JF Hip-hop frestyle battle

JF Hip-hop frestyle battle

Acha utani aisee!!!

Sema nini hebu naomba uniambie mtu akipigwa ban anaweza kulog in ila akakuta ndiyo kapigwa ban au inakuaje.

Simaanishi wewe ni mzoefu wa ban mkuu
Unatak bato hata hujui maan ya ban??
Ni kweli unatoka mbele na kujiita fanani?
Hebu tazama post ya juu uone nimesem nini.
 
Round one battle
Castr vs merengo90.

Ok twendeni round two.
Na spit madini ghali lugha kali nakimbiliwa na ban,

Naikwepa fasta kama miss chagga kwa broke man,

Nacheki hiyo mikwara naipangua naruka mpaka ndani,

Nimejaa tele Michael Joshua nakungoja nikupe freestyle burns,

Dude una spit nin unaongea kitu gan?
Umewajuza wako hadhil nin maan ya bani?

Ngoja nkuonyesh tunavyo fany ma gentlemn

Naanzaj kumsf aliye bun Ban,
Kwa wanao jiuliza ban ni kitu gan

Ni kufngo kam kil cha urain
Kupnguz matus n bif jukwaani
Pia inaongez busara na umakin
Na conctretion kweny mada mezani

Let stress zak za nyumban unakul ban
Demu kakotosa unatoa pov unakul ban
Nenda jukwaa la sias mdis Bashite ule Ban, hahaha ni huuu ni utani

Kwa kifup hii kitu hain mwenyw
Cheza na mods wakugombanie kam sandakalawe
Una kumbuk fikz za Supu ya mawe?
 
Acha utani aisee!!!

Sema nini hebu naomba uniambie mtu akipigwa ban anaweza kulog in ila akakuta ndiyo kapigwa ban au inakuaje.

Simaanishi wewe ni mzoefu wa ban mkuu
Utalog in kama kawa ila huwezi kuingia jukwaani kuchangia chochote
 
Jaman mnaoweza, njoon mtisaidie
Eti kweny freestyle battle, jaj kaw shunie.

Watu wanajikaza wanatak mpak kuhar
Afu yey anasema hatoi zawad c masihara.

Unataka tuchanane si mbon tupo freshi
Tatizo tunajiuliza nikwel una hizo cash.

Maana kuishi tz ni kuvumilia stress
Mimina mpunga uone tunavyo mimina verse
 
Unatak bato hata hujui maan ya ban??
Ni kweli unatoka mbele na kujiita fanani?
Hebu tazama post ya juu uone nimesem nini.
Hahahaha naona mkuu kama Mpoto umeamua kughani,

Umeandika mistari hovyo unastahili hiyo ban,

Freestylin moto kajifiche chumbani
 
Japo nimechelewa kufika kwenye ulingo... Mwabidi kuelewa namna gani nina usongo... Mimi ni kama mgema ukinisifia namwaga pombe... hivyo nataka sema kamwe usin'letee upambe... Sina jina kubwa kama la mshkaji Daby... Vicheche kuwang'oa ili waje wanite baby... I'm JF-Expert Member all the way... And nobody can reach attention that I pay!!!
 
Haha... wana wanabattle ngoja wamalizie round ya mwisho tuwapigie kura.
 
Acha utani aisee!!!

Sema nini hebu naomba uniambie mtu akipigwa ban anaweza kulog in ila akakuta ndiyo kapigwa ban au inakuaje.

Simaanishi wewe ni mzoefu wa ban mkuu
We unae jiita ze best kesho na batle naww leo nakuacha ufanye reharsal na vilaza wenzio
 
aisee hilo darasa lenu naona limefanya kazi vizuri macho mnatuumiza
Naanza kwa Vina Akili yangu deep kama Kim Jong un

Shunie Anauliza me Jinsia gani ili iweje, nami namuuliza Anataka kuniteka kibashite.

Tuliza munkari shost toa glass now ni usiku totoro, tunabonga kikubwa wamelala watoto.

Nimeamua kuwa Semenya,maana mahaba yanatesa.
Nikihisi nye__ge najitekenya,nacheka Akili inahamia heaven hasa.
 
hizo xx zako badala ya s zitakukosesha point
Acha mkwara/
Mi ntabaki kinara/
Hilo nalo unakosoa hujui kua ni typing error?/
Anyway let me apologize on this mistake/
Sababu staki hizi tungo zionekane fake/
 
Hahahaha naona mkuu kama Mpoto umeamua kughani,

Umeandika mistari hovyo unastahili hiyo ban,

Freestylin moto kajifiche chumbani
Hahaha kama mpoto??
Kumbe bado unaakil za kitoto.
Hapa unajikomaz ukitak nami batle,

Hiv last time lini ulipigwa ban?
Maan una mwaga pumba hum jukwaani,
Mods plz njoon mseme huyu nijibu kama nani,

Apigwe bani, mkishndwa simba nitoke mbugani,

Nipige claw mbili atoke povu agongwe ban,

Kwani bei gan?
Watot kama nyie huwa shindani,
Nawaweka darasani, nawafundisha kwa kurasa tena za mwanzoni,

Nahis umekaa na peni unafatia taratibu tena kwa umakani,
Maan hata ulikuwa hujui nini maan ya ban,

Nimebeba point zangu nasepa mkanda begani
 
Dude una spit nin unaongea kitu gan?
Umewajuza wako hadhil nin maan ya bani?

Ngoja nkuonyesh tunavyo fany ma gentlemn

Naanzaj kumsf aliye bun Ban,
Kwa wanao jiuliza ban ni kitu gan

Ni kufngo kam kil cha urain
Kupnguz matus n bif jukwaani
Pia inaongez busara na umakin
Na conctretion kweny mada mezani

Let stress zak za nyumban unakul ban
Demu kakotosa unatoa pov unakul ban
Nenda jukwaa la sias mdis Bashite ule Ban, hahaha ni huuu ni utani

Kwa kifup hii kitu hain mwenyw
Cheza na mods wakugombanie kam sandakalawe
Una kumbuk fikz za Supu ya mawe?
Asubuhi na mapema nazama kati jf,

Majukwaa yanastuck pm hazisomi au mtandao f?

Naingia kwa id nyingine naona hii imeshushiwa rungu,

Jana nilimquote mtu kisha nikaandika kizungu,

Kimejaa matusi ya kibabe zaidi ya superpower Magu,

Ila fresh haina noma ikaja ikafunguliwa,

Mbona walikoma jukwaa la kulalamika nikalivamia,

Nikaandika maneno mengi kwa mamods wa jf,

Ban mliyonipiga siku yangu niliiona ndefu, nmekosa tag ya washkaji na vimwana maelfu,

Katokea mmoja akasema nizingatie sheria, nikamjibu unazingua mbona kun watu mnawabeba,

Hawajawahi kupigwa ban hata wakimwita harmorapa kijeba,

Mara kaingia boniuso akanipondea, anashangaa kwanini sikupigwa ban mapema,

Nikamwambia we ni k, pale pale nikagewa nyingine tena
 
Back
Top Bottom