JF hamjambo?

usiniambie kwanza sasa hivi ngoje nifike nyumbani kwanza ..face to face
hawa jamaa wawili naona wamenikaribisa kweli kweli..smile saint na erick
Haya basi, karibu nyumbani. Don't take too long
Usiongee na mtu hadi utakapo fika hapa home.
You might want to know that I live with Ambitious.
Nothing between us, we just share the rent.
 
Haya basi, karibu nyumbani. Don't take too long
Usiongee na mtu hadi utakapo fika hapa home.
You might want to know that I live with Ambitious.
Nothing between us, we just share the rent.
Hureeeeee
SI usidanganyike....sikujua km anaishi na mtu...
Lol
 
Haya basi, karibu nyumbani. Don't take too long
Usiongee na mtu hadi utakapo fika hapa home.
You might want to know that I live with Ambitious.
Nothing between us, we just share the rent.

kuna mstari hauonekani vizuri hapo nimeshindwa kuusoma..im on ma way..
 
usiniambie kwanza sasa hivi ngoje nifike nyumbani kwanza ..face to face
hawa jamaa wawili naona wamenikaribisa kweli kweli..smile saint na erick

mkuu, mkono kwa mkono na mguu kwa mguu.... nataka nikamatie hiyo habari!!
 
kuna mstari hauonekani vizuri hapo nimeshindwa kuusoma..im on ma way..
Few days after you left nilipata matatizo na roommates wangu wa kike
So nikaanzisha thread ya kutafuta mtu tuchangie rent ili nihame
Akajitokeza Ambitious. Now we share a house. Sio mbali na pale pa zamani
Ukifika pale nipigie nije kukupokea. Ambitious is an honest guy, don't worry
But we really need to talk. Sitaki @Smilling Saint akwambie kabla yangu
 
ngoja nipitie kwenye hili duka manake naona mambo yanazidi kuwa too serious
View attachment 52386
Ivuga, lookt at me, stay focussed. Don't be distracted by anyone
Nimekwambia usiongee na mtu kabla hujaniona mwenyewe.
Just make it here nitakwambia kila kitu, and please be calm.
 
Mh......
Nalog Off :doh:
 
nishajua anachotaka kusikia si unaona picha aliyoituma hapo chini

eh ehe hehe hehe heh

kimekupata?
 
SI hivi wewe ni Small House au Ambitious?

huyo ambitions sijawahi hata kumuona na ndio nasikia leo..si unajua mimi nilikuwa masomoni...najua sitamkuta atakuwa ameshaondoka kwani hakuna mtu anayependa kwenda kubanana na kina michael jackson na 2 pac...si unajua plan yangu ilikuwa kurudi home baada ya miezi 9..so this is breaking news
 
Ni Habari Mpasuko ila inauma sana aisee
Yan kushare room na bibie ? :doh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…