JF Hip-hop frestyle battle

JF Hip-hop frestyle battle

unajitamba una ubongo mkubwa wakati una ufinyu wa mawazo

jipange sana kiukweli kubattle nami hauna vigezo

upo nyuma kwa knoledge unachokiandika kwangu uozo

we ni kifafa kwa red carpet umepitwa na wakati kams H.mbizo

hapa ni wiggle wiggle we ni zigo zigo ushakufa kwa huu mchezo

uliza east n west side who am i watakupa muongozo

unajitahidi kuchonga kumbe ndiyo unazidi kuboronga hauna uwezoView attachment 499723
Kichwa pumba profesa Lipumba unatema mashudu,

Mpinzani punga piga ukunga umenikuta mdudu,

Ruka ruka iga tembo utapasuka mkund*,

Unga unga upate vina badae utanihusudu,

Niquote sana utafute jina gharama yake ududu.
 
Dogo pumzi ishakata kila kitu utamaliza, mara kuchana mara kuimba mi nazidi kukuumiza,

Mistari migumu itaendelea kukuliza, umepotea umenikuta na akili zangu za giza,

Hii crown ni ya kwangu na nnazidi kukimbiza, wachumba kama nyinyi nazidi kuwaburuza,

Mistari hevi punch nzito nazidi kukaza, ukipata upenyo toka mbio na uache kuniwaza.
are u seriously kid eti is your crown are stupid endelea kujifurahisha

we ni kama mrembo leo una kuja five way down hauna maisha

unajifunza kuspeechless huu ni zaidi moto usijaribu kukinukisha wakati haujui kukiwasha

mi ndiyo hero man himself nakubattle hadharani we ni mwali ila washakushesha

unajipa moyo upo juani mi nipo kwa kivuli we ni big unajichosha

upo ki andaground sana unahitaj more skills mpaka uje kuwa mimi umri utakuwa kwako umekwisha

we ni bosheni ama kopo nakuona kwa hii thread umejiegesha
hb.jpg
 
kichwa changu chimbo tosha sura kama bi kidude mmefanana mule mule

ukiona kimya nipo offline nachokuchana ni papo kwa hapo ushanisoma we ngedele

hapa nakuchapa knock out bila huruma live unatumbuka majipu najua hauna mapele

i know unanihofia ninja siishiwi nipo stoper kwa kwenda mbele

unapakatwa kama mrembo haunajipya ushasinyaa kama pamba za afande sele

R.I.P BI KIDUDE

View attachment 499725
Nilifikiri ushakoma matusi ila haina noma,

Hata huku haunigusi moto wake utakoma,

Lusematic we mchumba ntakuteka ka Roma,

Gheto ntachokufanya kurud kwenu utagoma,

Boniuso ana wivu mwambie ataisoma,

Castr natamba ndo nimeshashiklia goma,

Malavi davi high clas wenye wivu wapate homa,

Usisikize maneo ya watu roho zinawachoma, wakiona unatanuka roho zinawauma, hawajui mzigo wangu ndiyo unakujaza nyuma.
 
Natia tofa baada ya tofa kila ukitikisa mguu,

Top C wake ulofa we kimbia ka Babuu,

Hamna wa kupinga nainua ushindi juu,

Baada ya hiki kipigo ukionewa wewe niite,

Nimefuzu kwa kila kitu hapa ni freestyle kumite,

Hamna wa kunihoji wala kunifanya nisite,

Naendelea kukupa dozi we mc mwenyewe Bashite.
hakuna ujinga kama kujifariji kwenye vumbi

mchana mwanga usiku utanyea kambi

kweli siku hizi michano hakuna wanaflow hadi mapimbi

unataka kuuwa game kamwe hauwezi we ni kumbikumbi

kuna wenyewe wakina sisi since way back day le unashindia tambi

bado yank cha ajabu unakuja kwa thread unajipa ushidi labda ushindi wa kitambi

unaujingavumeshakutawala unaninyenyekekea mpaka unaleta vitimbi
5a6c158f46704ba904b85e8fe22f4335.gif
 
