Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,671
Sio vizur mwanaume kungangania kuambiwa kitu ila.. niambie au nikuimbie kidogo hapa ukubali niambie bwana... sio vizuri ati karoho kananidunda mimi
kesho labdaSio vizur mwanaume kungangania kuambiwa kitu ila.. niambie au nikuimbie kidogo hapa ukubali niambie bwana... sio vizuri ati karoho kananidunda mimi
kesho labdaMMU inafundisha maisha/ bila hata ya kuficha/ kwa pamoja jamii inawakilisha/ na kwa wale wanaojifunza inaleta picha/ kwamba kuna mambo yanatisha/kuanzia mapenzi na kwenye maisha/Here we go !!
Kijana unashinda MMU huku ukiwasapoti LGBT/
Mwisho wako mubaya kama TVT/
MMU kilamember mjuvi wa penzi/
wamejaza thread kama inzi/
MMU utapata furaha ya mahaba/
Member wacheshi maneno Yao si haba/
Mapenzi Sasa weka mbele pesa/
Mabinti wa MMU wanavunga hawataki Pesa/
MMU inashangaza inapendwa na wengi/
Huku ikichukiwa na wengi/
Tatizo la MMU wanaubaguzi kama karanga/
Ni heri nikamsome intelligence-kiranga/
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
inawezekan wanaandikaLabda wanaogopana ngoja wamalize kuandika maana najua wanaandika mimi.hahaha
Sijawao shindwa kwenye battle/ nikianza washa huu moto/ unanipambanisha na watoto/Labda wanaogopana ngoja wamalize kuandika maana najua wanaandika mimi.hahaha

Unakuja kwa njia ya kutaka kiki/ hiki kipaji hakiambiliki/ MMU iko moyoni akilini haielezeki/ jukwaa langu pendwa mdomoni halitoki/ sitaki like wala makofi/ nitasimama kuwaangusha mafisi/ wanaokuka kwa njia ya manesi/ na nishawastukia sasa nakuvalisha nepiYeah ah,kama dawa kama kawa
Nashiriki kamanda kuwawasha kama chawa,wadwanzi wote wanapagawa
Nipo kwenye list lakini sio shame
Ile fake iliyowapa sifa marehemu
Keti kwenye kiti ,shika biki
Chora jina langu leo nadhibiti
Nikitambaa kwenye biti ,kama nyani juu ya miti,walahi matozi wote leo hamnipati
Jf inanipa raha kinamna hii,nitawaburudisha jata nisipoifunza jamii
kiranga sikusomi keyon nasikia unamatatizo kila sehemu haupo stable kwa flowHere we go !!
Kijana unashinda MMU huku ukiwasapoti LGBT/
Mwisho wako mubaya kama TVT/
MMU kilamember mjuvi wa penzi/
wamejaza thread kama inzi/
MMU utapata furaha ya mahaba/
Member wacheshi maneno Yao si haba/
Mapenzi Sasa weka mbele pesa/
Mabinti wa MMU wanavunga hawataki Pesa/
MMU inashangaza inapendwa na wengi/
Huku ikichukiwa na wengi/
Tatizo la MMU wanaubaguzi kama karanga/
Ni heri nikamsome intelligence-kiranga/
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahahhaha kijana pole/ unajifanya mlokole/MMU imekushinda nenda kalale/ kule hatusimulianagi misukule/ ni mapenzi tu kwa kwenda mbele/ MMU siyo ya watoto wale wa babu tale/ kule tumejaa watu wazima tena teleMahusiano,mapenzi na urafiki,
Ndo jukwaa liongozalo kwa kiki,
Mada za ajabu mbaka unaogopa kulike,
Ukija kwenye koment basi zote zakinafiki,
Kuna wanaume wanajifanya mashost,
Hao ndio huongoza kwa kupost,
Ukigombana nao lazima itakukost,
Mana lazima waitane na kukufungia boost,
Kwa mada za kitandani hapa ndo mahala pake,
Ukitaka umaarufu we wasifie wanawake,
Nawasaidia wenye mada mana naona wanazingua tu.......
Inajulikana, mtengwa real ni mmojaHii battle adimu ka' mkwanja,
Usije kwa stim za ganja,
Take care Mc utakimbia uwanja,
Nawapanga kwa stanza mi kiranja,
Njoo nizuri, danger!!
Hata mtengwa wewe ni shit, vina vimepinda kama my morning piss/Inajulikana, mtengwa real ni mmoja
Kwa hiyo mwana, kaa mbali we wakuja
Mnaiga hadi Id, Mnacopy kama surname
Wivu na mna hii,Mungu akurehemu
Nikikudiss sitafanya vyema
Nakuacha uSEPE TU, we madame WEMA