Hahahahaha, mi chimo... I think he was not good jana.Jana ulimfanya nini yule nayem-ignore?
Mbona alirudi home shati halina vifungo?
Afu anaweweseka
Hahahahaha, mi chimo... I think he was not good jana.
Well, I am not sure we are talking about the same person
But wote wa2 were not good jana. Huyo wako na muuza pet.
Alikwambia alikua na mimi? uongo kabisaMwali
As for Muuza pet, I understand, ni sababu ya the mess you have created baada ya mtakatifu kuja
But the other one, mlikuwa na petiana petiana kitu gani?
Alikwambia alikua na mimi? uongo kabisa
Mi hata sijamuona toka birthday yake
Atakua na Condolesa Rice somewhere...
Sasa huyo mfuga mbwa mbona kasheshe?
Nani alimwambia kua Ivuga karudi?
Sijui kwa nini Saint Ivuga karudi so soon kwa kweli.Duh, kafika huko tena?
Basi itakua kazi sana.
Sijamwambia kitu muuza mbwa
Ila lazima uanze kupanga majibu in case akiona
Si unajua first mention says a lot.
boflo ni ndugu yangu mdogo wangu ngoja aendelee kusherehesha hakuna tabu
Is it? Mbona hamjafanana kitabia? :suspicious:Kweli kabisa Saint Ivuga....sisi ni ndugu dam dam!
Is it? Mbona hamjafanana kitabia? :suspicious:
Duh, kafika huko tena?
Basi itakua kazi sana.
Sijamwambia kitu muuza mbwa
Ila lazima uanze kupanga majibu in case akiona
Si unajua first mention says a lot.
Sijui kwa nini Saint Ivuga karudi so soon kwa kweli.
Ataharibu mpango mzima, and I took so long kupanga...
Sijui nipotee kwa muda (kama a week or two hivi)?
yaani we kongosho nakupenda sana enhe!! kuna mchawi inabidi nimuandalie operation sangara
Itabidi uanze operation Nyangumi.
Shkamoo Uncle. Mi sijui Ivuga alikua wapi,
nimemuona tu kaibuka na thread eti anataka ripoti
Hivi Uncle kuna mahari toka kwake mlipokea bila kunambia?