Kichwa pumba profesa Lipumba unatema mashudu,

Mpinzani punga piga ukunga umenikuta mdudu,

Ruka ruka iga tembo utapasuka mkund*,

Unga unga upate vina badae utanihusudu,

Niquote sana utafute jina gharama yake ududu.
eti unajiita mdudu kwenye ubinadamu kweli we ni zero brain

kama ni boxer leo imekuwa haibu ndondi kwako siku hizi unavaa bikini

kuhusu wew mnenguaji mfa maji hauna upepo inavidi upekekwe jandoni

soon utakuwa mcheza segere na utafungwa kanga kiunoni

mi ndiye yule iron king we mdebwedo hauna fact kama demu wa porini

kamwe haunipati na change gia speed bugat we colora hauuwezi ushindani

trip zangu far way kutalii popote nipo we kimsitu si bushmen
7bf05d04bdc90af140e6508536f4cee1.gif
 
are u seriously kid eti is your crown are stupid endelea kujifurahisha

we ni kama mrembo leo una kuja five way down hauna maisha

unajifunza kuspeechless huu ni zaidi moto usijaribu kukinukisha wakati haujui kukiwasha

mi ndiyo hero man himself nakubattle hadharani we ni mwali ila washakushesha

unajipa moyo upo juani mi nipo kwa kivuli we ni big unajichosha

upo ki andaground sana unahitaj more skills mpaka uje kuwa mimi umri utakuwa kwako umekwisha

we ni bosheni ama kopo nakuona kwa hii thread umejiegesha View attachment 499727
Mistari yako haina vina wala haina mizani, hapa naishangaa hiyo jeuri ya kuniita mezani,

Unaandika hovyo kama kapita bata, mistari ya kitoto na wenzako walifyata,

Unaleta undorobo mbele ya gangsta rapa, nimevaa usongo sikupi tena kipaza,

Hiyo Mistari robo kelele tani mia, nakuchapa na perfect combo mwenyewe utakimbia.
 
hakuna ujinga kama kujifariji kwenye vumbi

mchana mwanga usiku utanyea kambi

kweli siku hizi michano hakuna wanaflow hadi mapimbi

unataka kuuwa game kamwe hauwezi we ni kumbikumbi

kuna wenyewe wakina sisi since way back day le unashindia tambi

bado yank cha ajabu unakuja kwa thread unajipa ushidi labda ushindi wa kitambi

unaujingavumeshakutawala unaninyenyekekea mpaka unaleta vitimbi
5a6c158f46704ba904b85e8fe22f4335.gif
Unaandika mistari na mada zisizoendana, nimeshakuchanganya umeanza kutafutana,

Kilio chako ililie Chato kama Remi na Mwanza, bando lako ujinga wako umejileta nakukaza,

Ukiiona hi id kumbuka ilivyokufanya, siku 3 mfululizo wenzako wanahanya.
 
Mistari yako haina vina wala haina mizani, hapa naishangaa hiyo jeuri ya kuniita mezani,

Unaandika hovyo kama kapita bata, mistari ya kitoto na wenzako walifyata,

Unaleta undorobo mbele ya gangsta rapa, nimevaa usongo sikupi tena kipaza,

Hiyo Mistari robo kelele tani mia, nakuchapa na perfect combo mwenyewe utakimbia.
mara perfect kombo mara ooh mistar yako haina vina

sitaki kukupa somo nakupa vina mwisho sawa mama angelina

nimegundua uandishi hauujui we ni kilaza front page ndyo maana hauna maana

kati wew yupi bora kwa misimgi kimisingi uwezo we kimwana

unaandikiwa kiuwepesi hata macho hayaoni kweli unatabia za kisichana

mi ni ngome ubongo wangu umekusanya vingi hii ni battle naona unaogopa haukawii kutukana

kama umezoea kupimp face basi we ni mrembo welcome to my hood nikufundishe kuchana
7871bf36efc65135ebc6b87819409fa3.gif
 
eti unajiita mdudu kwenye ubinadamu kweli we ni zero brain

kama ni boxer leo imekuwa haibu ndondi kwako siku hizi unavaa bikini

kuhusu wew mnenguaji mfa maji hauna upepo inavidi upekekwe jandoni

soon utakuwa mcheza segere na utafungwa kanga kiunoni

mi ndiye yule iron king we mdebwedo hauna fact kama demu wa porini

kamwe haunipati na change gia speed bugat we colora hauuwezi ushindani

trip zangu far way kutalii popote nipo we kimsitu si bushmen
7bf05d04bdc90af140e6508536f4cee1.gif
Ni kweli mdudu na unajua hebu acha kuzuga,

