JF Hip-hop frestyle battle

JF Hip-hop frestyle battle

Tazama unavyo ghani, huna uzito kwangu unaelea

huna vina wala mzani, nahisi kama nakuonea

Mi' ni gwiji kwenye fani, dah! ni vipi utaponea

ulinijaribu kama utani, ona sasa unapata fedhea
unapaswa ujue humu sinaga mshindani

wengi mnasarenda , pind niwapo mchezon

napo wakalisha nyie mafeki,weng huic kama utan

Ila nasomeka vyema navyo kuchapa tu key board
Yap
 
Hii kazi ya mwisho ngoja nimshtue mshua Daby,

Hawa wana miyeyusho we njoo unipe zawadi,

Nimewapa za uso kuingia ulingoni hawataki,

Alikuepo Merengo akajifanya kunitangazia vita,

Nikatoa kichapo hevi hataki tena kuniita,

Freestyle za kibabe na mikito inakita, ni tamu, utaiskia hata ukiwa mbali unapita,

Mshua Daby hiyo zawadi naomba awe mjukuu wako Jovitha
 
unapaswa ujue humu sinaga mshindani

wengi mnasarenda , pind niwapo mchezon

napo wakalisha nyie mafeki,weng huic kama utan

Ila nasomeka vyema navyo kuchapa tu key board
Yap
Hahah unataka mapambano, kupanga vina huwezi

Mvumbo ni mfalme wa michano, anga hizi dogo huchezi

ona kila line ni volcano, wana wanasema kukulipua haipendezi

kwani husomi ukaona mfano, kisha ukajigundua kama wewe ni ndezi

wanasema Mvumbo si sawa, unatumia bomu kumuua chawa

nawaambia sijapagawa, ila dogo alijifanya ana power

alidhani maziwa kumbe shah*wa, hivyo nikampa dawa

sasa anaona mapicha picha, kama mchezo wa sambasoti

kila line kichaa namficha, kama nimevaa koti
 
Nasoma lyrics nacheka kijana una hatari,

Umeingia kwa mzuka unazuga hii ni freestyle,

Hizi ni pattern za kuandika mtindo huru hauwezi,

Kaa pembeni jifunze tutazame wabobezi,
hahahaaa u know nothing im de bilingual beast
naflow bastin na nnachinja kila beat
kila wik me ni pila dirty
nachafua weupe i know nothng about dig deep
manicah nna story za panzi nakupanda na mabawa
nna hasira kinazi nakuvunja unapagawa
me ni mzawa
toka enz za m4c
bi kidawa kaa mbali huiwez fasihi
huiwez jamii
me ni master nafunika mpaka tai chi
mpaka bruce lee
mchawi na talismen we bracelets
shika adabu ukimes na anonymous
navunja mbavu kwa ugoko sio ka idris
me sultan kitambo kama ibilis
ni trojana natoka ka pyramid
fix
dizzy
im de pain killer most emcee ka streep na brizy
enomike na mizizi
teja na therapist
makonda na majeshi
me ni saut ya kikos
nawika mpaka joshi
nawaosha kwa kwikwi
mnaodandia kwa mbiz

time ya flow
gun itadrop
flani ka jogoo
im de image u gat me bro??
 
Ahaahhhaaa nacheka kwa dharau/nakuteka na kufyeka JF ikusahau/nyang'au hujui kuchana unajua kusuka/nikifanya stanza ninapanda we unashuka/kurupuka uvalishwe kanga au nikufanye nyama kwa bucha/ me ndo Kidume nilioquote huo uzi/ wa mistari iliyolost na flow ya kipuuzi/huwezi rap mkuuzi akili kimo cha mbuzi/ badili sababu asili yako ni blues/am right here without fear,bi*ch come near/nikupeleke unakostahili kwa wacksphere,me ndo nakukeketa kwa shakspear/snitch is that clear
shakespear me ni wiliam don ka JAZZ
gang fill out nakujaza ka blanks
sio multpochoise
me ni mark ka frog
nawafunga mawak wananiita nati la choo
baki la boo
nakuchinja kimya kimya na utataka tu more
unaniimbia nakuhitaj ka gaz t
washamba mnakufa maji ka young dee
dadaako namuoa tsup she
wanaodis wanapa high wasuck dick
 
