Nageuka Dudubaya, Mwanagu Hauna NidhamuSpendin hours writing shit? Really?
Ama kweli fani imevamiwa/
Worry not ukiwa na mi kila kitu kitajipa/
Kabla ya kulala hebu chagua kabisa/
Kichwa utalaza wapi kifuani au kwenye kibuisa mpipa?
Nakuboa kwa hii mistari iliyoenda shule/Nageuka Dudubaya, Mwanagu Hauna Nidhamu
Castr usinizoee vibaya, mtengwa usiye nifahamu
We sio mkuu wa mkoa, na ki
Flow nakupa zero
Kwenye wakuu wa kuboa, soon utaibuka hero
Sikio la kufa, sikia michano tibaOne two, one two everybody say 'yeah' coz the sucka is through/
Uko so weak pek yako huniwez labda uje na crew/
Unaendekeza umbeya ngoja nkushushie vitu true/
Freestyle yako rafu, mistari uchafu mtupu/
Sikilizia yangu inavyowasha kama upupu/
Nafumua kila kitu simuonei huruma mtu/
Mtengwa ngapulila ila kwangu ni virgin/
Ur head on my chest n i'll be doin that ass/
Mistari lege imelegea, braza umekula bamiaSikio la kufa, sikia michano tiba
Na mtaka mpenda sifa, Aje kama demu wa Kiba
Mnatalk bla bla, vitendo vimekua bubu
Shemeji unaezima taa, utakua unataka dudu
Sikupi kinachokufaa, michano nimeipa juju
Saigon ebwan daa, Mbeya wanaiita Sugu
Junior baada ya mbunge, sababu wana husudu
Michano nunge, imekazwa ikakazika kama kamba ya kudu
Hii ni over size, niki alisema itakupwepweta.Mamito nipo hapa show off tukafanye gheto/
Natokea street usijali lugha jali mgegedo/
Game ipi bora? Unayocheki au nitakayokuchezesha kesho?/
Hilo tope haina shida niko tayari kuja bondeni/
Bonde lako limenteka sitak kutazama pembeni/
Show kama kawa itaanzia sebuleni/
Unataka threesome? Usijali njoo na shoga yako Penny/
Muulize magnifico, akupe jina halisi la hiki kichwaDaby umetisha sana maana hapa nakariri 2 mistari ya wadau.
I move like electron in an element,Kwa stori za kijasusi,namkubali the bold.
Dp yake yaakisi,ufanano na jemsi bond.
Wamzidi ray kigosi,the bold aka the gold.
Nsipo kutaja pls usinichukie,
Wanajamii mpo wengi so usininunie,
Chakusema nacho msinipangie,
Huu uzi uko poa so mods msiufungie,
Ukipata like jf shukuru Mungu,
Wengine kila nyuzi ni kukoment majungu,
Mwanafunzi mweupe au whitedent,
Nani wa kuchana to this extent,
Wether am too good or even excellent,
I move like electrons in the element,
Ok ok so kazi imekua shughuli, mtengwa kasingizia lughaWatoto mna flow matusi, hili sio jukwaa la wakubwa
Bado hamjakua ki versi, kwa hiyo msituletee shida
Nawapa conection zenye tip, muwe top kama janjaro
Then nawatumbua kama jipu, Maguful wa hii battle
Muulize mjumbe wa bwana , atakwambia mimi mjumbe wa vina
Ma Emcee Coke Zero , njooni niwafundishe kuchana
Ngoja na leo Tuwaseme , labda mta BADILI TABIA
Mme mess kwa Mbwa dume , lazima mtakimbia
Me ndo @Mr.JF huo NI MTAZAMO TU
Mwambieni Miss Natafuta akinitaka atanipata tu
Kichwa Kichafu , hamniwezi mimi tajiri wa stanza
Kanda ya ziwa wananiita chief, shahidi tajiri wa mwanza
Natoa waraka, kama mtume paul kwa warumi
Kinywaji unachokitaka, @barafu ya moto ndo mimi
Natoa kipigo hevi emcee anableed/Muulize mjumbe wa bwana , atakwambia mimi mjumbe wa vina
Ma Emcee Coke Zero , njooni niwafundishe kuchana
Ngoja na leo Tuwaseme , labda mta BADILI TABIA
Mme mess kwa Mbwa dume , lazima mtakimbia
Me ndo @Mr.JF huo NI MTAZAMO TU
Mwambieni Miss Natafuta akinitaka atanipata tu
Kichwa Kichafu , hamniwezi mimi tajiri wa stanza
Kanda ya ziwa wananiita chief, shahidi tajiri wa mwanza
Natoa waraka, kama mtume paul kwa warumi
Kinywaji unachokitaka, barafu ya noto ndo mimi
Ok ok so kazi imekua shughuli, mtengwa kasingizia lugha
Nabeba versz kama kuli, mtengwa acha ukuda
We ni mpoto mkosa nauli, bado unataka kuja?
Wenzako wote wenye viburi, wamesiz kama Chdi na Maunda
Usilazimishe kukaza msuli, unatapa tapa kama Yuda
Msaliti kwa vipande kumi, snitch ni mtengwa buda
Ok now beast mode on, freestylin kitambo tangu chaukuchaNakurudisha kitambo, mfalme anataka lah lah lah
The nawanasha kwa urimbo, maana mnaleta blah blah
Mtengwa fundi mitambo, saigon ebwana dah ebwana dah
Castr mc qute hapo ulipo, natuma kiss mwah mwah mwah
pesa ndiyo mpango mzima.. ooh miss chagga unauza sh ngapi?Sihitaji mada kuchana.. Nahitaji beat kuwabana.. Wapuuzi kwenye Uzi mmejazana.. Niite shemeji dadaako ananiita bonge la bwana... Aaanha twendeeee
sina mpinzani.. kwenye fani ya kughani.. napata mizuka hasa nikinyonga mjani.. nafoka kishenz wala sio utani.. Yeeeahhh one two
Twende tena.. Yeeeah,
MMU.. Wanajadili Mapenzi tu.. hakuna wasaidizi wote ni wakuu.. swagga za majuu.. Asprin babu miss chagga mjukuu.. unabisha!? Basi sema suuuuuu....
Daby nipe mpinzani.. nimuonyeshe mautundu ya zamani.. mi ni old skul wakuja usilete utani..
Daaah... Haya mambo yanaenda na midundo wanangu