JF Hip-hop frestyle battle

JF Hip-hop frestyle battle

Weka 'like' kimoyo moyo
kwa uchoyo wa kunitunuku

wana mistari ya kipoyoyo
vibogoyo kwenye kuku

eti wanatest nawacheki
ni vipi waniite ili nije

hawa ni keki vyeti feki
kama Bashite wa koromije

Fahamu hizi ni salaam
Kwa wale mc mbwa koko

bila dam Mvumbo haramu
yaani zaidi ya wale boko
 
Now u nigga una press the wrong buttn,
Hate war bt ukianzsh i wnt back down,
U bring knife katika gun fight,
Machoz yana kutoka unataka fair treatment!

Ntakupiga karatee na stail zisizo eleweka,

Ukose hata saut ya kulia kama mbwa huanze kubweka,
Hahahaha naona umerudi tena, dozi ilikua heavy umekuja jiuliza vyema,

Haina noma jiandae kwa knockout ya mapema, pumzi ikukate nkuachie kilema,

Unawaka unahisi unaniweza usijidanganye braza usizuge kwa kiingereza,

Kuna wenzako zaidi ya sita tayari nishawameza, wewe ni Passo umeuvaa mziki wa Alteza.
 
Jumba la sinema we kanumba? Mi ni jumba Hip Hop sio Rhumba.. Cheka na mm.. kinachofata utanyonywa ndimi.. Niko chimbo.. Karibu nikupige fimbo..
Mwanangu umerudi na vina vya kuunga unga,

Mi mtoto wa kiume ukinyonya ndimi uwe unatak kuliwa tunda,

Matunda tena hatuli si tunaska mavumba, kua bize kuniquote na mistar iliyovunda,

Nakuminya koo acha kupiga ukunga, mi mzito huniwez nakushauri vunga,
 
Roho safi kama songa wala sina bifu.
Jipendekeze uni quote, nikugeuze wife

Naona kuna mtu kashakuw tabia.
Akiona verse kali, Anaanz ishibokea

Nimerusha jiwe gizan, ikikuhus njoo
Afu usije na thumain, caz hap hutotoa hata droo
 
Kuna mshikaj kaulizwa nan, kajib semenya
Kwan semenya nikinga, ukiweka mate inapenya

Jf kijiji changu , chek likes nnavyo kusanya.
Nawapiga rungu, anaejileta namfanya .

Flow zangu mr two, mjin zinaleta sugu.
Sina zile one two, kwan ni kilele pia gubu
 
Mwanangu umerudi na vina vya kuunga unga,

Mi mtoto wa kiume ukinyonya ndimi uwe unatak kuliwa tunda,

Matunda tena hatuli si tunaska mavumba, kua bize kuniquote na mistar iliyovunda,

Nakuminya koo acha kupiga ukunga, mi mzito huniwez nakushauri vunga,
Moja moto moja baridi.. Nisipokunywa nyagi naponea balimi.. Huniwezi hunishiki.. Niendako mbali na bado sifiki.. Mtt wa kiume no ww sio geez mabovu.. Huwezi kuchana ukichana unachana kichovu.. we ni tatizo basi acha niku-solve
 
