JF Hip-hop frestyle battle

JF Hip-hop frestyle battle

Unakimbiwa na ma lena
acha fundi nkutatue

mkali wa hz kaz
JF nikisanue,

nawakilisha MMU
sio mayoung ,watu wazma
huwez batle nami

so bro natunza heshima
Hahahahaha mwingine huyu hapa kaukanyaga moto/

Nawakilisha streets na hustlers we mchumba kaa kushoto/

Hii ni bonge la deal hauwezi we bado mtoto/

Acha fyoko/

Unaropoka ropo/

Mfuate Vic kimani mkacheze Porokoto/
 
Mi ni master wa batle take care braza,
Bado nakulea ingawa wewe umekaza,
Mistar yako dhoofu ipeleke angaza
Mi ndo dingi wa huu uzi nawakaribisha ma maza!!
Yuck ptuu unaita hii mistari?
Hahaha huu mzik mnene nkiupiga haulali/
Mtengwa mwenzako kasepa kashajua mi ni hatari/
Nakufumua rinda sasa hivi usisahau kumfikishia habari/
 
Nitabaki milele kuwa bingwa , mrembo gan utapinga

Maana hawana cha kupost zaid ya kutoana MARINDA.

Haha nyie Vijan punguzen genye
Mtabak mpk vichaa afu mjikute wenye

Upungufu wa vina kichwani
Msijue cha kuandika zaid ya kutoan marinda mku.... Ni
 
We mzembe huwez hii bora ukalale
Au ndio walewale , wakuitwa bab tale

Acha shobo , vidume tutakupumulia
Au sió riziki umekuj jf kutuchafulia.

Nakufunza mzee usijibu kila post!!
Si unachek kama hii ilivyo ku kost

Umeumbuka kama demu alie azima dera la shosti
Huku ukijiuliza sijui utaanzaje kupost

Braza men punguza hasira, post yangu najua imekuchoma/

Umeingilia msafara,
Hujui naeza kukupotezea kigoma/

Freestyle naijua mchizi ntakutoa kafara,
Nakushanga unajiona mwamba kumbe una homa/

Hebu cheki mistari makini-unasoma kwa umakini-mtoto umetoa jicho kama unalambishwa mpini/

Nakushangaaaa! unajiona makini-na mbio zako za sakafuni-zimechacha kama vyakula vya kingoni/

We uniwezi bwana mdogo saizi yako sio mimi,
hapa utakula za mgongo
dogo usicheze na mimi/
 
Braza men punguza hasira, post yangu najua imekuchoma/

Umeingilia msafara,
Hujui naeza kukupotezea kigoma/

Freestyle naijua mchizi ntakutoa kafara,
Nakushanga unajiona mwamba kumbe una homa/

Hebu cheki mistari makini-unasoma kwa umakini-mtoto umetoa jicho kama unalambishwa mpini/

Nakushangaaaa! unajiona makini-na mbio zako za sakafuni-zimechacha kama vyakula vya kingoni/

We uniwezi bwana mdogo saizi yako sio mimi,
hapa utakula za mgongo
dogo usicheze na mimi/
Haha Haha acha nicheke kwa dharau
Umenichokoz acha nile jicho lako walau

Mtoto naon unaleta shobo za mende
Nimekaa uchi sas unatak unishike mpka kende

Mi mamba leo si bishan nawe kenge
Endelea kujimanua, ukae vibaya nikulenge
 
Nitabaki milele kuwa bingwa , mrembo gan utapinga

Maana hawana cha kupost zaid ya kutoana MARINDA.

Haha nyie Vijan punguzen genye
Mtabak mpk vichaa afu mjikute wenye

Upungufu wa vina kichwani
Msijue cha kuandika zaid ya kutoan marinda mku.... Ni
Boniuso Boneface/ kidaruso panda naona umeingia na sketi/

Psss ah kuja hapa uketi/ sikiliza beti za kiume zikikupeti peti/

I hope you will stay because others left/
 
shindano limepoza kama chai na mkate
.
anasemekana D.A.B.Y ni Daudi Albert Bashite.
 
