BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
huyu jamaa nilimpa kazi ya kumlinda@mwali...bado nasubiria ripoti ya kamati yake
BADILI TABIA, please... don't make it harder than it already is. Erickb52 na mimi? wapi jamani? msinisingizie plzToooobaaaaa kama huyo ndo mlinzi basi hesabu maumivu.....
Mh.....Ngoja tuyaache haya maana huchelewi kusikia SI kapata pressure ghaflaBADILI TABIA, please... don't make it harder than it already is.
@Ercikb52 na mimi? wapi na wapi jamani? msinisingizie plz
Few days after you left nilipata matatizo na roommates wangu wa kike
So nikaanzisha thread ya kutafuta mtu tuchangie rent ili nihame
Akajitokeza Ambitious. Now we share a house. Sio mbali na pale pa zamani
Ukifika pale nipigie nije kukupokea. Ambitious is an honest guy, don't worry
But we really need to talk. Sitaki @Smilling Saint akwambie kabla yangu
Umetumwaaaaa???kwani hujaona hiyo picha hapo juu?
ngoja nipitie kwenye hili duka manake naona mambo yanazidi kuwa too serious
View attachment 52386
Umetumwaaaaa???
Hivi kwa nini wanaume mkiambiwa hamtaki kuskia?
Nimekwambia usiongei na mtu, we unaongea na Smilling Saint!
Ni Habari Mpasuko ila inauma sana aisee
Yan kushare room na bibie ? :doh:
BADILI TABIA, please... don't make it harder than it already is. Erickb52 na mimi? wapi jamani? msinisingizie plz
sinaga presssure mimi si unajua mtu wa gym kwa sana...ila inabidi nipige moja moto moja baridi kwanza:target:Mh.....Ngoja tuyaache haya maana huchelewi kusikia SI kapata pressure ghafla
Ooooh
Kuiba ile kitu raha ila kuibiwa halafu ukajua inaumaje?????
Hahahahahaaa usipime
Nini tena BT?Mmmmh acha ninyamaze basi maana .......
Hahahahahahaaa utaipata tu ukiona ukwelisinaga presssure mimi si unajua mtu wa gym kwa sana...ila inabidi nipige moja moto moja baridi kwanza:target:
Maumivu ya kichwa huanza pooooole poooooooooooole..... maumivu si mzaha...... @ Saint Ivuga
Please SS, nenda hii thread, changia unavo takaunaongea kwa hasira!!! tulia mama....
Bora nikwambie hata kwa mbali maana SS kadhamiria!nipo kwenye foleni mamito
Hahahaaa Ruta ukamdunga kitu kudadadeki Rep Power zote kwishaaa kisa hii thread...Mwali una vituko lolPlease SS, nenda hii thread, changia unavo taka
but please just let me finish talking to Ivuga
Tukimaliza tutakuita uje usome, waonaje rafiki?
maumivu gani tena mtu wangu
Ruta alikosea bwana, atapotoshaje umma kua peku ni safi?Hahahaaa Ruta ukamdunga kitu kudadadeki Rep Power zote kwishaaa kisa hii thread...Mwali una vituko lol
Au ulikuwa testing??
Kalamika huyo lol