Hii show kali nawatia virungu nyie waluga luga,

Kipigo hevi daily wenzio wakachanja mbuga, na we ni mchumba mwingine jiandae kuaga,

Mistari hevi imekulevya kama balimi lager, na ni kweli mi ni boxa njoo tupange spaga.
 
Unaandika mistari na mada zisizoendana, nimeshakuchanganya umeanza kutafutana,

Kilio chako ililie Chato kama Remi na Mwanza, bando lako ujinga wako umejileta nakukaza,

Ukiiona hi id kumbuka ilivyokufanya, siku 3 mfululizo wenzako wanahanya.
Acha kuonea dagaa.. njoo kwa wahuni tukupoteze kwenye mitaa.. tunaandika kwa kichwa, na ukika vibaya unafichwa.. nakula paja ila sikisahau kichwa.. Huna cha kusema Mc chura.. Kelele zako za kibisho.. Haziniyimi usingizi Mc Tembo a.k.a hadkoo.. Nakupiga mapigo ya kimbo slice ebwana mi ni soo.. Unda jeshi mje mob.. Peke yako huniwezi labda ukinifanyia blow job..

Mapigo matakatifu mizuka ikipanda.. Cheza segere cheza mchiriku ni hii Hip Hop lazima utasanda..
 
mara perfect kombo mara ooh mistar yako haina vina

sitaki kukupa somo nakupa vina mwisho sawa mama angelina

nimegundua uandishi hauujui we ni kilaza front page ndyo maana hauna maana

kati wew yupi bora kwa misimgi kimisingi uwezo we kimwana

unaandikiwa kiuwepesi hata macho hayaoni kweli unatabia za kisichana

mi ni ngome ubongo wangu umekusanya vingi hii ni battle naona unaogopa haukawii kutukana

kama umezoea kupimp face basi we ni mrembo welcome to my hood nikufundishe kuchana
7871bf36efc65135ebc6b87819409fa3.gif
Umeanzisha matusi mara ghafla unaogopa,

Umeamua kuja na mipasho ya hadija kopa,

Huu utumbo unaoandika nimegundua wewe siyo mzima, kujiongelesha kwingi kama methusela gwajima,

Hapa utatulia na hizo fegi utazima,

Dogo kuchana hujui bora urudi kulima,

Umejidanganya kunivaga ungeanza kupima,

No more drama muuhfucka am the winner
 
Mkate wangu mtamu kila nikiupaka kimbo,

Slices haziishi hamu kama hii yangu mitindo,

Mistari yako uvundo ngoja nikuchape fimbo,

Yangu ni mitamu hii nategea ulimbo,

Najua hauniwezi ila karibu kwenye ulingo.
 
mara perfect kombo mara ooh mistar yako haina vina

sitaki kukupa somo nakupa vina mwisho sawa mama angelina

nimegundua uandishi hauujui we ni kilaza front page ndyo maana hauna maana

kati wew yupi bora kwa misimgi kimisingi uwezo we kimwana

unaandikiwa kiuwepesi hata macho hayaoni kweli unatabia za kisichana

mi ni ngome ubongo wangu umekusanya vingi hii ni battle naona unaogopa haukawii kutukana

kama umezoea kupimp face basi we ni mrembo welcome to my hood nikufundishe kuchana
7871bf36efc65135ebc6b87819409fa3.gif
Show imeshakua ngumu umeenda kutafuta tagi,

Waambie Castr ana bonge la vag, mistar yako myepes haijai hata jagi,

Mkija mjiandae sio ukiibuka unabak kuwasha fulu, nijue vizuri mi ndo mfalme wa mitindo huru
 