Mamcs nawachia kisogo
Nipo mbio mithili ya veneno/

Kwangu Hampumui hata kidogo
Nawashona midomo mpunguze maneno/

Daby sio kibamia namiliki muhogo
Mnahaha ona pm mnatumiana vimemo/

Mnashuka daraja
mpo ligi ndogo/

Mi ntawavunja mataya
Na hasira ka mbogo/

Nenda kamuulize Asprin
Wote mpaka STUNTER/

Ninamaono zaidi Darubin
Ila nyie mpaka mpigwe stata/

Sijisifii ona navyodondoka
Napasua ardhi mithili thunderstorm/

Sisikii ushawishi wa kumoker
Jiwe linaloishi wananiita livingstone/

Mi ndiyo Rapgod wa Forum
Nipo hapa AM mpaka PM/

Jukwaani natia foraa
Binti ukinihitaji nifuate PM/

Mambo mengine ya siri
So Sihitaji maswali juu ya hili/

Ni kuchoshana tuu akili
Sawa na Miss Natafuta kuanzisha thread ya bill/
 
Freestyle imevamiwa kaivamia mlevi,

Mistari experience zero ka binti asiyetoa penzi,

Kukuru kakara nyingi tulia nikate nyuzi, hapa umefika umevamia moto wa mjuzi,

Kelele mingi mingi ka Joh Makini na nusu nusu,

Na kelele za Misanya Bingi zako zinatema mashudu,

Upoyoyo mwingi kumwaga wino na kutaka peni iandike,

Kakae na mlevi mwenzako kalewa madaraka Bashite,
 
Mamcs nawachia kisogo
Nipo mbio mithili ya veneno/

Kwangu Hampumui hata kidogo
Nawashona midomo mpunguze maneno/

Daby sio kibamia namiliki muhogo
Mnahaha ona pm mnatumiana vimemo/

Mnashuka daraja
mpo ligi ndogo/

Mi ntawavunja mataya
Na hasira ka mbogo/

Nenda kamuulize Asprin
Wote mpaka STUNTER/

Ninamaono zaidi Darubin
Ila nyie mpaka mpigwe stata/

Sijisifii ona navyodondoka
Napasua ardhi mithili thunderstorm/

Sisikii ushawishi wa kumoker
Jiwe linaloishi wananiita livingstone/

Mi ndiyo Rapgod wa Forum
Nipo hapa AM mpaka PM/

Jukwaani natia foraa
Binti ukinihitaji nifuate PM/

Mambo mengine ya siri
So Sihitaji maswali juu ya hili/

Ni kuchoshana tuu akili
Sawa na Miss Natafuta kuanzisha thread ya bill/
Bob umezingua umejiona unaweza sana,

Umeweza kuitisha battle ila hautaweza kuchana,

Kwenye hii kabali hutoki omba msaada kwa mshana,

Wote uliowataja ni mabrazamen na masista, kwakua ndo mtoa zawad kukuchana sana nasita,

Usije kutia mpira kwapani ukachanja mbuga, Tusikutie tena machoni kama mshkaji Mak Muga
 
24/7 sober hata nikilala liquor store /flow is dope jaribu kumuuliza your sister bro/nawafunika nikipita no obstacle/nawamurder ndani hadi external/huku nikiwaburn zaidi inferno/me ni king you neverknow/pimbi hujui misingi you think irrational/worldwide flow pia ni Anthem ndani ya nation/nakufikisha kila kilele bila kelele/huku nikihakikisha nashika kila kipele/huwezi kuwika kama niko ndani ya banda/labda utanitamanisha kama tako ndani ya kanga/nikipanda no blunder mabao nitafyatua kama vina ndani ya stanza
 
Mamcs nawachia kisogo
Nipo mbio mithili ya veneno/

Kwangu Hampumui hata kidogo
Nawashona midomo mpunguze maneno/

Daby sio kibamia namiliki muhogo
Mnahaha ona pm mnatumiana vimemo/

Mnashuka daraja
mpo ligi ndogo/

Mi ntawavunja mataya
Na hasira ka mbogo/

Nenda kamuulize Asprin
Wote mpaka STUNTER/

Ninamaono zaidi Darubin
Ila nyie mpaka mpigwe stata/

Sijisifii ona navyodondoka
Napasua ardhi mithili thunderstorm/

Sisikii ushawishi wa kumoker
Jiwe linaloishi wananiita livingstone/

Mi ndiyo Rapgod wa Forum
Nipo hapa AM mpaka PM/

Jukwaani natia foraa
Binti ukinihitaji nifuate PM/

Mambo mengine ya siri
So Sihitaji maswali juu ya hili/

Ni kuchoshana tuu akili
Sawa na Miss Natafuta kuanzisha thread ya bill/
Fake mc's wanatii kila pepo/nashangaa wakibleed kila battle/nikiwa me and I ntafanikiwa kuona kesho/nikifree style nina free kila central/mademu zao wakipee bila nyeto/maza kanambia be gentle/si act ninaperfom hadi rehearsal/na hii ndo real hustle/wanashanga ninasweat nikimake hii leso
 
24/7 sober hata nikilala liquor store /flow is dope jaribu kumuuliza your sister bro/nawafunika nikipita no obstacle/nawamurder ndani hadi external/huku nikiwaburn zaidi inferno/me ni king you neverknow/pimbi hujui misingi you think irrational/worldwide flow pia ni Anthem ndani ya nation/nakufikisha kila kilele bila kelele/huku nikihakikisha nashika kila kipele/huwezi kuwika kama niko ndani ya banda/labda utanitamanisha kama tako ndani ya kanga/nikipanda no blunder mabao nitafyatua kama vina ndani ya stanza
Na score ma goal easy , mtaani naitwa cr seven
Floo zako zakipimbi, c bora nikachek ben ten

Nina magnetic floo, lazim utavutika unijibu
Ila nanuka ka choo, ukinisogelea umeharibu

Una floo nzur, sema mawazo ndio mgando.
Nini kisu cha bucha, mie ninach mpka cha jando .
 
