Kuna mtu kakimbia hapa.Castr jamaa kamaliza round njoo toa yako
We unae jiita ze best kesho na batle naww leo nakuacha ufanye reharsal na vilaza wenzio
Kuna mtu kakimbia hapa.Castr jamaa kamaliza round njoo toa yako
We unae jiita ze best kesho na batle naww leo nakuacha ufanye reharsal na vilaza wenzio
Ok round za washkaji zote mbili ni hizi hapa chini. Mpigie kura kwa kummention unayehisi ni mkali kati yao wawili.
Hahaha kama mpoto??
Kumbe bado unaakil za kitoto.
Hapa unajikomaz ukitak nami batle,
Hiv last time lini ulipigwa ban?
Maan una mwaga pumba hum jukwaani,
Mods plz njoon mseme huyu nijibu kama nani,
Apigwe bani, mkishndwa simba nitoke mbugani,
Nipige claw mbili atoke povu agongwe ban,
Kwani bei gan?
Watot kama nyie huwa shindani,
Nawaweka darasani, nawafundisha kwa kurasa tena za mwanzoni,
Nahis umekaa na peni unafatia taratibu tena kwa umakani,
Maan hata ulikuwa hujui nini maan ya ban,
Nimebeba point zangu nasepa mkanda begani
Asubuhi na mapema nazama kati jf,
Majukwaa yanastuck pm hazisomi au mtandao f?
Naingia kwa id nyingine naona hii imeshushiwa rungu,
Jana nilimquote mtu kisha nikaandika kizungu,
Kimejaa matusi ya kibabe zaidi ya superpower Magu,
Ila fresh haina noma ikaja ikafunguliwa,
Mbona walikoma jukwaa la kulalamika nikalivamia,
Nikaandika maneno mengi kwa mamods wa jf,
Ban mliyonipiga siku yangu niliiona ndefu, nmekosa tag ya washkaji na vimwana maelfu,
Katokea mmoja akasema nizingatie sheria, nikamjibu unazingua mbona kun watu mnawabeba,
Hawajawahi kupigwa ban hata wakimwita harmorapa kijeba,
Mara kaingia boniuso akanipondea, anashangaa kwanini sikupigwa ban mapema,
Nikamwambia we ni k, pale pale nikagewa nyingine tena
huo ni utani uletwao mbele za watu... ni tangu lini demu shunie akasimamia chafu tatu... sawa na james mautamu kumtia mimba sepetu... ah ah sitaki kisirani wala sina kwere na mtu... sina dharau asilani wala mi si mtukutu.Haha... wana wanabattle ngoja wamalizie round ya mwisho tuwapigie kura.
Arosto naijua mm we bado mchumba.. hii ni bum baah endelea na akadumba.. niko imara miaka mia.. unakaza kila beti mwenzio natania.. natoboa kila Leo.. Nakuzika kiimani na kiupeo..Unahubiri flow shitty Harmorapa kasingiziwa,
Umezunguka unanuka usnitch Steve kasingiziwa,
Una arosto na hizi lyrics Chid Benz kasingiziwa,
In a beast mode Babuu akakimbia
Mmmh ww mtoto umeanzwa kuwashwa.Asubuhi na mapema nazama kati jf,
Majukwaa yanastuck pm hazisomi au mtandao f?
Naingia kwa id nyingine naona hii imeshushiwa rungu,
Jana nilimquote mtu kisha nikaandika kizungu,
Kimejaa matusi ya kibabe zaidi ya superpower Magu,
Ila fresh haina noma ikaja ikafunguliwa,
Mbona walikoma jukwaa la kulalamika nikalivamia,
Nikaandika maneno mengi kwa mamods wa jf,
Ban mliyonipiga siku yangu niliiona ndefu, nmekosa tag ya washkaji na vimwana maelfu,
Katokea mmoja akasema nizingatie sheria, nikamjibu unazingua mbona kun watu mnawabeba,
Hawajawahi kupigwa ban hata wakimwita harmorapa kijeba,
Mara kaingia boniuso akanipondea, anashangaa kwanini sikupigwa ban mapema,
Nikamwambia we ni k, pale pale nikagewa nyingine tena
unapigaje
Nimekupa flow kali ukakimbilia kulike,Arosto naijua mm we bado mchumba.. hii ni bum baah endelea na akadumba.. niko imara miaka mia.. unakaza kila beti mwenzio natania.. natoboa kila Leo.. Nakuzika kiimani na kiupeo..
