JF happy hour

JF happy hour

Afsa upepelezi 😂
Ngoja niiweke clear zaidi
downloadfile.jpg
 
Baridi ya Northzone ni kama tumesusiwa na la mikoa mingine. Sipati picha huko Mbeya.. tunaganda hadi vinyweleo 🥲
Ondoa W hapo😎🏃🏿🏃🏿🏃🏿😩😂
 
😂💔😂KUANGALIA MPIRA NA MWANAMKE👩 NI STRESS KUBWA 😂💔😂

👩Mke: Timu gani zinacheza?

👱🏾‍♂️Mume: Arsenal dhidi ya Manchester United.

👩Mke: Aaah safi! Napenda Arsenal...

👱🏾‍♂️Mume: Hiyo ni timu nzuri...

👩Mke: Drogba anacheza?

👱🏾‍♂️Mume: Hachezi kwenye hizi timu...

👩Mke: Sawa mpenzi...huyo ni Chris Brown?

👱🏾‍♂️Mume: [🤦🏾‍♂️😫] Hapana, huyo ni Chamberlain...

👩Mke: Aaah lakini wanafanana...ile kadi ya njano ni ya nini?

👱🏾‍♂️Mume: Ni onyo kwa mchezaji...

Baada ya dakika chache Rooney anafunga goli kwa Manchester United...

👩Mke: [anashangilia🥳🥳] Hiyo goli kafunga Chamberlain?

👱🏾‍♂️Mume: [🥺] Hapana, Rooney wa Manchester United...

👩Mke: [😡] Inakuwaje? Arsenal ndio walipaswa kufunga!

👱🏾‍♂️Mume: [🤐]

👩Mke: Na ile kadi nyekundu ni ya nini?

👱🏾‍♂️Mume: [🤦🏾‍♂️😢] Hiyo inamaanisha mchezaji anatakiwa kutoka nje ya uwanja kwa tabia mbaya.

👩Mke: Ahaaa! Sasa atakuwa kocha?

👱🏾‍♂️Mume: [hajisikii kujibu] Aaaaa hapana...

👩Mke: Ni kama taa za barabarani: njano = onyo; nyekundu = hatari.

👱🏾‍♂️Mume: Ndiyo mpenzi...

👩Mke: Na kijani inamaanisha nini?

👱🏾‍♂️Mume: Mmmm hakuna kitu kama hicho uwanjani...

👩Mke: Nataka Arsenal ishinde Kombe la Dunia...

👱🏾‍♂️Mume: [kimya kabisa]

👩Mke: Huyo jamaa aliyesimama anafanana na Mr. Bean ni nani?

👱🏾‍♂️Mume: [amechoka kabisa] Huyo ni kocha wa Arsenal... Arsene Wenger.

👩Mke: Basi kocha wa timu pinzani anaitwa Manchester Wenger?

👱🏾‍♂️Mume: [anabadilisha chaneli kuwa Zee World ili apate amani] 😂😂😂
 
Vile miccm inachunguliana
 
Back
Top Bottom