JF Hip-hop frestyle battle

JF Hip-hop frestyle battle

Mapengo na pengo la kadinari.. Michano yangu kitisi wanasema ni kamari.. Tega sikio nikupe maarifa na sio taarifa ya habari.. Niki-like nimependa.. Ukipenda pia nakutenda.. Sikupi ngawila nakupa denda.. Mtt Mdogo kaa kimya nitakubemenda
Nikiwaendekeza nitakua silali tukutane asubuhi' nakupa muda noa makali,

B5 tangu nikuclick naona unanikubali, mistar mizito kama habari za kifo cha Balali,

Endelea kupenda nnachotema, ukirusha unadema, flow zangu ni za hadhi ya jumba la sinema.
 
ANAYEWEZA KUSHINDANA NA MIMI ANIQUOTE ILA ASILIE

kichaa na rungu kichaa uvungu/
nipo jf usiulize mautundu
usiulize majungu
nakupaka kama mange waulize wazungu
boss la flow naflow zaid ya river
nina camp of sojaz na mwes kama kimba
ndevu niite simba
natoa knock out ka slice niite kimbo kinga
janja la wajinga zee la kutinda
nikifinda nawinda maujinga nayageuza maujanja
flow beberu na makazi chikago
zoom baby look damn nikupe kisago
nakimbiza ka bolt
nakushona ka boriti
nakukaza kama nati
nakuficha kama noti
hii sio boti ni game beach buggy biltz
fix hizi

me ndio jogoo la shamba nawika mpaka PANDE HIZI
Ahaahhhaaa nacheka kwa dharau/nakuteka na kufyeka JF ikusahau/nyang'au hujui kuchana unajua kusuka/nikifanya stanza ninapanda we unashuka/kurupuka uvalishwe kanga au nikufanye nyama kwa bucha/ me ndo Kidume nilioquote huo uzi/ wa mistari iliyolost na flow ya kipuuzi/huwezi rap mkuuzi akili kimo cha mbuzi/ badili sababu asili yako ni blues/am right here without fear,bi*ch come near/nikupeleke unakostahili kwa wacksphere,me ndo nakukeketa kwa shakspear/snitch is that clear
 
ooh yeah mike check, one two,
jf tunachana kama mr two,
one love hate love two,
penzi la mahondaw ni la form two,

nipe mike nimdatishe mpenzi Inna,
kisura mikononi hana hina,
nimueleze penzi langu kwa kina,
mistari yangu ina vina,

one two one two nipo makini,
Daby wewe ni mhuni,
Inna wangu yupo makini,
kila j2 yupo kanisani,
nampenda na wala sio usanii,

mikono juu mikono ju,
Daby hutumia juju,
naigeria walimpa juju,
nitampata Inna bila juju,
huyu mtoto yupo juu ju juju

dj weka biti nitambae kama nyoka,
mtoto Inna ataelewa hatochomoka,
sio siri Inna kaumbika,
na wala hakai chanika,
nikimpata kanji hatonichania mkeka,
hakika nitampata na nimeokoka,

,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,....one two one mike check one two.........
 
ANAYEWEZA KUSHINDANA NA MIMI ANIQUOTE ILA ASILIE

kichaa na rungu kichaa uvungu/
nipo jf usiulize mautundu
usiulize majungu
nakupaka kama mange waulize wazungu
boss la flow naflow zaid ya river
nina camp of sojaz na mwes kama kimba
ndevu niite simba
natoa knock out ka slice niite kimbo kinga
janja la wajinga zee la kutinda
nikifinda nawinda maujinga nayageuza maujanja
flow beberu na makazi chikago
zoom baby look damn nikupe kisago
nakimbiza ka bolt
nakushona ka boriti
nakukaza kama nati
nakuficha kama noti
hii sio boti ni game beach buggy biltz
fix hizi

me ndio jogoo la shamba nawika mpaka PANDE HIZI
Hahah hapa nimeelewa tu unaishi Chicago

Umemrusha marehemu Kimbo slice

Bila kuwasahau River camp soldiers na baba yao Ras Omega

Wacha nimskilize hapa Kendrick ..Be humble,Sit down

Nimecheka sana mashairi ya humu
 
Yoyoooo yoooo

Hata wali uwe mtamu vip lazima utakula na ukoko/ piga chenga achana na ugoko
Usirushe ngumi wala kiwiko/ pesa ndiyo mshiko
ukiwa nayo wew ndiyo mkoko/ siku hiz hwapendi tena loko
ngoma si tena baikoko/ instagram nako ni baikoko
Wanavunja na tv/ Wanaaharibu na Cv
Ni vijana hawa hiv hivi/ tatizo ni nn ama tu seme ni kilevi
Kazi nako hivi hivi/ Pesa nako zimepotea hivi hivi
kunywa maji usinywe jivii/ linda penda uhai
safari bado ni ndefu walai/ shida zikizidi usipige keleuwiii

Woruuu Mc
 
Hii kitu safi sana wakuu na mimi nitajipanga niweke mtindo huru kwenye uzi huu japo sina zile microphone test one two lkn naamini kitaeleweka tu
 
Yeah thanks God, leo kume kucha powa.

Japo kuna bashite na hamo, hawachelew zingua

ogopa sana wasukuma kutoka kolomije.
Alikosea alikiba, aliposema nao waje.

Bila kusahau wasak kik, kama harmolapa
Kafanya interview jana ila mpak sas nacheka

Bhas jana kaulizwa, yey mwanaume gan.
Huku akicheka, akasema ye ni strong woman.

Nchi hii nikik tu, sio jf ni mpaka bungeni
Mbaya zaid saiz ipo mpak kanisani.

