JF-get together party Disemba 2018

Haswaa, niko bize na vinyimbo vyao vya yo yo yo naangalia uvaaji wa vijana wanaoimba hizo nyimbo zao ili angalau nipate pa kuanzia. Nadhani nitavaa na miwani mikubwa ile myeusi. Bado sijaamua kuhusu viatu. Tuko pamoja mzee mwenzangu.
Mzee mwenzangu hii ndo fursa ya kujipatia vimchepuko. Mi niko bize nahaha kutafuta jeans lililochanika gotini.Haya masuruwale ya vitambaa na mashati mekundu na njano tunaweza kutoka bilabila wallah
 
Haswaa, niko bize na vinyimbo vyao vya yo yo yo naangalia uvaaji wa vijana wanaoimba hizo nyimbo zao ili angalau nipate pa kuanzia. Nadhani nitavaa na miwani mikubwa ile myeusi. Bado sijaamua kuhusu viatu. Tuko pamoja mzee mwenzangu.
Hapo kwenye viatu itabidi tukae kama kamati. Hizi mokasini zetu zimekaa kama mkuki moyoni tunaweza kuchekesha wasiocheka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom