haogopi kukuchana
wewe legendary-old school
kipindi cha beat box

Usishoboke bwana mdogo kwa kujiona umefika mbali,
Utakuja kushikwa ndogo
ndio ujikute unaafadhali,

Freestyle inawajuzi nakushangaa jinsi unavojisifu,
bakia kusoma huu uzi
kabla sijakung'ata ka siafu,
 
Usishoboke bwana mdogo kwa kujiona umefika mbali,
Utakuja kushikwa ndogo
ndio ujikute unaafadhali,

Freestyle inawajuzi nakushangaa jinsi unavojisifu,
bakia kusoma huu uzi
kabla sijakung'ata ka siafu,
wewe msangi wa wapi,

wanangu wengi wasangi,

kama msangi wa usangi,

nitakufunza misingi,

punguza puliza bangi,

acha kuchana madingi,

utakula visu vingi
 
Usishoboke bwana mdogo kwa kujiona umefika mbali,
Nashukuru kuniita bwana,Hata kama ni mdogo
Tena ni bonge la bwana,Zaidi ya shetta wa shikolobo
Nakula vitu classic/visafi,Siitaji yako ndogo
Umenipata dogo?

Utakuja kushikwa ndogo
ndio ujikute unaafadhali,
Naona unatafuta basha,Nenda mombasa ndo kwenye soko
Huko utapata fasta,Soon unamiliki mkoko
Usisahau kinga,usije kufa kijinga

Freestyle inawajuzi nakushangaa jinsi unavojisifu,
bakia kusoma huu uzi
Ujuzi una wajuzi,Sio wewe mpuuzi
Wapi nimejisifu?,Dogo soma ukaelewa
Acha shobo dundo,usije ukaolewa

kabla sijakung'ata ka siafu,
Kung'ata tabia za kike,Ita mashosti zako ndo mzipige
 
Back
Top Bottom