Who is a fake mc?/fake emcee huyo.
Dogo umetajwa kwa mfano umeingia mzima mzima,Mmmh ww mtoto umeanzwa kuwashwa.
Nilikupa vyeo ila nimenza kuku shusha .
Hata hujapat ban, siku nzima unaruk ruk jf
Wakat wenzako tulikuww job tunasak life
Ume nichokoza, hiz ndio zang replay....
Haha ulivyo fala c mda utajifny unatema mayai
Kabla hujakimbia nakupa cha kukusindikiza,Mtoto kalilia rung, acha nimsugue harder
Mim bashite, hukai mjn kama muuza powder
Dogo han nizamu, acha atiwe makonz
Mods msiingie hauwahus huu ugomvi.
Alicho kiomba, mda huu ndio anakipata,
Mi paka we panya, chek mkia ulivyo fyata
Dogo umetajwa kwa mfano umeingia mzima mzima,
Ngoja nikupe kibano ujifunze adabu na heshima,
Hizi kazi kali blast kubwa kama hiroshima,
Haya nyanyuka nmekusamehe usrudie tena,
Happy 4.20 dogo , maana umesha nyetaKabla hujakimbia nakupa cha kukusindikiza,
Mi msitu wa vina mnene huon ktu labda giza,
Nakupasua makende wenzako wanasikiliza,
Wanaijua hii habari deile inawaumiza.
Oooh yea cheki mistari haina vina unavyopoteana,Hah nimekushitua, una shituka kias hicho vipi?
Au ushabanwa kwenye kona. Na ushaachia nyeti
Dogo wew kiropo, zaid ya harmolapa
Umechagua zimwi baya, hupati kik hapa.
Mods watoen watot jf great thinker, cheki shida tunazo pata
Sem nina dawaw zao, huwa wanacho kitak nawapa
Hahaha we mtoto mdogo sana mimi siyo saizi yako,Happy 4.20 dogo , maana umesha nyeta
Unasuguliwa taratibu, lakin chek unavyo cheka cheka.
Hii halali yako, kesho ipo ukihitaj utaipata
Naona ushaanza koroma, goodbye maza fanta
Nasoma lyrics nacheka kijana una hatari,ANAYEWEZA KUSHINDANA NA MIMI ANIQUOTE ILA ASILIE
kichaa na rungu kichaa uvungu/
nipo jf usiulize mautundu
usiulize majungu
nakupaka kama mange waulize wazungu
boss la flow naflow zaid ya river
nina camp of sojaz na mwes kama kimba
ndevu niite simba
natoa knock out ka slice niite kimbo kinga
janja la wajinga zee la kutinda
nikifinda nawinda maujinga nayageuza maujanja
flow beberu na makazi chikago
zoom baby look damn nikupe kisago
nakimbiza ka bolt
nakushona ka boriti
nakukaza kama nati
nakuficha kama noti
hii sio boti ni game beach buggy biltz
fix hizi
me ndio jogoo la shamba nawika mpaka PANDE HIZI
Mapengo na pengo la kadinari.. Michano yangu kitisi wanasema ni kamari.. Tega sikio nikupe maarifa na sio taarifa ya habari.. Niki-like nimependa.. Ukipenda pia nakutenda.. Sikupi ngawila nakupa denda.. Mtt Mdogo kaa kimya nitakubemendaNimekupa flow kali ukakimbilia kulike,
Mi ni mc hatari jtahd uwe srias,
Mistar inajeruh km jeraha la risasi,
Sasa hivi niko fast namuwah Merengo,
Nilshakutoa knock out si unaona mapengo?