Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
- Thread starter
-
- #141
laptop yangu iliungua, si unajua tatizo la umeme ila hio sio sababu kuwa ...hili la kutoaga tutalimaliza badae kidogo ..nataka niwafanyizie wabaya wangu kwanzaBasi ngoja niongee nae kwanza...
but this only solves part of the problem.
Now why did you leave bila kuniaga?
Nini tena BT?
nisije nikaharibu loh
Shkamoo Uncle. Mi sijui Ivuga alikua wapi,Mwali Husninyo nimemwita nyumbani kuna mchumba amepata, hivyo tuko busy na maandalizi
Huyu SI alikuwaga wapi?
Mwali nilishapeleka kila kitu ..wewe kwani upo interested kujua? siku hizi watu wahalipiwai mahari ni kinyume na haki za binadamu..sasa sijui wewe unalionaje hiliShkamoo Uncle. Mi sijui Ivuga alikua wapi,
nimemuona tu kaibuka na thread eti anataka ripoti
Hivi Uncle kuna mahari toka kwake mlipokea bila kunambia?
Mwali nilishapeleka kila kitu ..wewe kwani upo interested kujua? siku hizi watu wahalipiwai mahari ni kinyume na haki za binadamu..sasa sijui wewe unalionaje hili
Kumbe umerudi??thanks God nimemaliza shughuli zangu na nimeona niendelee kujumuika nanyi tena.
Ukisha ongea na Uncle lazima urudi kuongea na mimi.
Nimekwambia landscape sio ile ulio acha.
There is somebody else who makes my heart beat now
Kumbe umerudi??
Sikuona hii, ni matumaini yangu umekuta mali zako zote zipo salama...
Hahahahaha, Naogopa nikikwambia utamtupia bucha!
Kusema kweli the interest is one way, yeye hana time :crying:
Hahahaha, hatishiki na mikwala ya namna hii ujue. lolbasi kama hana time itakula kwake kwani wenye gemu ndio wamesharudi hivyo na akae mbali najua anachunguli chungulia hapa ..hii ni alert....ajua kuwa hiki ni kimbunga na sio upepo kitamuunguza kama hatakaa pembeni na kuacha vitu vya watu:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
Pole sana kwa yaliyokukuta, nipo tayari kwa maandamano aisee haiwezekani ufanyiwe umafia halafu tukae kimya.
Hahahaha, hatishiki na mikwala ya namna hii ujue. lol
Halafu hao wenye game ndio kina nani sasa, wewe?
Pole sana kwa yaliyokukuta, nipo tayari kwa maandamano aisee haiwezekani ufanyiwe umafia halafu tukae kimya.
If you have decided to come back just don't force it Kongosho, mwambie Ivuga to take it slow. Pole pole...sasa kumbe. halafu mbona haujibu pm zangu na kupokea simu, hujui tunatakiwa tutoke out ,,nina baraka zote za aunt na uncle