Teh lazma atakuwa kakoma lolRuta alikosea bwana, atapotoshaje umma kua peku ni safi?
Watu wanakufa usiku na mchana kwa kwenda peku yeye anapromote?
Ila naona Mods wamemrudishia reputation yake. Awe mwangalifu sasa.
Please SS, nenda hii thread, changia unavo taka
but please just let me finish talking to Ivuga
Tukimaliza tutakuita uje usome, waonaje rafiki?
ndio sasa hivi naanza kupata picha na kwa nini wamefurahi sanaaa..ireally dont get em kwamba vya watu vikiliwa(kama kweli vimeliwa) wewe ufurahie kwa minajili gani.Bora nikwambie hata kwa mbali maana SS kadhamiria!
Ok. during kampeni ya uchaguzi wa JF man of the year
Kuna watu walileta tetesi (za uongo) za kuchafuana tu.
Si unajua how uchaguzi unaweza kua? (refer Lusinde)
So kuna vitu watu walizusha wakati huo about EMT.
samahani na pole sijaona jipya lolote kule.... so niko around tooo
ndio sasa hivi naanza kupata picha na kwa nini wamefurahi sanaaa..ireally dont get em kwamba vya watu vikiliwa(kama kweli vimeliwa) wewe ufurahie kwa minajili gani.
samahani na pole sijaona jipya lolote kule.... so niko around tooo
hahahaa @SS UMENICHEKESHA KWELI ,yaani picha umelikuza kumaanisha kuwa you don go anywhere...
:rapture:Get lost man! we are having serious discussion here.
So what happened ni kwamba ilibidi kuchukua hatua za kusave campaign
Kamati ya chama chetu (Husninyo na mimi) tukaona ni bora mimi na EMT
tuwe tunakaa offisini wakati wengine wanaenda kupiga kampeni mtaani
and naturally we got a bit close, and we got to know each other well
But hapo in bold, let me tell you straight, hakuna kitu kama hicho. kweli.
ngoja kwanza nisome mara ya piliSo what happened ni kwamba ilibidi kuchukua hatua za kusave campaign
Kamati ya chama chetu (Husninyo na mimi) tukaona ni bora mimi na EMT
tuwe tunakaa offisini wakati wengine wanaenda kupiga kampeni mtaani
and naturally we got a bit close, and we got to know each other well
But hapo in bold, let me tell you straight, hakuna kitu kama hicho. kweli.
Well... hapo in bold ndipo penye tatizoMwali
si unakumbuka wahenga walisemaga yaliyopita si ndwele tugange yajayo? you agree with them? i do agree with them
Smiling Saint acha kuchombeza chombeza niko bussy kumuweka mtoto sawayou mean umekubali yaishe???
Well... hapo in bold ndipo penye tatizo
Remeber we still have a problem via PM
Ulipoondoka ulianzisha thread ya kuaga
na mimi nilijua unaondoka kwa kupitia thread
So nilihisi we were not that close anymore
pia nilijua utakaa miezi 9, sio wiki 9
things evolved pretty fast... and now you are back
sorry to say this but nahisi we have lost that connection...
Wewe Smiling Saint...:ballchain:
Nikimaliza kuongea na Ivuga I will deal with you:mad2:
Nakubaliana na wahenga kwa maana I am not mad at you,that problem is gone..nilishakuambia kila kitu refer mwenyewe kule kwenye pm japo hukutaka kusikiliza..offcourse ilibidi nikae mwaka mzima sema shughuli zenyewe ziliisha haraka ndio maana umeona ujio wangu wa kushtukiza na najua ningekaa 9 month ningekuta mwana si wangu. so you agree with wahenga? kumbuka kuwa sio heshima ku criticize wahenga..and you have to respect misemo yao for the good sake..