MhNgoja nikujibu kwa ufupi na haraka Mimi ni SEMENYA
wapi hukoSiulizi kwa ubaya ndugu.... na kule ulikoona natajwa nina ID nyingi ni utani tu japo sikuzuii kuamini au kutokuamin.
hizo xx zako badala ya s zitakukosesha pointHua mnaniacha domo wazi kwa hii mada ya MMU/
Inanitia simanzi sababu najua hili ni moja ya source ya VVU/
Daby ntakuona michoxho km umemaind mi kusema ukweli huu/
Mwixho wa yote nasema asante na kumshukuru alie juu/
Anapajua haaaa,haaaa Kuna thread huko Inayosema Mambo ya kipumbafu humu JF wamemchana Anaanzisha Uzi halafu ana log in kwa ID nyingine na kujipinga na kujipongeza na kuji like haaaa,haaaahahahhh kachanwa wapi huko
kwahyo pambano limeishaZawadi ipo ila wameshindwa kuchanana kila mtu anachana kivyake
sawaCommon sense tu...sio kila mtu kilaza
fake emcee huyo.hizo xx zako badala ya s zitakukosesha point
ndio mambo ya jf hayoUzi mmoja hivi unasema huu ndiyo upumbavu sijui nini na nini upo jukwaa la complaint..congrats..
Ohhhh kumbe ndo hilo nimeshajibu Mimi ni Caster Semenya nadhani nimeeleweka EtiDaby hivi ulikuepo moyoni kwangu
kweli n fake arudie tenafake emcee huyo.
Rafiki msema kweli ni mpenzi wa Mungu,hivi kweli ukhuty ni mtu wa kuijua au kuipenda hiphop kweli??Rafiki umeanza
Hamorapa humu anatumia ID gani kwani? Ili tumuweke kwenye battlekweli n fake arudie tena
Dude una spit nin unaongea kitu gan?Na spit madini ghali lugha kali nakimbiliwa na ban,
Naikwepa fasta kama miss chagga kwa broke man,
Nacheki hiyo mikwara naipangua naruka mpaka ndani,
Nimejaa tele Michael Joshua nakungoja nikupe freestyle burns,
Acha utani aisee!!!
analog in anakutana na banAcha utani aisee!!!
Sema nini hebu naomba uniambie mtu akipigwa ban anaweza kulog in ila akakuta ndiyo kapigwa ban au inakuaje.
Simaanishi wewe ni mzoefu wa ban mkuu
sawaOhhhh kumbe ndo hilo nimeshajibu Mimi ni Caster Semenya nadhani nimeeleweka Eti