Mtemi mtemi gani unakimbia battle, mtemi wa hivyo ni mmoja tu anatokea Chato,tatizo unaubongo wa mnato full minyato kichwani kwako memory card error haisomi
haujiekew we ni kilikou haukui siku mingi leo unalialia kwa mla supu mng'ata ulimi
we dampo la choo unachonena for show nakusanua mule mule mpaka unajitamani kujipiga ngumi
vile ulivyokaa kama beyonce kwa jay z nakushangaa utabaki nyuma kamwe hauwezi kuwa mimi
hata mjipange vikundi one army nawasambaratisha nautabaki umeduwaa kama chura ya naomi
we kitobo mnyonge mpya umejileta ile kizembe mi ni mtemi![]()
Au umekua yule mtemi anaitwa Kisandu, kwa huyu sibishi maana una hamu na punch zangu,
Naendelea kukupa ladha, ndefu, ngumu sura ya Farid Kubanda,
Umekua ka Bi Mwenda kazi yako kuwanga, umejileta nakutenda ka Shishi kwa Mziwanda,
Hiki kipigo kitakatifu huko ulipo unapumulia mashine, ulijifanya kutaka battle na deni langu lilipe,
Freestyle zako shit huo ni upuuzi mwingine.