Ni kweli mdudu na unajua hebu acha kuzuga,

Hii show kali nawatia virungu nyie waluga luga,

Kipigo hevi daily wenzio wakachanja mbuga, na we ni mchumba mwingine jiandae kuaga,

Mistari hevi imekulevya kama balimi lager, na ni kweli mi ni boxa njoo tupange spaga.
kaa pembeni we ni mpambe kavae dila level zako ni mage kimambi

upo town lakini bado kikolo sura kama umetoka sitimbi

hivi ni vitu kuntu we gamba kutwa nzima umeshindia mbilimbi

kwa face unaiogopa mtoto wa mamahapa kamwe hautambi

we ni kula kulala mpaka leo pot mezani kumbe bado we ni pimbi

unavamiaga mitungi ukilewa unakuwa bwege mtaani kuyumba sikia maninja hatuyumbi

umelegea upo rojo kiasi cha kwamba hata kwenye football tunakuhurumia kukupiga bambi

najua kabisa upo teke haujakomaa unachotegemea over time ili upigiwe filimbi
636099674b51ada4b025f07872827faa.gif
 
Umeanzisha matusi mara ghafla unaogopa,

Umeamua kuja na mipasho ya hadija kopa,

Huu utumbo unaoandika nimegundua wewe siyo mzima, kujiongelesha kwingi kama methusela gwajima,

Hapa utatulia na hizo fegi utazima,

Dogo kuchana hujui bora urudi kulima,

Umejidanganya kunivaga ungeanza kupima,

No more drama muuhfucka am the winner
tatizo unaubongo wa mnato full minyato kichwani kwako memory card error haisomi

haujiekew we ni kilikou haukui siku mingi leo unalialia kwa mla supu mng'ata ulimi

we dampo la choo unachonena for show nakusanua mule mule mpaka unajitamani kujipiga ngumi

vile ulivyokaa kama beyonce kwa jay z nakushangaa utabaki nyuma kamwe hauwezi kuwa mimi

hata mjipange vikundi one army nawasambaratisha nautabaki umeduwaa kama chura ya naomi

we kitobo mnyonge mpya umejileta ile kizembe mi ni mtemi
18e3ff54a022098f8616fe4095cb14be.gif
 
Show imeshakua ngumu umeenda kutafuta tagi,

Waambie Castr ana bonge la vag, mistar yako myepes haijai hata jagi,

Mkija mjiandae sio ukiibuka unabak kuwasha fulu, nijue vizuri mi ndo mfalme wa mitindo huru
naona unajitahidi kutafuta kwangu CV

Na una dream ndogo kiasi cha ubongo wako kuugua H.I.V

Hata mitupio hauwezi leo unaniuliza nin maana ya LUI-V

Juzi nakupitisha kwa nyerere bridge chaajabu ukasema nataka nipate ile MV

sikia sasa ile ni MV kigamboni pia kuna MV MAGOGONI

Nadhani nishakutoa ushamba siku nyingine uwe unamalizia mdomoni

nakumbuka ulikuja na virago toka bush na sura kama ya ngoswe wa kitabuni

endelea kujifunza kupitia mimi najua kwa uandishi
3f1b2ac0a67fa221aa0824d6480d2028.gif
bado chalii na una kiwango cha chini
 
Narudi ulingoni tena kwa mala ya pili round hii nakuchapa k.o ili ukiri/mi ni zaid yako mwenyew unatii level zangu kufka lazma upge bidii/nakuacha na bp next tyme ntakuua kwa tb...nigger huwez bifu mtaani naitwa chifu/kajiunge na chibu warembo uwaxifu..apa ni..

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Emcee unabahat umekuja wakat nime lala.
Ukavimba bichwa kujiona wew ni mtawala.

Nilikuw nawaz niamke na nani thanks kwa kujitoa kafara.
Punch zangu so please usije kama hujala.

Sema unamoyo safi kuna mistar yang ume like.
Sio kama huyu emcee kipele anajiita lucematic.