Fasihi ni fasihi iwe andishi au simulizi,
Kaa ukijua leo umekutana na mjuzi,
Unaleta za sungura sizitaki mbivu hizi,
Nenda jukwaa lingine huusiki na huu uzi,
Kuna kishazi huru na kishazi tegemezi,
Acha ninyambue ili nikuweke wazi,
Sikukatishi tamaa ila jua huniwezi,
Hii ni ruti ndefu kama mbagala na mbezi,
Huwezi kugani labda fani ya ulonzi,
Nipo siriaz wala usilete mapenzi,
Kubali nikufunze niwe wako mkufunzi,
Yashike niyasemayo uwe mwema mwanafunzi,
Siitaji mgogoro nawe ka Tanzania na malawi,
Mi nachambua hizi sentensi kwa njia ya matawi,
Sijisifu ila tayari ushakaa/
wacha nikuonyeshe ninavyofoka/
Nakusanya dunia ya great thinker/
Nawakalisha chini wanaandika/
Mistari yako kwao ni takataka/
fasihi yangu inasikika/
Sentensi zinaeleweka/
ufalme washanisimika/
Nashangaa unaropoka/

unazungumzia fasihi uliyoikimbia/
Hata kuieleze ujui unalia/
tuwachie hii mikasi nakwambia/
jiandae kwa skuli usije lia/





sizonjemadawa
 
Sijisifu ila tayari ushakaa/
wacha nikuonyeshe ninavyofoka/
Nakusanya dunia ya great thinker/
Nawakalisha chini wanaandika/
Mistari yako kwao ni takataka/
fasihi yangu inasikika/
Sentensi zinaeleweka/
ufalme washanisimika/
Nashangaa unaropoka/

unazungumzia fasihi uliyoikimbia/
Hata kuieleze ujui unalia/
tuwachie hii mikasi nakwambia/
jiandae kwa skuli usije lia/





sizonjemadawa
Kumbavu nini hiki unaandika?/
Kelele mingi unayoita mistari ni komedi za futuhi/

Unasingizia ugreat thinker/ kumbe kufreestyle hujui/

Hautamaliza dakika/ nakutoa kwa left hook

Mistari kama upo gest/ mistari shit na sexless/

Hapa unapumulia gesi/ na flow hard mi ni borderless/

Ukiniquote na kunijibu utajitafutia kesi/
 
shindano limepoza kama chai na mkate
.
anasemekana D.A.B.Y ni Daudi Albert Bashite.
BigaBaba acha ngenga umekutana na BabaBig/
Mzuka mkali kama wa eno mic na Zig/
Now zungusha hiko kiuno and I will reward you my dick/
 
Boniuso Boneface/ kidaruso panda naona umeingia na sketi/

Psss ah kuja hapa uketi/ sikiliza beti za kiume zikikupeti peti/

I hope you will stay because others left/

Wee mwenzako nime mchamba ,kaenda kojoa amelal
Nashangaa Wew huogop na umekuja kifalala

Okay njoo mzee ila uje umechamba
Nin big dick, so ni ruksa kwako kujamba

Haha Haha naona leo utatapika
Lakin si umetaka mwenyew jikaze utafika .

Nimepiga wenzako wawil, wote wamekimbi
Wew umeingia chumba cha mait na hakin mlango wa kutokea.

Mzee saiz nmekupa hii ni last warning
Usije kichwa kichwa kama unajijua hunag hat timing
 
Washkaji wengi, mnarusha vess za maana

Nyi niwakali hata sipingi, ila mm ni mkalisana

Kila pambano mi mshindi, ndomana spendi kupambana

Kjana nnae jiita dingi, na demu hataki kua mamaa

Sisomi kusaka Mali, natKa kupunguza upuzi


Na kila siku nasali, kitambo sijaanza juzi

Mungu niepushe na ajali, shetani asinpige nyuzi.....
 
Wee mwenzako nime mchamba ,kaenda kojoa amelal
Nashangaa Wew huogop na umekuja kifalala

Okay njoo mzee ila uje umechamba
Nin big dick, so ni ruksa kwako kujamba

Haha Haha naona leo utatapika
Lakin si umetaka mwenyew jikaze utafika .

Nimepiga wenzako wawil, wote wamekimbi
Wew umeingia chumba cha mait na hakin mlango wa kutokea.