Hahah hapa nimeelewa tu unaishi Chicago

Umemrusha marehemu Kimbo slice

Bila kuwasahau River camp soldiers na baba yao Ras Omega

Wacha nimskilize hapa Kendrick ..Be humble,Sit down

Nimecheka sana mashairi ya humu
hii level nyingne dawg... safi sana kama kuna vtu umevielewa...HIZO NI BARS
 
Nakubali Ma-MCEE

ila Mitindo Huru yenu inanifurahisha sana hasa ninapoona vina kati na mwisho... Let's go Off-Top Mazee

Hakuna Mc wa kushindana nami...

kina kirefu niite mto wami...

sio mansu Li au weusi wa lami...

Mc panga hoja acha vihoja na ndio maana wengi ni ngojangoja...

tambua mm ni mia na we Castr ni sifuri wala sio moja...

Unataka zawadi kuchana hujui unachana kwa midadi..

Daby ukitoa zawadi basi we ni fisadi...

huu ni utamaduni weka pembeni mapenzi tanguliza itikadi..

Misimamo ya kigumu.. niitieni titimunda aniwashie ndumu..
 
Nakubali Ma-MCEE

ila Mitindo Huru yenu inanifurahisha sana hasa ninapoona vina kati na mwisho... Let's go Off-Top Mazee

Hakuna Mc wa kushindana nami...

kina kirefu niite mto wami...

sio mansu Li au weusi wa lami...

Mc panga hoja acha vihoja na ndio maana wengi ni ngojangoja...

tambua mm ni mia na we Castr ni sifuri wala sio moja...

Unataka zawadi kuchana hujui unachana kwa midadi..

Daby ukitoa zawadi basi we ni fisadi...

huu ni utamaduni weka pembeni mapenzi tanguliza itikadi..

Misimamo ya kigumu.. niitieni titimunda aniwashie ndumu..
Hahah
 
hahahaaa u know nothing im de bilingual beast
naflow bastin na nnachinja kila beat
kila wik me ni pila dirty
nachafua weupe i know nothng about dig deep
manicah nna story za panzi nakupanda na mabawa
nna hasira kinazi nakuvunja unapagawa
me ni mzawa
toka enz za m4c
bi kidawa kaa mbali huiwez fasihi
huiwez jamii
me ni master nafunika mpaka tai chi
mpaka bruce lee
mchawi na talismen we bracelets
shika adabu ukimes na anonymous
navunja mbavu kwa ugoko sio ka idris
me sultan kitambo kama ibilis
ni trojana natoka ka pyramid
fix
dizzy
im de pain killer most emcee ka streep na brizy
enomike na mizizi
teja na therapist
makonda na majeshi
me ni saut ya kikos
nawika mpaka joshi
nawaosha kwa kwikwi
mnaodandia kwa mbiz

time ya flow
gun itadrop
flani ka jogoo
im de image u gat me bro??
Ok ok naona umeamua kuyavagaa ungetulia huko huko kama kuku anayetaga,

Umeingia mbio mbio kama mlevi wa safari laga,

Mistar so poor haimpati hata miss chagga,

Kwakua umejileta haina noma nakulaga,

Show bado hazijaisha endelea kujifunza swaga,

Unatumia siku 3 kufikiria cha kinijibu, hauko levo yangu hivi kweli huoni aibu?

Ubishoo mwingi mistari hovyo kama virasta vya Chibu,

Tia sana vitasa siku nyingine usinijaribu, kila ukiniona toa sura ntakuharibu,

Umekuja wima wima ona sasa umekaa, kwenye freestyle wewe bado ndiyo kwanza unatambaa.
 
Yap yap yap
Mimi ni Yule team kiduku
Tutawanyonyoa USA kikuku
Daby Njoo na huku
Nikuoneshe mashair y SR

Viboom vya Zamani
Sisi vipya hatutaki utani
Walahi tuko machinjioni
Niwaonesheni mashairi ya RB

Kama vidume anzeni
Sisi tutamalizeni
Tuwaoneshe Huku kunani
Mkali Mwenye uandishi WA ki SR
 
Yap yap yap
Mimi ni Yule team kiduku
Tutawanyonyoa USA kikuku
Daby Njoo na huku
Nikuoneshe mashair y SR

