Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,348
- 176,144
🤣🤣🤣🤣dipresheni is everywhere u go. Here we go!
Karibu mihogo.
🤣🤣🤣🤣dipresheni is everywhere u go. Here we go!
Huyo hara siri za familia huwa hatumpi, akilewa anazimwaga zooote.😀😀😀😀 kwani ana aibu kabla ya kutoa lock?
Hiyo katuni huwa narudia Kila mara kuiangailia.Noma sanaa
Feels like 10 🤣
Niko poa kabisaaPoa sana, za wewe?
Hakika mkuu.Hiyo katuni huwa narudia Kila mara kuiangailia.
Hii itapata wachangiaji wengi humu kuliko uzi wenyewe🤣
Hii tuliitumia sana Primary School miaka ya 70s to 80s