Acha nikae kimya, nisije pigwa bani .
Ilikuw sara fupi, ukiweza sema Amin
 
Wanajitamba hawajafuzu
kama zuzu mwenye jiwe

hawana udhu kikauzu vipi madhabahu wakabidhiwe

Najiuliza niangushe Moab
au nitapiga wasio husika

watoto wanaimba taarabu
kama ubwabwa wanapika

ni gangwe kwenye mobb
nawazamisha ka' kisima

bange male kama Bob
na natema neno la uzima
 
ANAYEWEZA KUSHINDANA NA MIMI ANIQUOTE ILA ASILIE

kichaa na rungu kichaa uvungu/
nipo jf usiulize mautundu
usiulize majungu
nakupaka kama mange waulize wazungu
boss la flow naflow zaid ya river
nina camp of sojaz na mwes kama kimba
ndevu niite simba
natoa knock out ka slice niite kimbo kinga
janja la wajinga zee la kutinda
nikifinda nawinda maujinga nayageuza maujanja
flow beberu na makazi chikago
zoom baby look damn nikupe kisago
nakimbiza ka bolt
nakushona ka boriti
nakukaza kama nati
nakuficha kama noti
hii sio boti ni game beach buggy biltz
fix hizi

me ndio jogoo la shamba nawika mpaka PANDE HIZI
una flow nzuri ila jitahidi kuwa na mtiririko wa mawazo unaoeleweka na kutumia maneno yenye maana utatisha sana, usiwe na mtindo m1 tu wa uwasilishaji. ushauri tu!
 
Daby nipo ndani ya steji/
nimemkamata pacha wangu MIC/
Nikamatie kipere/
abattle nami ni mnyoe kipara/
Mbele ya mtoto shunie/
Wallah nitasepa na mkoa/
 
Umeota tu kipara/
Kumbe hakina busara/
Unautukuza ufukara/
Kwa ubovu wa zako sera/
Ulipowahonga lile pera/
Wakakuona ndiyo bora/
Hawakuchunguza yako sira/
Kabla hawajapiga kura/
Unajigamba kutia fora/
Ukituzwa kwa ufukura/
Mipango ya kichwara/
Taifa lakosa dira/
Uchunguzi wa masikhara/
Hali ngumu kwa makapera
OYA VIPI MBONA UMENYWEA? UNAJIFANYA HAZIKUHUSU HIZI PUNCH au upo kuchonga na mods wanipe ban kisa mziki wangu huuwezi?
 
Ni siku ya pili hii battle inanilaza saa saba usiku,

Ma mc mna ushamba wa Chato acha niendelee kuwapiku,

Usinletee minato na mikato ya dem mtaka chips kuku,

Kuzuga htaki kichapo kumbe umekubali swaga,

Hapa lazima utoke jasho kwa hizi flow za haja,

Niquote nkupoteze nakuruhusu chagua mada.
 
Nimekupa flow kali ukakimbilia kulike,

Mi ni mc hatari jtahd uwe srias,

Mistar inajeruh km jeraha la risasi,

Sasa hivi niko fast namuwah Merengo,

Nilshakutoa knock out si unaona mapengo?
Now u nigga una press the wrong buttn,
Hate war bt ukianzsh i wnt back down,
U bring knife katika gun fight,
Machoz yana kutoka unataka fair treatment!

Ntakupiga karatee na stail zisizo eleweka,

Ukose hata saut ya kulia kama mbwa huanze kubweka,
 
Yesu karudi kafungiwa ghetto na shilole
Mganga na udi anawatibu walokole
Kaza buti una budi sio kupiga makelele
Nyuma usirudi, kama kitambi kuwa mbele

Super woman, super woman
Harmorapa!!
Mheshimiwa diwani, buliani
Maza faka
Vipi jirani, kwani ni gani
Unanitaka
Watekaji, mtupe akina Roma si tuwape harmorapa.....
 
Ahaahhhaaa nacheka kwa dharau/nakuteka na kufyeka JF ikusahau/nyang'au hujui kuchana unajua kusuka/nikifanya stanza ninapanda we unashuka/kurupuka uvalishwe kanga au nikufanye nyama kwa bucha/ me ndo Kidume nilioquote huo uzi/ wa mistari iliyolost na flow ya kipuuzi/huwezi rap mkuuzi akili kimo cha mbuzi/ badili sababu asili yako ni blues/am right here without fear,bi*ch come near/nikupeleke unakostahili kwa wacksphere,me ndo nakukeketa kwa shakspear/snitch is that clear
Hahaha thumb up to you dude,
Nice flow kwa huyo mom'z boy anaye jiona rude,

Akijibu tena tag me nimpe right answer,
This cute cat hawez ingia kwa misitu ya black panther,
 
Nikiwaendekeza nitakua silali tukutane asubuhi' nakupa muda noa makali,

B5 tangu nikuclick naona unanikubali, mistar mizito kama habari za kifo cha Balali,

Endelea kupenda nnachotema, ukirusha unadema, flow zangu ni za hadhi ya jumba la sinema.
Jumba la sinema we kanumba? Mi ni jumba Hip Hop sio Rhumba.. Cheka na mm.. kinachofata utanyonywa ndimi.. Niko chimbo.. Karibu nikupige fimbo..
 
Hahah hapa nimeelewa tu unaishi Chicago

Umemrusha marehemu Kimbo slice

Bila kuwasahau River camp soldiers na baba yao Ras Omega

Wacha nimskilize hapa Kendrick ..Be humble,Sit down

Nimecheka sana mashairi ya humu
Rip kwa kimbo slice ,
Og goon sio kama rick ross,
He was king of ring,
Ruka mateke misamba stil atakuwek chini,
Black in color like mike tyson,
Strong n hard like lion,

Knuckle up!!!!!
 
Back
Top Bottom