Viboom vya Zamani
Sisi vipya hatutaki utani
Walahi tuko machinjioni
Niwaonesheni mashairi ya RB

Kama vidume anzeni
Sisi tutamalizeni
Tuwaoneshe Huku kunani
Mkali Mwenye uandishi WA ki SR
Haha

Sauti ipae
ipasue mawingu/

Umenifanya nisikae
nimesimama na Rungu /

Leo mpaka tasa azae
Nina makuu wananiita jungu/

Kuboom kubaaam kubabae
Kiti nimekikalia kama zungu/
 
Ok ok naona umeamua kuyavagaa ungetulia huko huko kama kuku anayetaga,

Umeingia mbio mbio kama mlevi wa safari laga,

Mistar so poor haimpati hata miss chagga,

Kwakua umejileta haina noma nakulaga,

Show bado hazijaisha endelea kujifunza swaga,

Unatumia siku 3 kufikiria cha kinijibu, hauko levo yangu hivi kweli huoni aibu?

Ubishoo mwingi mistari hovyo kama virasta vya Chibu,

Tia sana vitasa siku nyingine usinijaribu, kila ukiniona toa sura ntakuharibu,

Umekuja wima wima ona sasa umekaa, kwenye freestyle wewe bado ndiyo kwanza unatambaa.
Huyo utambaka..

Njoo kwa Mimi kaka wa makaka..

nina Uhuru pia madaraka..

JF ma-snitch wengine motherfacka..

sikulazii damu..

nakula ndogo ukinipa kubwa naskia utamu..

napiga voda napiga pia tigo.. we kidenti subiri nikuvushe wigo..

mwambie shoga yako miss chagga nina bonge la muhogo..

ariff Leo mashabiki watakukana..

twende kote ruksa kutukana..

tukana kijanja usitukane hadharani..

Mkuu Invisible atakupiga Ban..

Kama nimekukosea basi samahani
 
Huyo utambaka.. Njoo kwa Mimi kaka wa makaka.. nina Uhuru pia madaraka.. JF ma-snitch wengine motherfacka.. sikulazii damu.. nakula ndogo ukinipa kubwa naskia utamu.. napiga voda napiga pia tigo.. we kidenti subiri nikuvushe wigo.. mwambie miss chagga nina bonge la muhogo.. ariff Leo watakukana.. twende kote ruksa kutukana.. tukana kijanja usitukane hadharani.. Mkuu Invisible atakupiga Ban.. Kama nimekukosea basi samahani
oyoooooooooooooooo una bonge la muhogo ila huna pesa ,
we ni mzigo kama mizigo mingene
kama vipi nipotezee
 
Haha

Sauti ipae
ipasue mawingu/

Umenifanya nisikae
nimesimama na Rungu /

Leo mpaka tasa azae
Nina makuu wananiita jungu/

Kuboom kubaaam kubabae
Kiti nimekikalia kama zungu/
Uwiiii
Kwanza kuwa muwazi
Au Uko Ile team yawashenz
Wanaosema walijuwepo enzi
Sisi tanasema hatutaki undezi
Tunajua kishenzi
Hata wenzao walishasema hawatuwezi

Daby Hebu nikumbuke kimweli
Uliye muacha mkavu ka reli
Nunua Hata penseli
Au Hata bikali
Utakuwa Wa afadhali
Nakukumbusha mfate kimweli

Au nimekosea mnyama
Kukumbusha ya mama
Ila jua kuna kiama
Utakuja jibu lazima
Nakusihi mfate kimweli

Nb:kimweli ni hosteli mzumbe
 
Uwiiii
Kwanza kuwa muwazi
Au Uko Ile team yawashenz
Wanaosema walijuwepo enzi
Sisi tanasema hatutaki undezi
Tunajua kishenzi
Hata wenzao walishasema hawatuwezi

Daby Hebu nikumbuke kimweli
Uliye muacha mkavu ka reli
Nunua Hata penseli
Au Hata bikali
Utakuwa Wa afadhali
Nakukumbusha mfate kimweli

Au nimekosea mnyama
Kukumbusha ya mama
Ila jua kuna kiama
Utakuja jibu lazima
Nakusihi mfate kimweli

Nb:kimweli ni hosteli mzumbe
Hivi wewe wa mzumbe mkuu!
 
Back
Top Bottom