witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
AhaaaaahaaaaaaaaaHehehehe mbona wacheka witness..
Unakicheka kicarina namba A pamoja na kupiga box miaka nenda rudi..
Unajua baraka huwa zinatoka kwa wazazi, sasa unashindwa hata kumfungia flat screen mama yako mzazi unaacha sebule sofa zimechanika chanika na TV ya mwaka 47
kudaaaadaaaadeeeki
Tupia picha Carina namba A hebu nione??