Usiwe na haraka hapa ni mdogo kama mondi.
Tutafika unapo taka kwa miguu aka ngondi .

Ma emcee wengi wapo league ndogo sana.
Ka lucematic hata basic skill tu za hiphop hana.

Acha me ni think big, niwe kama ben carson
Lucematic ni emcee pig, dogo sio rizik dat y hatuendan

Narudi ulingoni tena kwa mala ya pili round hii nakuchapa k.o ili ukiri/mi ni zaid yako mwenyew unatii level zangu kufka lazma upge bidii/nakuacha na bp next tyme ntakuua kwa tb...nigger huwez bifu mtaani naitwa chifu/kajiunge na chibu warembo uwaxifu..apa ni..

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app

Narudi ulingoni tena kwa mala ya pili round hii nakuchapa k.o ili ukiri/mi ni zaid yako mwenyew unatii level zangu kufka lazma upge bidii/nakuacha na bp next tyme ntakuua kwa tb...nigger huwez bifu mtaani naitwa chifu/kajiunge na chibu warembo uwaxifu..apa ni..

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Nilifikiri ushakoma matusi ila haina noma,

Hata huku haunigusi moto wake utakoma,

Lusematic we mchumba ntakuteka ka Roma,

Gheto ntachokufanya kurud kwenu utagoma,

Boniuso ana wivu mwambie ataisoma,

Castr natamba ndo nimeshashiklia goma,

Malavi davi high clas wenye wivu wapate homa,

Usisikize maneo ya watu roho zinawachoma, wakiona unatanuka roho zinawauma, hawajui mzigo wangu ndiyo unakujaza nyuma.
Huyo nimekuachia maana siyo target yangu.
Ana mistar kama yako yakupima kwa mafungu.

Lecematic mazafanta ni emcee pumb*
Wew pamoja nae mnaakili za nyumbu

Sema kiroho safi wew nakupa big up.
Ila huyu lecematimatic emcee fala yan shenz type.

Nashangaa yupo huku, si aende jukwaa la makapuku
Maana huku amevunda, kachunda kama maku.

Yeah ukinichokoza me ujue ntakuzima.
Mi ndio bi shop wa rap, Ukipend niite gwajima.

Na log out, natak niende church.
Castor mkanye mwanao asi talk too much.
 
...

Nadhani nishakutoa ushamba siku nyingine uwe unamalizia mdomoni

.....
Basi usijali mami nitamalizia mdomoni, msione wivu washkaji Salio lenu halisomi,

Mngekua poa hata kwenu hagomi, huyu ni mgawaji habani kama wangoni,

Kamdomo kako kadogo zitajaa pomoni, cheki zikitiririka hizo hapo sakafuni,

Ok nose down ass up zilambe na hizo za chini, naona umeshachoka nikimalizia mwilini.
 
kaa pembeni we ni mpambe kavae dila level zako ni mage kimambi

upo town lakini bado kikolo sura kama umetoka sitimbi

hivi ni vitu kuntu we gamba kutwa nzima umeshindia mbilimbi

kwa face unaiogopa mtoto wa mamahapa kamwe hautambi

we ni kula kulala mpaka leo pot mezani kumbe bado we ni pimbi

unavamiaga mitungi ukilewa unakuwa bwege mtaani kuyumba sikia maninja hatuyumbi

umelegea upo rojo kiasi cha kwamba hata kwenye football tunakuhurumia kukupiga bambi

najua kabisa upo teke haujakomaa unachotegemea over time ili upigiwe filimbi
636099674b51ada4b025f07872827faa.gif
Dogo umetegea nilale urudi uanze kutamba, kwa hilo ushafeli tayari nishakubamba,

Dawa bado hujamaliza endelea kulamba, akili ikukae sawa nikutoe ufamba,

Nacheka dogo hata mistari huwezi kupanga,
Mi ni mistari matawi ya juu R.I.P Langa,

Mistari unaunga unga kama unatunga shanga, dawa yangu haitodunda endelea kulamba,

We bado mchumba nishajua unachotaka.
 
Back
Top Bottom