Who is a fake mc?/
Just speak true na sio Ku dis/
And who are you to judge?/
Tell me why coz I'm angry/
Usiongee vitu vyenye huvijui/
Tangu lini tangu Lin katambili ikapigwa kiwi?/

Mc uko mwepesi;
kama uzito wa nyoya;

nakutumia kama boya;
kwenye maji naelea;

sogea ndani box;
Nikupige kisigino;

narap staki promo;
fake mc elewa somo;

na hizi punch kwenye taya;
we utarap kilatini;

nakucheki juu chini;
pandisha hicho kimini;

wanajua mi ni champion;
sitaki competition;

killing fake mcs;
hell yeah ma ambition;

yooh!
 
Bange nakamata, nakohoa roho inapoa

Mvumbo ni Basata, madogo nawakosoa

naja mwenyewe master, na mbinu za kuwanoa

maana wanashuka faster, kama chupi ya changudoa
 
Na score ma goal easy , mtaani naitwa cr seven
Floo zako zakipimbi, c bora nikachek ben ten

Nina magnetic floo, lazim utavutika unijibu
Ila nanuka ka choo, ukinisogelea umeharibu

Una floo nzur, sema mawazo ndio mgando.
Nini kisu cha bucha, mie ninach mpka cha jando .
Unatafuta kiama nikuzike hai/uwezi kushindana we kijana nitakufanya dry/uliza navolipuk km september eleven/ninja zaidi ya seven/me ndo pele usinitishe na huyo CR seven/unasema unachek Ben ten we kirikuu/ panua miguu uone navyokill true/me niko juu we upo chini kama soks/mistari yangu dope siyo yako we kichwa box/ushalost uwezi kubato na mimi/mtoto mdogo matako laini/nakufanyia FGM nakata kisimi/nawapa madini mpaka unadata na mimi
 
Bange nakamata, nakohoa roho inapoa

Mvumbo ni Basata, madogo nawakosoa

naja mwenyewe master, na mbinu za kuwanoa

maana wanashuka faster, kama chupi ya changudoa
We bishoo unae ibuka , slow down ucje kwa pupa

Lines zako hazina hisia ka sanamu lakuchonga

Nakuona una mawenge, tuliza bol ucwe ka shoga

Mwenye thron ,nakupa habar, ucje sema sikukwambia
Yaaaap!
 
We bishoo unae ibuka , slow down ucje kwa pupa

Lines zako hazina hisia ka sanamu lakuchonga

Nakuona una mawenge, tuliza bol ucwe ka shoga

Mwenye thron ,nakupa habar, ucje sema sikukwambia
Yaaaap!
Unakuja bila chupi kimgongo, kisa vilainishi wamevikataza

haya ni majaribu kama Nyamongo, mgodini nitakukaza

naskia unakata kama mkongo, ila si Jakaya kakataza

ila nitakupa miti bila kinyongo, na kwa wana sitatangaza

naingia vitani kiarabu, japo najua haifai

unasema Mvumbo nisipate tabu, nikupake unayo ky

unatambua walugaluga, kwenye game wananiita kigogo

na Battle na mimi unazuga, ili nikukonyeze unipe ndogo
 
Stil nakuona young ,unaongozwa na kichwa chini

Ndo maana line zako, nikama unapigwa miti

ukijileta ,hapa utapigwa mimba
atakama upo safe day

Naidistable hyo cycle, unakua safe all day baby
Yeaaaaaaaaah!
 
Stil nakuona young ,unaongozwa na kichwa chini

Ndo maana line zako, nikama unapigwa miti

ukijileta ,hapa utapigwa mimba
atakama upo safe day

Naidistable hyo cycle, unakua safe all day baby
Yeaaaaaaaaah!
Tazama unavyo ghani, huna uzito kwangu unaelea

huna vina wala mzani, nahisi kama nakuonea

Mi' ni gwiji kwenye fani, dah! ni vipi utaponea

ulinijaribu kama utani, ona sasa unapata fedhea
 
Back
Top Bottom