JF hauwezi pata mwenza kabisa!

Ila mahusiano ya JF 😹😹

Humu kuwa na husiano ni kama wote mmekosa kazi za kufanya, sasa mnahitaji kucheza ki-mama mama na ki-baba baba..

Mara nyingi mapenzi huishia pabaya..!!
 
Kuna member humu anatokea Tanga ni mweusi, alikua zenji miezi michache nyuma nadhani alikua kikazi akiwa na smz asee, ana trako alafu kiuno nyigu we dada kama unani sikia nilikuelewa basi tu ukawa mkali alafu yule jamaa alie kua anakuendesha kwenye pikipik jamaa white hivi dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…