Mzee saiz nmekupa hii ni last warning
Usije kichwa kichwa kama unajijua hunag hat timing
Okey dokey naona unapenda kuparamia watu/

Slow wind for me nose down ass up nakupiga vitatu/

Please ride my dick usiride matatu/

Ass soft umejileta kama mbwa kwa chatu/

Ingia mjengoni ky inakuhusu bao jingi kama bwawa la kidatu/
 
Kipondo cha JF kwa Bar shite mwenye F.Msingi to Secondary,nina kibari cha freestyle.Na uhuru wa mitindo,bongo nyota mpaka skendo.Uharamia wa ladha za music wenye haki.Mapinduzi yame-stuck na hakuna pakushitaki.Huru mitindo japo ubongo wa kitumwa.Africa ndani kifungo mamboleo ni utumwa.Jamii Forum funguo ya ujinga japo wapinga wajinga harakati zinasonga.Na Make Sense Japo siyo kama Melo,hizi konzi ni za leo nyingine mpaka tomorrow.
 
Nipe wali pamoja na kachumbali,
Kama umeisha we nipe tu ata ugali,
Kama nao amna nipe chochote tafadhari,
Mana hapa nilipo tumboni mwangu so shwali,

Nyumbani kwetu makochi yamekaa mbali,
Mchana nzi ukisu mbu yani huwa hatulali,
Si unajua uswazi taka kila mahali,
Mbele panga nyuma rungu yani kitaa hatali,

Ngoja nikimbie naogopa askari,
Mana jana tu nilikamatwa kwenye kamari,
Mwambie dogo ajifiche juu ya dari,
Mi nakimbilia chachi nazuga naenda kusari.
Mwanangu wewe samjo nimekushtukia
Maana Jana maskani umetukimbia
Eti kisa unawahi kwenu ugali na bamia
Kumbe wapi ww mtoto wa kishua
Dingi v8 Toyota mwenyewe Subaru unakamatia
Sasa mie nashangaa kwnn mwanzo hujatuambia
Jana nilikuwa na juma home kwenu tulikutimbia
Beki tatu wenu akasema upo toi unajidigia
Kumbe chenga ulikuwa dirishani unatuchungulia
Kuhamaki eeh Mara mshua wako anaingia
Mie na juma ndio mbiambio tukaanza kukimbia
 
Okey dokey naona unapenda kuparamia watu/

Slow wind for me nose down ass up nakupiga vitatu/

Please ride my dick usiride matatu/

Ass soft umejileta kama mbwa kwa chatu/

Ingia mjengoni ky inakuhusu bao jingi kama bwawa la kidatu/
Mmmh dogo unanuka uvundo
Mi jemedar sipagaw na nyodo
Unaleta slang mbovu,au ushabanw na kojo
Au hujui kiswahil vema, maana unaongea kam MAUDODO

Funga bakuli boy, nachek game ujue kelel zako c injoi
Freestyle mbovu, au we ni mwanasesere aka we ni toi

Fahamu kuwa hapa nimekita na hunitoi
Mi ni karabai taa kubwa, we mjing ni koroboi

Shindan na dem ako ku battle kwang we ni cheichei
Ndioman nakufany ninavyotak na hunitoi
 
Ebwana sikuuona Uzi.. Japo ni wa Leo ila comment nyingi kama umeanza juzi.. Niko safi.. Kombati mithili ya Gaddafi.. Namiss viroba.. Niko high huwezi nikuta soba.. Mitindo ya kughani.. Daby piga beat dzain za majani.. Keyon nipe kipaza sitaki utani.. Nadunda kwenye beat mithili ya nyani kwenye miti.. Niko maskani deile nakula kijiti..

Mazee ngoja nikae sawa
 
Ebwana sikuuona Uzi.. Japo ni wa Leo ila comment nyingi kama umeanza juzi.. Niko safi.. Kombati mithili ya Gaddafi.. Namiss viroba.. Niko high huwezi nikuta soba.. Mitindo ya kughani.. Daby piga beat dzain za majani.. Keyon nipe kipaza sitaki utani.. Nadunda kwenye beat mithili ya nyani kwenye miti.. Niko maskani nakula kijiti..

Mazee ngoja nikae sawa
Upo vzr mzee, krb
 
Back
Top Bottom